Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni ukweli usiopingika CCM wanawanunua wanachama wa CHADEMA na ushahidi upo japo wanachoahidiwa hawakipati kama wanavyoshawishiwa. Kujiuzulu kwao udiwani na ubunge ni kuendelea kuwafanya raia...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Baada ya Uchaguzi Mkuu kupita, nayaona yaliyojitokeza venezuela yakitokea kwa Mwanasiasa Tundu Lissu. Namfanisha Tundu Lissu na mwanasiasa wa Venezuela, Juan Guaido ambaye alitumiwa sana na...
20 Reactions
47 Replies
5K Views
Mapema Baada ya kuapa ndani ya Bunge la 12 Mjini Dodoma, Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe akihojiwa na chombo cha Habari cha Dar Mpya amenukuliwa akisema. Jimbo la Hai lilikosa uwakilishi sahihi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Akiwa mgeni rasmi katika siku ya wanawake duniani (8.03.2017) mkoani Geita Mbunge wa viti maalum wa mkoa wa Geita kupitia CHADEMA Mh. Upendo Furaha Peneza amewapa zawadi wanawake zaidi ya 200...
4 Reactions
46 Replies
9K Views
Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema mh Tundu Lissu amewasili salama salimini nchini Ubelgiji. Tundu Lissu amesema ameamua kwenda kuishi Ubelgiji na siyo sehemu nyingine kwa sababu ameshakaa nchini...
4 Reactions
53 Replies
5K Views
Wanajamvi, Mimi nashauri CHADEMA wajipange kuweka mgombea mwanamke kiti cha urais 2015. Ningependekeza waanze kufanya mkakati wa kumshawishi mwanaharakati asiyeyumba mama ANANILEA NKYA awe...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Baada ya siku ya uchaguzi wa BAVICHA TAIFA tarehe 11/09/2014 nilipata simu na message nyingi kutoka kwenu ndugu zangu za kunipongeza. Salam hizi zilikuwa za wanachadema,wanachama wa vyama...
20 Reactions
52 Replies
7K Views
KUMBUKIZI(THROWBACK -TBT) ALHAMISI HII IMENIKUMBUSHA VISA,USALITI NA VITIMBI VYA UPINZANI KANDA YA KASKAZINI 2015 CCM inalea vijana kutoka chini,Wanakuja kuwa Faida kubwa kwa Taifa,Fuatana Na...
0 Reactions
1 Replies
884 Views
Congress of the united States DC 20515 December 20, 2019 The Honorable Dr. John Magufuli President of the United Republic of Tanzania State House Dar es Salaam United Republic of Tanzania Dear...
84 Reactions
385 Replies
52K Views
Habari za saa wajumbe wangu, Kuna ndoto ambayo nimeona na nikaamka usiku wa kuamkia jana kwamba viongozi wetu wa dini hasa hasa jamaa zetu wa Rome wanashiriki kumshauri mzee zaidi ya 75%. Si...
1 Reactions
3 Replies
930 Views
1. Umemuonyesha Magufuli na Ndugai ukuu wa Mungu. Umepona, umerudi na watanzania wote wameshuhudia kuwa Mungu ni mkuu sana. 2. Wale waliokupiga risasi, wakazuia usitibiwe, wakakunyima mshahara na...
57 Reactions
45 Replies
6K Views
Mgombea urais wa JMT, Dkt. Magufuli amesema watanzania wawe makini wanapopiga kura kwani uchaguzi huu ndio utaamua kuendelea kuwepo kwa Muungano au kuvunjika. Chanzo: Wasafi tv Maendeleo hayana...
1 Reactions
63 Replies
7K Views
Huku akiwasilisha kwa mbwembwe zilizoonekana kuwa ni za kishabiki akipinga hoja zilizowalishwa na kambi ya upinzani bungeni, Werema alishindwa kuunga mkono hoja ya Upinzani kuhusu mstakabari wa TZ...
2 Reactions
151 Replies
23K Views
Hongera sana Watanzania kwa kutuheshimisha na kutuletea maendeleo. Dkt. Magufuli utaendelea kuwa kileleni katika uongozi uliotukuka. Sasa tuna kazi moja kubwa ya kuijenga Tanzania kuelekea kwenye...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Wabunge wa Viti Maalum 1. Maida Hamadi Abdallah 2. Munde Tambwe Abdallah 3. Rose Vicent Busiga 4. Mwantum Dau Haji 5. Agnes Elias Hokororo 6...
14 Reactions
154 Replies
25K Views
Kauli ya Mwanasiasa GENTAMYCINE wiki Mbili zilizopita.... "Namalizia Kampeni zangu za Kupambana na Magufuli ila Uchaguzi Mkuu ukiisha tu naenda Kijijini Butiama Mkoani Mara Kutibiwa zangu...
14 Reactions
45 Replies
4K Views
Wakuu, Hili ni bandiko la swali ili kupata uelewa mpana kuhusiana na taswira mpya wanasiasa wa Tanzania na washirika wao wanavyoonesha katika siku za hivi karibuni. Je, kuna uhusiano gani wa...
8 Reactions
82 Replies
9K Views
Hawa watu kisaikolojia nina uhakika wako katika hali ngumu sana japo wanaweza kujikaza kuonyesha wana furaha (wako normal) ila wanaishi huku nafsi zao zinawaima na kuwasuta na hata raha ya hizo...
16 Reactions
33 Replies
3K Views
Spika wa Bunge Ndugu Job Ndugai amesikika akisema kuwa kwa sasa anataka bunge lipewe nafasi zaidi ya kusikika na anataka wabunge wajitahidi kuwa wasemaji, wasiwe mabubu wasijipendekeze. Hii ina...
12 Reactions
15 Replies
2K Views
Moja ya kipimo cha kuimarika kwa upinzani ni uwepo wa Kambi rasmi ya upinzani na mabaraza ya madiwani yanayoongozwa na vyama vya upinzani. Kwa sasa hapa Tanzania hivyo vyote havipo. Ni kama vile...
7 Reactions
70 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…