zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 10,917
- 8,864
Wanajamvi,
Mimi nashauri CHADEMA wajipange kuweka mgombea mwanamke kiti cha urais 2015.
Ningependekeza waanze kufanya mkakati wa kumshawishi mwanaharakati asiyeyumba mama ANANILEA NKYA awe mgombea.
Sipati picha hicho kimbunga kitakavyokuwa, CCM watazimia, pia huenda itasaidia hata kwenye nafasi za ubunge kuondoa huu udhalilishaji wa wanawake kupewa viti maalum.
Hivi nchi zilizoendelea kuna viti maalum kweli?