Kweli Mnaingia kwenye uchaguzi bila Tume huru ya Uchaguzi?
Kweli! Mnaingia na Tume iliyoteuliwa na mmoja wa wagombea! Mnawezaje hata kuwaza kuwa mtashinda? Nawasikia mkisema mtashinda kwa nguvu ya umma! Umma upi? Ulioandaliwaje?
Mnadharau hata kauli ya wazi ya Katibu mkuu wa ccm kuwa wao watatumia vyombo vyote vya dola kuwapa ushindi. Hata sasa vyombo vyote ni ccm. Si hata kuna wengine wenu wapo ndani? Naona mtakavyokuwa mnalia baada ya uchaguzi huku mkiwa chini ya mtutu wa bunduki. Hakuna kuleta fyoko! Kwa nini hamuoni? Mmelogwa na nani?
Sio Membe wala Lissu. Kwa katiba hii, tume hii, na ccm hii, upinzani kuingia ikulu labda baada ya miaka 100. Nitawacheka siku ya matokeo kutangazwa, na kama mtashinda nichekeni.
Tukutane hapa siku hiyo.