Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,785
- 6,106
Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM amesema uchaguzi wa mwaka 2025 ulionekana kuwa ni wa kati ya Jeshi la Polisi na vyama vya upinzani, akidai kuwa vyombo vya dola vilijihusisha moja kwa moja na masuala mengi ya kisiasa.
Soma Pia: Sheikh Ponda: Tume ya Jaji Chande ilipaswa iseme mauaji ya Oktoba 29 yalikuwa halali au ya jinai
Amesema hali hiyo imefanya hata sasa vyombo vya usalama kuonekana vinaweza kuingilia masuala ya kisiasa moja kwa moja.