Uchaguzi 2020 Wasimamizi wa uchaguzi (ma-DED), kuweni na amani - msitishwe

Prof Koboko

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
350
2,549
Nawaomba wasimamizi wa uchaguzi mliowahi kutishwa kutimuliwa kazi eti msimtangaze wapinzani kwa vile mmepewa magari, mmepewa na mishahara. Toeni shaka hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumfukuza DED labda uwe na kosa linalohitaji uchunguzi kwanza.

Ukishateuliwa kua DED unaingia kwenye permanent Employment na hakuna mwenye uwezo wa kufukuza kazi.Unaweza kufukuzwa kwa kufanya jambo baya la kinidhamu nilinalohitaji uchunguzi na hauwezi kukatwa mshahara wako. DED hatumbuliwi hovyo hovyo Kama ili kwa wakuu wa wilaya na mikoa.

Zaidi unaweza tu kuhamishwa kituo kimoja kwenda kingine kwa vile umetimiza wajibu wako ambao hautamfurahisha mtawala. Usiogope kuhamishwa kituo, wewe simamia haki.
 
Target waliyopewa kama kipimo cha perfomance ni kuhakikiaha hakuna mpinzani anashinda. Hili kwao ni gumu mno.

Wawe na amani.
 
Wakurugenzi watatenda haki

Tanzania tuna hasira na msaliti wa Nchi Lissu
 
Back
Top Bottom