Arusha ni Geneva ya Afrika kwa nini tugeuzwe Calfonia?

MWANAWAVITTO

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
258
220
Mgombea Urais kwa tiketi ya chama kikongwe Afrika, chama tawala ccm mheshimiwa John Magufuli akiwa Arusha katika mkutano wake wa kampeni jijini humo alisema anataka kuifanya Arusha kuwa kama jimbo la Calfonia

Ikumbukwe kuwa jiji la Arusha lilitangazwa kuwa ni Geneva ya Afrika miaka kadhaa iliyopita.

Je ni sababu ipi iliyotumika ya kuvua hadhi ya Geneva ya Afrika na kulifanya jiji kuwa Calfonia?

Watu wa Arusha tunajivunia Geneva yetu
 
Lema kauharibu sana ule mji wetu Wana Arusha tunasema sasa basi ,

Vurugu zake akapeleke kwao machame.
 
Chadema wameitesa sana Arush,wameirudisha nyuma kimaendeleo

Hatutaki tena Chadema, bora tuwapigie Ccm inajali Wananchi
 
Back
Top Bottom