Systi Nyahoza, jitafakari

Systi Nyahoza, jitafakari

Unataka kuiingiza nchi kwenye moto. Nimesoma barua uliyowandikia Chadema, unataka kuleta machafukjitafakari!
Ni muhimu sana kwa viongozi wa chadema kuacha viburi na kutii wito wa kisheria wa msajili bila shuruti.

Halafu gentleman,
hakuna machafuko yatakayotokea nchini, huenda ukachafuka wewe mwenyewe tu 🐒
 
Unataka kuiingiza nchi kwenye moto. Nimesoma barua uliyowandikia Chadema, unataka kuleta machafukjitafakari!
Ni afadhari tuingie kwenye mapigano tu . Wewe huwezi kusema CCM ikivunja sheria ni sawa tu lakini wengine hata hawavunji sheria unalazima eti wamevunja. Aisee machafuko yatokee tu. Hatuwezi kulazimishwa kuipenda na kuitumikia CCM
 
Ni muhimu sana kwa viongozi wa chadema kuacha viburi na kutii wito wa kisheria wa msajili bila shuruti.

Halafu gentleman,
hakuna machafuko yatakayotokea nchini, huenda ukachafuka wewe mwenyewe tu 🐒
Nyinyi wajinga na wapumbafu wa Samia tulieni werevu na wenye akili timamu wakiongea,Nyinyi nendeni mkaimbe nyimbo za mapambio mkimsifu na kumuabudu mungu wenu Samuya
 
CHADEMA mkileta ujinga mtafutwa na hakuna kitu mtafanya. Msidhani mnaweza kuitunishia serikali misuli mkachekewa.
 
Nyinyi wajinga na wapumbafu wa Samia tulieni werevu na wenye akili timamu wakiongea,Nyinyi nendeni mkaimbe nyimbo za mapambio mkimsifu na kumuabudu mungu wenu Samuya
yan mtu haelew anatetea ujinga bora kunyamaza tu !
 
Uzi wa kipumbavu zaidi tangu mwezi huu uanze.

Sasa huyo uliyemtaja na hiyo barua unadhani wote wanamjua au hiyo barua wameiona?
 
Back
Top Bottom