Kuna vyama fulani , huwa vinaamini vina ushawishi , kupitia Comments chache za matusi Mitandaoni.
na kusahau kuwekeza kwa watu hasa wale wa chini kabisa ambao huwa hawatumii mitandao Ambao ndo...
Anaandika Askofu Bagonza mtandaoni...........
POLISI NA “WAKATOLIKI"
1. Nalazimika kuwapongeza Polisi wetu kwa ukomavu wao na ustaarabu wa kutozuia maandamano ya “Wakatoliki” walioenda kueleza...
“Ikionekana Rais abakishiwe Mamlaka aliyonayo kwangu ni sawa, wakisema apunguziwe kwangu ni sawa, na hata wakisema aongezewe zaidi kwangu ni sawa tu” Dr. Makame, Mbunge wa Bunge la Afrika...
TWISEHENI YA HAKI NA AMANI.
Hapa Mungu ametupitisha sote katika kujifunza Umuhimu wa Haki katika jamii.Taifa stars wamenyimwa Haki ili kulinda Amani na Utulivu wa Wamoroco.
Nimefurahi somo hili...
Abdallah Makame, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, amesema kuwa taifa lina utaratibu wake wa kushughulikia vifo vinapotokea nchini, ikiwemo kutoa pole kwa wafiwa na kuwajali waliojeruhiwa...
Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe .
Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ...
Communists walidanganya wengi, afrika ilidanganywa na communists kwa miaka 60 sasa kwamba Christianity ni adui yao na capitalism inawanyonya, matokeo yake viongozi wa afrika waliwekeza miaka 60...
Naona sisiemu mmeipatia ushindi ,tena wa mezani .
Yaani wale front-liners , wote wameamua kurudi nyuma na kubaki katika kuwasikiliza manabii, wachungaji n.k kuhusu utawala.
Lissu alisema...
Mwenye nyumba Kariakoo (Mtaa wa Sikukuu/Kipata) anataka kuvuruga watu. Hapo nyuma alikuwa anapokea kodi ya TZS 24,000,000/= p.a, lakini yeye analazimisha na mwanasheria wake kuandika kodi ya TZS...
https://youtu.be/81fVXxv5G_U?si=u5UbC4NXl9Prtyqt
=======================
CHADEMA mpo? Act now to prevent this greedy act before it's too late
Si mnakumbuka ya wale wabunge wa CIVID19 mara...
Salaam!
Walipofunga utepe kanisa la Ufufuo na uzima,palikuwa na sadaka kwenye kapu, palikuwa na mali mbalimbali,walipovamia na kutawanya watu Kisha kuweka utepe, kulikuwa shwari kabisa...
Hii ndio Taarifa ya sasa ambayo tunaweza kuithibitisha bila shaka yoyote baada ya timu yetu ya Uchunguzi kukamilisha kazi katika Mikoa 7 tuliyoitumia kama Sampo, baada ya Humphrey Polepole Kuikata...
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), amesema kuwa kuna watu wananataka mabadiliko ya katiba unataka nini kibadilike?.
Nimekuja kugundua ni ngumu sana kuja kuipata hii...
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), amesema kuwa hana ufahamu wa chanzo cha matukio ya Oktoba 29, lakini ni kweli kuwa kulikuwa na watu waliokuwa wakitembea na mabegi...
Salaam!
Anasimulia jirani.
Ilikuwa jioni ya takriban sasa mbili usiku, mtu huyu alikuwa akitoka nyumbani kwa mamaye mzazi aliyekwenda kumtembelea majira ya sasa kumi jioni.
Alipoaga na kuanza...
Mzee Ramadhan Omari Mapuri amehudumu kama kiongozi Mwandamizi kwenye serikali na kwenye Chama cha Mapinduzi, Mapuri ni mwanaccm Mtiifu mwenye kadi hai ya uanachama.(Namba yake kadi tutaiweka...
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdullah Makame (CCM), amesema kuwa maridhiano yanayotarajiwa kufanyika hayana uhusiano wa moja kwa moja na matukio ya Oktoba 29, bali ni moja tu ya...
Ni mwajibikaji mstahimilivu sana, msikivu asie na papara na mwenye uwezo mkubwa mno wa kujidhibiti kikamilifu hususani kisiasa licha ya kua na ushawishi na uwezo mkubwa zaidi kisiasa.
Daima...
Abdallah Makame ambaye ni mbunge wa bunge la Afrika Mashariki akijibu hoja ya mtangazaji Odemba kuhusu haki na amani, amesema kuwa vyote ni pacha na haviwezi kutenganishwa kwasababu vinategemeana
“Ni kweli kuna baadhi ya Nchi katika Jumuhiya ya EAC matokeo ya Urais yanapingwa mahakamani, lakini mimi kwa Tanzania sioni umuhimu wa kupinga matokeo ya Urais Mahakamani, na wala sioni aibu...