Vyombo vya habari kutoonesha habari za vyama vyote ni sahihi?

kamtesh

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,396
2,000
Wananchi sana haki yakupata habari. Vyombo vya habari vimepigwa kufuli na vingine vyote hata habari za wapinzani hazionyeshi. Ni ccm tuu TV zote mubashala.

Wananchi wamenyimwa haki yakusikiliza pande zote za wanasiasa, wanaongea pumba, au mchere, wachochezi au walinda Amani, wazalendo au wasio wazalendo.

Kwa mara yakwanza, vyombo vyote vimeminywa kwa maksudi ili kupendelea chama tawala. NEC wameona kabisa habari hzijawa balance kwa wananchi na lengo lao la kuhodhi TV zote ili wananchi wasione upande mwingine.

Ila ccm wamechelewa, social network inanguvu zaidi kuliko TV siku hizi. Watu are more informed kuliko wanavyogikiria. Sasa wanasema when the door I'd closed, the window is opened. This year, the the social media has been the window to the opposition.

Vyama tawala vingi vimeangushwa na social media. News travel fast on social media than on TV. Wengi wataompigia TL watakua vijana wakileo social media maniacs. Let's wait and see the end game na strategy ya ccm in 2020.

Kwaufupi, kupigwa pini kwa vyama airtime on TV, kime boost sana upinzani, wanasema kumpiga teke chura.
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,461
2,000
Hivi vyombo vya habari binafsi, vimetishwa na kuambiwa "ole wao" wakimuonyesha mgombea wa upinzani, Tundu Lissu na chama chake, watakuwa wana-risk kuwepo kwao
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
30,573
2,000
Wananchi sana haki yakupata habari. Vyombo vya habari vimepigwa kufuli na vingine vyote hata habari za wapinzani hazionyeshi. Ni ccm tuu TV zote mubashala.

Wananchi wamenyimwa haki yakusikiliza pande zote za wanasiasa, wanaongea pumba, au mchere, wachochezi au walinda Amani, wazalendo au wasio wazalendo.

Kwa mara yakwanza, vyombo vyote vimeminywa kwa maksudi ili kupendelea chama tawala. NEC wameona kabisa habari hzijawa balance kwa wananchi na lengo lao la kuhodhi TV zote ili wananchi wasione upande mwingine.

Ila ccm wamechelewa, social network inanguvu zaidi kuliko TV siku hizi. Watu are more informed kuliko wanavyogikiria. Sasa wanasema when the door I'd closed, the window is opened. This year, the the social media has been the window to the opposition.

Vyama tawala vingi vimeangushwa na social media. News travel fast on social media than on TV. Wengi wataompigia TL watakua vijana wakileo social media maniacs. Let's wait and see the end game na strategy ya ccm in 2020.

Kwaufupi, kupigwa pini kwa vyama airtime on TV, kime boost sana upinzani, wanasema kumpiga teke chura.
Umasikini wenu na matumizi yenu mabovu ya ruzuku usiaingizie vyombo vya habari. Chombo pekee ambacho ungeweza kukilaumu ni tbc ila walipoenda kwa chadema awali kabisa wa ufumguzi wa kampeni wakafukuzwa. Mpambane na hali zenu au anzisheni vituo vyenu. Kupata airtime sio suala la kuoendelewa, unanumua airtime unatangazwa! Vyombo vya watu binafsi wanafanya biashara nao.
 
Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
1,615
2,000
Mpaka leo Vyama vingine havina television kurusha upuuzi wao.Isitoshe Kampeni za CHADEMA kwa maudhui gani Matusi?
 
Lutifya

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,477
2,000
Umasikini wenu na matumizi yenu mabovu ya ruzuku usiaingizie vyombo vya habari. Chombo pekee ambacho ungeweza kukilaumu ni tbc ila walipoenda kwa chadema awali kabisa wa ufumguzi wa kampeni wakafukuzwa. Mpambane na hali zenu au anzisheni vituo vyenu. Kupata airtime sio suala la kuoendelewa, unanumua airtime unatangazwa! Vyombo vya watu binafsi wanafanya biashara nao.
Acha ushamba. Hata hiyo Airtime mnayonunua mnatumia fedha za Walipa kodi...
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
2,759
2,000
Wananchi sana haki yakupata habari. Vyombo vya habari vimepigwa kufuli na vingine vyote hata habari za wapinzani hazionyeshi. Ni ccm tuu TV zote mubashala.

Wananchi wamenyimwa haki yakusikiliza pande zote za wanasiasa, wanaongea pumba, au mchere, wachochezi au walinda Amani, wazalendo au wasio wazalendo.

Kwa mara yakwanza, vyombo vyote vimeminywa kwa maksudi ili kupendelea chama tawala. NEC wameona kabisa habari hzijawa balance kwa wananchi na lengo lao la kuhodhi TV zote ili wananchi wasione upande mwingine.

Ila ccm wamechelewa, social network inanguvu zaidi kuliko TV siku hizi. Watu are more informed kuliko wanavyogikiria. Sasa wanasema when the door I'd closed, the window is opened. This year, the the social media has been the window to the opposition.

Vyama tawala vingi vimeangushwa na social media. News travel fast on social media than on TV. Wengi wataompigia TL watakua vijana wakileo social media maniacs. Let's wait and see the end game na strategy ya ccm in 2020.

Kwaufupi, kupigwa pini kwa vyama airtime on TV, kime boost sana upinzani, wanasema kumpiga teke chura.
Hao Mungu kawapa upofu ili iwe sababu ya mwisho wao kwani sii watu wa haki bali Waovu.Hata wasiomwogopa Mungu.
 
ndanda masasi

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
762
1,000
Kumbuka: Oktoba 28 kujitokeza kwa wingi kupiga kura. CHADEMA tunaomba umchague;
Rais-Tundu Lissu,
Chagua wagombea Ubunge na Udiwani wa CHADEMA.
IMG_20201024_192159.jpeg
 
Feb 12, 2020
12
45
Wananchi sana haki yakupata habari. Vyombo vya habari vimepigwa kufuli na vingine vyote hata habari za wapinzani hazionyeshi. Ni ccm tuu TV zote mubashala.

Wananchi wamenyimwa haki yakusikiliza pande zote za wanasiasa, wanaongea pumba, au mchere, wachochezi au walinda Amani, wazalendo au wasio wazalendo.

Kwa mara yakwanza, vyombo vyote vimeminywa kwa maksudi ili kupendelea chama tawala. NEC wameona kabisa habari hzijawa balance kwa wananchi na lengo lao la kuhodhi TV zote ili wananchi wasione upande mwingine.

Ila ccm wamechelewa, social network inanguvu zaidi kuliko TV siku hizi. Watu are more informed kuliko wanavyogikiria. Sasa wanasema when the door I'd closed, the window is opened. This year, the the social media has been the window to the opposition.

Vyama tawala vingi vimeangushwa na social media. News travel fast on social media than on TV. Wengi wataompigia TL watakua vijana wakileo social media maniacs. Let's wait and see the end game na strategy ya ccm in 2020.

Kwaufupi, kupigwa pini kwa vyama airtime on TV, kime boost sana upinzani, wanasema kumpiga teke chura.
Huu ni mtazamo wako ambao siyo lazima kupingwa au kukubaliwa kwani ni haki yako kutoa mawazo yako.

Binafsi siwezi kukubali au kukataa moja kwa moja, isipokuwa kitu tunachotakiwa kujiuliza ni kwa nini Vyombo vingi vya habari vikiwemo vyombo binafsi havitangazi. Siyo kulaumu na kutoa taarifa zenye upotovu, kwani huna kitu cha kutudhibitishia kama kweli walitishiwa na serikali au lah. Kwa hiyo unapotoa mawazo yako jitahidi kutoa taarifa zenye weredi na zenye kujenga.

Vyombo vya habari Siku zote zinasheria zake na mara nyingi zipo kibiashara. Hatuwezi jua kama maslahi yao yanazingatiwa na vyama vingine au hayazingatiwi. Kwa maana hiyo hatuna haki ya kutoa hukumu kuwa wanapendelea upande mmoja.

Kama utakuwa makini, vyama vingi vya siasa hapa nchini huwa hazitumii pesa za ruzuku ipasavyo kwa ajiri ya kampeni ndio maana ukiangalia hata matangazo wengi wao hawabandiki. Mfano hapa Dar es salaam CHADEMA hawana mabango hii inamaanisha pesa zao hawazitumii kulipia matangazo vikiwemo vipindi kwenye vyombo vya habari. Huenda kwa sababu hawana uhakika na kile wanachokifanya. Wanaamini tofauti na jinsi sisi tunavyoweza kujiuliza, matakwa yao binafsi kama wenye chama wanafahamu wanachokifanya.

Wewe kama ni mkeleketwa wa Chama fulani unapaswa kuwauliza Viongozi wa chama chako kwanini hawalipii matangazo na Vipindi kwenye vyombo vya. Zingatia kila tangazo huwa lina kodi zake kwa watu wa TRA, kwa hiyo punguza kutoa hoja dhaifu na kwa mihemko zaidi kuliko ufahamu.
 
Wametakiwa kuelemea upande fulani,vinginevyo,faini za kufa mtu,ama kufungiwa kufanya shughuli zai au kudeal na mhusika mmoja mmoja kama no mwanahabari au mmiliki wa chombo.Hayo hats hatushangai kwani wenngi wetu,hasa wake tusio amino katika wimbo pendwa wa uhuru,haki na maendeleo ya watu bado tunajiweka chino ya himaya ya watesi,wake wasiopenda kusikia habari ya haki.Muda wa ukombozi ni sasa tuamke tukakatee uonevu na tuitake haki.Tukspige kura ya haki na uhuru wetu.
 
Mara zote ukitaka mabadiliko lazima uonyeshe uwezo mkubwa na wakuaminika bila kupingwa na zaidi ya asilimia hamsini ya watu unaoishi nao. Binafsi napenda sana kusikia mawazo ya watu hasa kuwapatia uhuru wa kueleza mtazamo wao na malengo yao.

Kitu ambacho WaTanzania tunakosa ili kufanya mambo yetu yaende kwa weredi ni kusahau historia yetu, hata kama tukio limeshatokea miaka si zaidi ya kumi iliyopita. Mara zote mtu ambaye hajui historia yake halisi iwe kisiasa, kijamii, kidini na kiuchumi huyo ni mtu tu mpumbavu ambaye anatembea bila kujua anakotoka wala anakoelekea. Kitu ambacho unatakiwa kujiuliza ni kwamba UPINZANI Katika nchi hii ni watu tu wanaotembea hawajui historia yao. Hii inasababisha kukosa mvuto na idadi kubwa ya watu waliokuwa wanazidi kuongezeka tokea kipindi cha Dr. Slaa.

CCM wameimalika sana kisiasa na wamejizolea umaarufu kila kukicha hii ni kwa sababu ya historia yao kutosahaulika na misingi yao kuwa imara zaidi. Hii inasababisha wawe na weredi katika kazi zao na mambo yao kiujumla.

Sisi kama waTanzania, licha ya kuwa na vyama vingi kitu tunatakiwa kukifahamu nikwamba tunahitaji maendeleo. Tunahitaji taifa lenye nguvu kisiasa na Kiuchumi, tunahitaji kutengeneza taifa lenye mfano barani Africa. Vyama vingi visiwe kikwazo kwetu vya kimaendeleo. Tukumbuke kuwa Uzalendo wa chama fulani cha siasa unaokufanya usione maendeleo hata ya wazi yanayofanywa na vyama vingine hugeuka na kuwa utumwa wa fikra, lakini pia kuwa mzalendo na chama chako ukashindwa kuona hata makosa ya wazi ndani ya chama chako hugeuka na kuwa utumwa na upumbavu kifikra.

Kwa hiyo basi tarehe 28/10/2020 tukapige kura tukachague kiongozi mwenye maono na maslahi mapana ya taifa hili. Kiongozi atakayeishangaza dunia kwa maendeleo ndani ya taifa letu, Kiongozi shupavu atakayetetea Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kiongozi atakayetoa uelekeo sahihi wa taifa hili, Kiongozi atakayelinda maliasili zetu, misitu yetu, wanyama wetu, madini yetu, na ardhi yetu. Tuache kufanya maamuzi kwa hisia tuhusishe akili na ufahamu wote kabisa. Nchi hii na Afrika kwa ujumla ni tajiri sana, changamoto iliyopo ni kuwa hatujawahi na hata kama tumewahi ni mara chache sana kupata Viongozi halisi (Viongozi waAfrika na weusi), mara nyingi tumekuwa na Viongozi wenye ngozi nyeusi lakini ndani ni watu weupe (Caucasian). Kwa hiyo Tanzania na Afrika kwanza (Uzalendo), mambo mengine baadae.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom