Damu ya Mbowe ni zamani sana?Miaka zaidi ya 10 uliyokuwepo kwenye kiti inatosha pisha damu mpya kuja kuleta ari mpya kasi mwenendo utaofaa kwa maslahi ya upinzani Tanzania
Wapo wanaoweza kuuvusha upinzani vizuri tu kuna Meya Jacob Boniface yupo vizuri sana
Mbowe Mbowe Kamanda ndio Chaguo la wanachademaMiaka zaidi ya 10 uliyokuwepo kwenye kiti inatosha pisha damu mpya kuja kuleta ari mpya kasi mwenendo utaofaa kwa maslahi ya upinzani Tanzania
Wapo wanaoweza kuuvusha upinzani vizuri tu kuna Meya Jacob Boniface yupo vizuri sana
Miaka zaidi ya 10 uliyokuwepo kwenye kiti inatosha pisha damu mpya kuja kuleta ari mpya kasi mwenendo utaofaa kwa maslahi ya upinzani Tanzania
Wapo wanaoweza kuuvusha upinzani vizuri tu kuna Meya Jacob Boniface yupo vizuri sana
Mbowe Mbowe Kamanda ndio Chaguo la wanachadema
Hivi amesha toka ICU huyu
State agent
Miaka zaidi ya 10 uliyokuwepo kwenye kiti inatosha pisha damu mpya kuja kuleta ari mpya kasi mwenendo utaofaa kwa maslahi ya upinzani Tanzania
Wapo wanaoweza kuuvusha upinzani vizuri tu kuna Meya Jacob Boniface yupo vizuri sana
Bro Masamila kiatu usichokivaa chakuuma nini? Shughulika na matatizo yenu ya Lumumba, mnaoendeshwa kama gari bovu la mkaa lililokatika sent a bolt! Tuachie Mbowe wetu! Hangaikeni na huyo wa kwenu!Miaka zaidi ya 10 uliyokuwepo kwenye kiti inatosha pisha damu mpya kuja kuleta ari mpya kasi mwenendo utaofaa kwa maslahi ya upinzani Tanzania
Wapo wanaoweza kuuvusha upinzani vizuri tu kuna Meya Jacob Boniface yupo vizuri sana
Ujumbe umefika, nashangaa tu wanajitekenya na kucheka wenyewe, Umri wao hawauoni wanashadadia tu wa wengineUnaonaje useme pia, CCM ipishe damu mpya ya vyama vingine kuongoza nchi?
Ndiyo, tangu mwaka 1961 (wakati huo wakiitwa TANU) hadi nwaka 1977 walipojibatiza jina jipya la "CCM" ni miaka 58 sasa..., ni mzee huyu, right?
Lakini Mbowe is just 10yrs old bado Mtoto kabisa ukilinganisha na huyu wa CCM 58yrs old in power...!!
Well, I know, ulivyo mfinyu wa ufahamu na fikra, utasema CCM huchaguliwa na watu kuongoza kwa miaka yote hiyo...!!
Sasa kama ndivyo unavyoweza ku - argue na kujitetea, swali kwako linakuwa ni hili;
Huyu Mbowe wa CHADEMA wa miaka 10 tu, hujipitisha mwenyewe kwani?
Je, siyo kwamba wenye chama wenyewe (wanachama) humchagua wao kwa taratibu zao walizojiwekea kuwaongoza?
Hii inatuhusu nini sisi wengine tusio husika huko?
Let it be, acha wachaguene. Akiwa M/kiti kwa miaka 58 kama CCM kuna jinai hapo????
Kwani inakuuma ikiwa hivyo??? wameshaamua kumpa.Iwapo chadema wataamua kwa makusudi kabisa kumfanya Mbowe kuwa Mwenyekiti wa maisha wa chama, basi watakuwa hawana tofauti kabisa na Cuf ya Lipumba, TLP ya Mrema, UDP ya Cheyo, nk.
Na yenyewe itageuka kuwa Chadema ya Mbowe!
Nona wanawashwawasha na hawatulii.Maccm mbona mnateseka sana Mbowe kuwa mweyekiti? Kwa taarifa yenu tunamchagua tena mvimbe hadi
mpasuke nguruwe nyie
Kwani inakuuma ikiwa hivyo??? wameshaamua kumpa.
Damu mpya itamwaga damu.Bora abaki ili kushikilia amani yetu,ni heri shetani uliyemzoea,mwingine atokubali kuonea wafuasi wake watamwagika mtaani kuwashamotoMiaka zaidi ya 10 uliyokuwepo kwenye kiti inatosha pisha damu mpya kuja kuleta ari mpya kasi mwenendo utaofaa kwa maslahi ya upinzani Tanzania
Wapo wanaoweza kuuvusha upinzani vizuri tu kuna Meya Jacob Boniface yupo vizuri sana
Huenda system imemgundua Adui wa Mbowe na wamemshushia kipigo ili ionekane kuwa ni Mbowe ametenda hayo.Ona huyu kilichomkutaView attachment 1270116
Hao ni nguruwe tu.Nona wanawashwawasha na hawatulii.