GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
Kuna nyuzi mbalimbali nimekuwa nikielezea mara nyingi dhana nzima ya uchaguzi na namna wapinzania wanavyochukulia suala la uchaguzi.
Binafsi nmekuwa nikisema bila kificho KWA KATIBA HII CCM ITATAWALA MIAKA 50 Mingine ijayo bila shida na Wapinzani wanafahamu.
Nliuliza mara kadhaa wanapoingia kwenye uchaguzi wa Rais na Ubunge mwaka 2020. Wanategemea nini?maana kiukweli kama kuna wapinzania wanategemea kuiondoa CCM mwaka 2020 na miaka mingine ijayo kwa katiba hii.hao ni wabaya,waovu,wanafiki na wachawi hawafai ni bora CCM ibaki madarakani.
Ndiyo.haiwezekani kabisa mpinzani wa ukweli mwenye akili timamu akaamini CCM itaondoka madarakani kwa katiba hii.Mwaka 1995 Mch Christopher Mtikila alimwambia jambo hili Augustine Mrema.Ndg Mrema wa miaka ile (roho yake iwekwe mahali pema peponi) alipokuwa hai kwenye siasa hakumwelewa Mtikila.akagoma.kilichotokea kinafahamika.leo hii tuna mabaki ya Mrema katika siasa.
Haya mambo yanafahamika kwa Uwazi kabisa.kwa nini msumbue wananchi na kuhatarisha maisha yao?Viongozi wa Upinzani hamna mapenzi mema na wananchi. Mlipowahamasisha wakajiandikishe mlitegemea wakampigie nani kura?
Nlionya kuwa kipindi hiki mngenyamaza mwachie CCM ijishindie kwa kishindo ninyi mnusuru maisha ya watu wenu.hamkunisikiliza
Leo nyuzi nyingi zimejaa wapinzani wanalalamika Fouls nyingi wanazochezewa na Referee haoni. Wanakatwa mapanga,form zao zinapotezwa,forms zao zinakataliwa na makando kando mengi zaidi.
Niulize. Kweli mlitegemea mambo yangeenda smooth?basi hamna akili.haya ni manyunyu.uchaguzi wa mwaka 2020 utakuwa mbaya zaidi.hiyo ndo itakuwa masika.kama mna upinzani wa kweli kwa maslahi ya watanzania.nusuruni maisha ya watu wenu.msiangalie tu posho mtakazo jilipa wakati wa kampeni.
Angalieni maisha ya watanzania hawa maskini, angalie damu itakayomwaga ya watanzania hawa maskini.for nothing.nasisitiza for nothing.sababu hakuna chochote mtakachoweza kufanya.
Nashauri tena.Acheni unafiki.HAKUNA UPINZANI UTAKAOCHUKUA URAIS KWA KATIBA HII. DAINI KATIBA. MAANDAMANO YA MSINGI YALIYOBAKI KWA HIVI SASA NI MADAI YA KATIBA. HAKUNA MENGINE.
WANASIASA SASA ANZENI KUJALI MAISHA YA WAPIGA KURA WENU.msijiangalie ninyi tu.tumechoka na hashtags zisizoleta tija. Acheni CCM ije kushindana yenyewe kwa yenyewe.kinachowapa CCM umoja kwa hivi sasa ni Uwepo wa Upinzani.Kama kwenye uchaguzi upinzani utakaa pembeni CCM watatafuta mtu wa kumchukia,kumbagua na kumnyanyasa.Atapatikana CCM humo humo.