Hii ni baada ya wananchi wa jimbo hilo kukubaliana kwamba mbunge wao atatokana na CHADEMA , ambaye ni Liberatus Mwang'ombe .
Angalia ushahidi huu kutoka Ubaruku
Habari wakuu!
Jana, Oct 30 2020 Mbunge aliyeshinda jimbo la Dodoma mjini kwa tiketi ya CCM, ndugu Anthony Mavunde ameshindwa kuongea na wananchi wa Dodoma mjini baada ya kundi kubwa kuanza...
Baada ya kuona watu waliokuwa wanajazana kumuangalia mgombea aliyetoka Ulaya, wengi wa makamanda wakawa wanauliza tuliambiwa upinzani umekufa mbona haujakufa, mkaambiwa kuweni makini hao ni amsha...
We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of...
Si wote wanaomudu nauli kwenye vyombo vya usafiri. Wengine tunatembea kwa miguu ili kumudu maisha yetu. Asubuhi hii tunajiandaa kutoka. Msitukamate na kutuweka ndani.
Riziki tunayo tafuta ndiyo...
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani.
Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya...
Rais John Magufuli ameipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kufanikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 na kubainisha kuwa baada ya kuibuka na ushindi ataliongoza Taifa la Tanzania kwa...
Tukiacha maspika walioongoza bunge kipindi cha chama kimoja hapa tunawangalia hawa waliongoza kuanzia awamu ya tatu ambayo ni ya vyama vingi.
Akianza Pius Msekwa alikuwa bora kulingana na kipindi...
Natamani hapa nilipo ningeletewa mashekhe,wachungaji,mapadre na waganga wakienyeji waniapishe ili nikisema uongo basi nguvu za kiroho za kokote baina yao zinihukumu.
Hapa mtaani kwetu tuna chama...
The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections...
Habari IGP Sirro.
Matumaini yangu nikuwa huwa naamini katika utendaji wako uko makini!
Na mbaya zaidi hiki chombo cha Polisi unakielewa vizuri sana kwa kuzingatia wewe umepitia ngazi mbali mbali...
Wanabodi, kama heading inavyosomeka:
TLS- Tanganyika law society na wanasheria wengine, tuleteeni Test case dhidi ya NEC jinsi walivyooendesha uchaguzi huu chonde chonde.
Tunafahamu kwamba...
Ndugu Rais, nakusalimu.
Awali ya yote ninakupongeza kwa dhati kabisa kwa kuchaguliwa kwako kwa kishindo kuingoza tena Tanzania kwa miaka mingine mitano. Ushindi huo sio bahati mbaya. Watanzania...
Vurugu na ukatili wa Vyombo vya Dola ni sehemu muhimu ya Serikali za kidikteta katika kupambana na wapinzani wao kwa kisingizio cha kulinda amani na usalama. Kuna kila dalili maandamano...
Kwa yanayoendelea nashauri Wanasiasa wapumzike kabisa na wapige kimya, Mbowe na Wakina Zitto wote wapige kimya make haiwezekani wahangaike peke yao huku sisi tukiwa kwenye keyboard tu.
Vizazi...
Wasalaam wajumbe!
Ninawaomba sana upinzani katika nchi hii utambue kua mabadiliko ya mifumo ya kiutawala iliyojaa uonevu na ukoloni hayatafanywa na CCM. Hiki chama kilichobakisha sasa ni kugawana...
Katika viongozi ambao wamepitia katika changamoto nyingi miaka mitano iliyopita ni Freeman Mbowe anashika nafasi ya pili baada ya Tundu Lissu.
Tukianza na kwamba ameharibiwa biashara zake...
Waandishi wa habari wa Tanzania wamekuwa vituko. Hawajui kuuliza maswali, hawajui kuhoji na wameweka ushabiki mbele kuliko Tanzania. Kumpenda Magufuli au kiongozi yeyote wa Upinzani haina maana...
Niko hapa nimekutana na "jamaa" yangu aliyekua msimamizi mkuu wa kituo.
Daah!
Yani nna hasira kweli kweli! Hivi inakuaje mmekula kiapo tena kwa kushika biblia alafu unarudi kituoni mnafanya...