Leo Januari 2, 2026, Jamhuri imebadilisha mashitaka ya kesi ya Uhaini Na. 26596/2025 dhidi ya Yohana Rugembe Kaunya na wenzake 20. Wamefunguliwa kesi yenye makosa 9 yakiwemo wizi wa kutumia...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema Taifa limepitia mwaka wenye majonzi makubwa uliodhihirisha kupotea kwa mwelekeo wa maadili na mshikamano wa kijamii...
Chuki kwa viongozi ni matokeo ya maandalizi finyu ya wazazi wetu, either wazazi wetu walikataa shule wakashindwa kusoma na kupata ajira wakati wa Mwinyi au wazazi wetu ni wale ambao walikuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa Serikali imeanza kuchukua hatua za kuunda Tume ya Maridhiano ya Kitaifa ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kujenga na...
Dr Nchimbi mpaka Leo ameshaenda Uganda X 2, Angola, Congo DR, Zambia, Kenya) Vs Dr Mwigulu (Dar, Arusha, Mwanza, Lindi, Ruvuma, Singida, Songwe na Dodoma). Siku 100 zinakatika punde with zero...
Kuna kauli nyingine ni wana siasa tu wanaweza kuzitoa. Lakini pia niliisikia kwa mume fulani aliua mke kisiri akawa anasema nimeondokewa na mpendwa wangu, baadae akajulikana yeye ndio aliua...
Mbunge wa Tandahimba 2015 - 2025, Katani Ahmed Katani amesema maendeleo makubwa ya miundombinu katika jimbo lake yameifanya Tandahimba kufanana na miji ya kimataifa kama Doha, Qatar.
"Leo ukienda...
Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nawaslaimu raia wenzangu.Waziri wa afya mchengerwa tunaomba majibu juu ya huduma kwa awajawazito mkoa wa Kigoma GUNGU hospitali ya kikungu.
Hivi...
Katiba inasema Rais akitoka bara basi makamu wake lazima atoke visiwani hata kama upande huo hatuoni mtu mwenye sifa. Hii sio sahihi.
Kuna tendency au tabia ambayo haijandikwa popote kuwa kama...
Hajambo wote!
1. Bado Niko Morogoro hapa kama nilivyowaambia.
2. Mwezi wa kumi na moja na kumi na mbili nilibahatika kutembelea Mkoa wa Arusha, Moshi Mjini, Babati mjini, Korogwe Mjini, Dodoma...
Kataa wahuni.
1. Maridhiano ni tume ya uchaguzi itakayokua inatenda haki na ikiongozwa na wtu wenye akili timamu sio makada wa mbogamboga
2. Wahuni walio kwapua madaraka kwa hila waachie ngazi...
Wakuu, Nimepokea Taarifa za Uhakika kabisa kwamba Mwandishi Jackton Manyerere hapa alipo anaendeleaje kupokea Simu za vitisho kuhusu Kukamatwa ,Kutekwa au Kuuawa .
Kwa Wasiomjua Jackton...
Ndugu zangu,
Ni heri ya Lowassa na Kingunge kulikoni Sumaye. Nilibaki nikimshangaa Sumaye aliposimama majukwaani na kuiponda CCM huku akilaumu pia Katiba inayovikandamiza vyama pinzani.
Katika...
Vyombo vya habar ikiwapo TBC, na baadhi ya TV programs zmekuwa znamnukuu EL kama waziri Mkuu mstaafu! Tujuavyo ni kwamba EL alijihudhuru tena kwa kashifa ya ufisadi.
Kwa jinsi ajulikanavyo kama...
Tanzania ni sehemu pekee ambapo biashara inaweza kufa kutokana na uwepo wa wateja wengi. Kama hali ilivyo kwenye mabasi ya mwendokasi, ndicho kinachoonekana hapa SGR.
1. Wasomi pale jalalani kupitia umoja wao (UDASA) wamefanya sherehe ya kuuaga mwaka 2025 vichakani pamoja na kuwa na majengo na kumbi za maana hapo hapo jalalani.
2. Vinywaji (visivyo vilevi)...
NUKUU za Hotuba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kulihutubia Taifa Akiuaga Mwaka 2025 na Kuukaribisha Mwaka Mpya 2026.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.