Kampeni za mwaka zimeingia hatua mpya ya kuwalazimisha watoto kujiingiza kwenye kampeni za kisiasa. Mambo hayo yametokea huko Bukoba baada ya wanafunzi kushinikizwa kusimama barabarani kuupokea...
Muda huu huyu Mtumishi yuko live, TBC hawataki kuruhusu simu kupigwa studio ili ajibu maswali waliyonayo Wananchi, ina maana gani kupiga porojo tu, nadhani kuna haja ya kuleta mabadiliko makubwa sana
Ikiwa leo kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa Kumi Jioni, Watanzania pande zote wataenda kuamua wanampa nani kuiongoza nchi kwa Miaka 5 tena, Basi tukawe na uchaguzi mwema, mchague kiongozi...
Kwenu Wana badi;
Ikiwa Ni mapema kabisa mwa siku maalumu ya Leo 28/10/2020 ambapo Hatma ya Amani ya taifa inaenda kujulikana Baadaye ningependa kuwakumbusha haya machache Wagombea wote wa...
Hii ni katika maeneo machache niliyofanikiwa kupitapita katika viunga vya jiji la DAR hasa kwenye ofisi nyingi za ccm, tofauti kabisa na hali kwenye Ofisi za Wapinzani ambako zilikua zimefungwa...
Waheshimiwa:-
Dkt. John Pombe Magufuli
Adv Tundu Antipas Lissu
Maalim Seif Sharif Hamadi
Dkt. Hessein Ally Mwinyi, na
Wengine - Salaam za 28/10/2020!!!
Kwa niaba ya wapenda amani, haki, usawa...
Amani kwenu wazalendo wenzangu:
Baada ya salaam ningependa kusema kuwa uchaguzi uliopita una mapungufu makubwa sana. Mapungufu mengi ni ya masuala ya kikatiba ambayo yamekuwepo kwa muda mrefu...
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi na kupiga kura kesho akiwashauri warudi nyumbani na kuendelea na shughuli zao.
Ameeleza kuwa, baadhi ya viongozi...
Nimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu.
Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya...
Unguja. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar limesema limelazimika kutumia mabomu ya machozi katika baadhi ya maeneo kutokana na uwepo wa viashiria vya uvunjifu wa amani...
Mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu amekwenda Arusha mara mbili nyakati hizi za uchaguzi pasi na kufika nyumbani kwa muasisi wa chama chake kumsabahi na kuchota baraka.
Akiwa mkoani Mara Tundu...
Nimemsikiliza Godbless Lema akihojiwa na Dw kuwa kuna kundi la vijana 200 wamepelekwa Arusha ili wakakipigie kura CCM. Anadai amewaona. Sasa kama mgombea ubunge umeona tukio kama hili kwa nini...
Umoja wa Mataifa watoa wito kwa viongozi wa kisiasa na wafuasi wao kujiepusha na visa vya vurugu nchini Tanzania
Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa Tanzania kuhakikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28...
Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam.
Niliamua kujivinjari maeneo...
Tume ya Uchaguzi leo imewaapisha mawakala watakaosimamia zoezi la kuhesabu kura za wagombea Urais.
Katika zoezi hilo wakala wa ACT Wazalendo hakuwepo ukumbini na ikaelezwa baadae kuwa ACT...
Kwanza naomba kuuliza huko ulipo huduma yako ya internet ipo katika hali gani, whasapp je, YOUTUBE je, TELEGRAM je, google play store je..
Sauti ya umma ni sauti ya Mungu muweza wa yote. Sauti ya...
Niseme kwa dhati kabisa bila kumung'unya maneno mimi nakubali sana utendari wa dk magufuli amefanya mambo makubwa sana na ameonyesha njia.
Mfano nzuri tu ni mradi wa Rufiji hapa nampongeza kwa...
Rais Magufuli ametangaza rasmi kuwa kesho Oktoba 28, 2020 itakuwa ni siku ya mapumziko ya Kitaifa ili kuwapa fursa Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura kwenda kupiga kura "nawaomba tukapige...