SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,051
- 9,005
Hata kama mtakuwa na wabunge watano au 10 (mmoja wa kuchaguliwa na wengine viti maalum) kubalini kwenda bungeni.
Kwanini?
1. Mtapata ruzuku na pesa kidogo ya kuendesha hadi 2025. Kumbuka mishahara, posho za wabunge na ruzuku sio haba japo zitakuwa kidogo.
2. Mtafanya msisahaulike na wananchi. Mkisusia bunge ni rahisi kusahaulika. Hata kama mtakuwa na wabunge watatu au wawili nendeni hivyo hivyo mkawanyooshe CCM.
PIA ANDAENI NAMBA ZA MPESA, AKAUNTI ZA BENKI N.K ILI WANANCHI WAPENDA DEMOKRASIA TUCHANGIE CHAMA.
NB: HUU USHENZI WA WIZI WA KURA HATA CCM WENYEWE WANAONA AIBU.