Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,741
- 5,226
Hili si jambo la kufanyia mzaha kabisa
Ni muda sio mrefu tumepata taarifa juu ya mauaji ya watu watatu huko Pemba na Kikosi cha Polisi.
Na hivi sasa vyombo vya habari vya kimataifa vimeanza kuripoti juu ya tukio hili ambalo kwa vyovyote litatia doa nchi na kupelekea waangalizi wakubwa wa kimataifa kujiridhisha kua kuna uminywaji wa Demokrasia na haki za binadamu, watu wanataka madaraka kwa nguvu japo watu wameamua kupiga kura ya mabadiliko lakini inavyoelekea chama tawala hawawezi kukubali hilo.
Hii itoshe tu kusema kua habari zimeanza kusambaa dunia nzima.