Watu wa Mjengoni nina hakika nafasi zao zinawasuta, hawana raha, hawana amani na wanaona hata aibu wakiangaliana usoni

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,076
144,511
Hawa watu kisaikolojia nina uhakika wako katika hali ngumu sana japo wanaweza kujikaza kuonyesha wana furaha (wako normal) ila wanaishi huku nafsi zao zinawaima na kuwasuta na hata raha ya hizo nafasi hawana kwani raha ya nafasi hizo ni pale unapomshinda mpinzani wako kwa kupambana na si kwa kubebwa na system.

Ukweli ni kwamba, kiwango cha dhuluma na uharamia uliofanyika ni mkubwa mno probably beyond their expectations, na kwakuwa wameshaharibu, hawana namna zaidi ya kuishi huku nafsi zao zinawalilia.

Ukweli mwingine ni kuwa,hata kama rafu zitafanyika, basi walau iwe kwa kila mtu kucheza rafu kivyake katika eneo lake kuliko hii inaonekana hata mbele ya kipofu kuwa ni organised crime iliyofanywa na system tena kwa nchi nzima.

Ninahakika kuna wakati hata wao wenyewe watakuwa wanaona aibu kuangaliana usoni pale macho yao yanapogongana wakiamini hawakustahili kuwa hapo walipo bali wako kwasababu haki za wengine zimeminywa na itawachukua muda kuzoe hali hii na pengine wasiizoee kabisa.

Wanaoteseka na kuumia sio hawa wa Mjengoni tu, bali bila shaka ni pamoja na wapenzi, wanachama na mashabiki wa chama hiki nchi nzima. Ni wazi wako wanaomlaumu mwenyekiti wao kwa kusimamia hujuma hii inayofanya chama chao kidharaulike na kukiondolea kabisa credibility mbele ya umma na hata kimataifa.
 
Hawa watu kisaikolojia nina uhakika wako katika hali ngumu sana japo wanaweza kujikaza kuonyesha wana furaha(wako normal) ila wanaishi huku nafsi zao zinawaima na kuwasuta na hata raha ya hizo nafasi hawana kwani raha ya nafasi hizo ni pale unapomshinda mpinzani wako kwa kupambana na si kwa kubebwa na system.
Hivi mmeshamfuta uanachama Mheshimiwa Khenani?
 
Mlianza membe anapitishwa na kamati kuu ccm anamtoa jiwe, mkaja jiwe Kuna watu CCM hawamkubali wanamnafkia, mkaendelea na kusema lisu anachukua nchi, mkaendelea tena kusema CCM wanajaza watoto kwenye mikutano yao, mkaamia CCM wameiba kura, baada ya muda mfupi mkasema tunaandamana nchi nzima, baada ya hapo mara nchi inawekewa vikwazo vya kiuchumi, leo watu wa mjengoni nafsi zao zinawasuta hawana raha hawana amani, nawaonea huruma maana msipo relax hayo mateso ni mpaka 2025.
 
Kigogo amvaa Lissu

IMG-20201111-WA0006.jpg
 
Hawa watu kisaikolojia nina uhakika wako katika hali ngumu sana japo wanaweza kujikaza kuonyesha wana furaha(wako normal) ila wanaishi huku nafsi zao zinawaima na kuwasuta na hata raha ya hizo nafasi hawana kwani raha ya nafasi hizo ni pale unapomshinda mpinzani wako kwa kupambana na si kwa kubebwa na system.

Ukweli ni kwamba, kiwango cha dhuluma na uharamia uliofanyika ni mkubwa mno probably beyond their expectations, na kwakuwa wameshaharibu, hawana namna zaidi ya kuishi huku nafsi zao zinawalilia.

Ukweli mwingine ni kuwa,hata kama rafiu zitafanyika, basi walau iwe kwa kila mtu kucheza rafu kivyake katika eneo lake kuliko hii inaonekana hata mbele ya kipofu kuwa ni organised crime iliyofanywa na system tena kwa nchi nzima.

Ninahakika kuna wakati hata wao wenyewe watakuwa wanaona aibu kuangaliana usoni pale macho yao yanapogongana wakiamini hawakustahili kuwa hapo walipo bali wako kwasababu haki za wengine zimeminywa na itawachukua muda kuzoe hali hii na pengine wasiizoee kabisa.

Wanaoteseka na kuumia sio hawa wa Mjengoni tu, bali bila shaka ni pamoja na wapenzi, wanachama na mashabiki wa chama hiki nchi nzima.Ni wazi wako wanaomlaumu mwenyekiti wao kwa kusimamia hujuma hii inayofanya chama chao kidharaulike na kukiondolea kabisa credibility mbele ya umma na hata kimataifa.
Mkuu, you are naive.
Inaonekana humjui mwafrika mweusi! Wengi ni mchanganyiko wa fisi na nyani.
Ile kuwa na guilt and conscience hamna! Paka shume na panya buku wana afadhali.
 
Hawa watu kisaikolojia nina uhakika wako katika hali ngumu sana japo wanaweza kujikaza kuonyesha wana furaha (wako normal) ila wanaishi huku nafsi zao zinawaima na kuwasuta na hata raha ya hizo nafasi hawana kwani raha ya nafasi hizo ni pale unapomshinda mpinzani wako kwa kupambana na si kwa kubebwa na system.

Ukweli ni kwamba, kiwango cha dhuluma na uharamia uliofanyika ni mkubwa mno probably beyond their expectations, na kwakuwa wameshaharibu, hawana namna zaidi ya kuishi huku nafsi zao zinawalilia.

Ukweli mwingine ni kuwa,hata kama rafiu zitafanyika, basi walau iwe kwa kila mtu kucheza rafu kivyake katika eneo lake kuliko hii inaonekana hata mbele ya kipofu kuwa ni organised crime iliyofanywa na system tena kwa nchi nzima.

Ninahakika kuna wakati hata wao wenyewe watakuwa wanaona aibu kuangaliana usoni pale macho yao yanapogongana wakiamini hawakustahili kuwa hapo walipo bali wako kwasababu haki za wengine zimeminywa na itawachukua muda kuzoe hali hii na pengine wasiizoee kabisa.

Wanaoteseka na kuumia sio hawa wa Mjengoni tu, bali bila shaka ni pamoja na wapenzi, wanachama na mashabiki wa chama hiki nchi nzima. Ni wazi wako wanaomlaumu mwenyekiti wao kwa kusimamia hujuma hii inayofanya chama chao kidharaulike na kukiondolea kabisa credibility mbele ya umma na hata kimataifa.
Hata wakilazimisha kuizoea hapa duniani,niwakumbushe kuwa watakuwa na maswali ya kujibu baada ya maisha ya duniani.
 
Hayo ni maoni yako wewe...yaani mtu asome kwa bidii then afaulu alafu uje useme anaona aibu sababu kafaulu.

Ni aina ya mawazo sawa na yale ya wanaojitisha wenyewe na kukimbia nchi.
 
Hawa watu kisaikolojia nina uhakika wako katika hali ngumu sana japo wanaweza kujikaza kuonyesha wana furaha (wako normal) ila wanaishi huku nafsi zao zinawaima na kuwasuta na hata raha ya hizo nafasi hawana kwani raha ya nafasi hizo ni pale unapomshinda mpinzani wako kwa kupambana na si kwa kubebwa na system.

Ukweli ni kwamba, kiwango cha dhuluma na uharamia uliofanyika ni mkubwa mno probably beyond their expectations, na kwakuwa wameshaharibu, hawana namna zaidi ya kuishi huku nafsi zao zinawalilia.

Ukweli mwingine ni kuwa,hata kama rafu zitafanyika, basi walau iwe kwa kila mtu kucheza rafu kivyake katika eneo lake kuliko hii inaonekana hata mbele ya kipofu kuwa ni organised crime iliyofanywa na system tena kwa nchi nzima.

Ninahakika kuna wakati hata wao wenyewe watakuwa wanaona aibu kuangaliana usoni pale macho yao yanapogongana wakiamini hawakustahili kuwa hapo walipo bali wako kwasababu haki za wengine zimeminywa na itawachukua muda kuzoe hali hii na pengine wasiizoee kabisa.

Wanaoteseka na kuumia sio hawa wa Mjengoni tu, bali bila shaka ni pamoja na wapenzi, wanachama na mashabiki wa chama hiki nchi nzima. Ni wazi wako wanaomlaumu mwenyekiti wao kwa kusimamia hujuma hii inayofanya chama chao kidharaulike na kukiondolea kabisa credibility mbele ya umma na hata kimataifa.
Sidhani kuwa CCM wana ubinadamu huo wa kuhisi aibu kwa jambo hili.
 
MaCCM ni MAJIZI / MAJAMBAZI yanayotumia BUNDUKI kupora HAKI za Watu.
Lazima yajishitukie.. Mwizi hawezi kuwa na Amani ya nafsi.
 
Hawa watu kisaikolojia nina uhakika wako katika hali ngumu sana japo wanaweza kujikaza kuonyesha wana furaha (wako normal) ila wanaishi huku nafsi zao zinawaima na kuwasuta na hata raha ya hizo nafasi hawana kwani raha ya nafasi hizo ni pale unapomshinda mpinzani wako kwa kupambana na si kwa kubebwa na system.

Ukweli ni kwamba, kiwango cha dhuluma na uharamia uliofanyika ni mkubwa mno probably beyond their expectations, na kwakuwa wameshaharibu, hawana namna zaidi ya kuishi huku nafsi zao zinawalilia.

Ukweli mwingine ni kuwa,hata kama rafu zitafanyika, basi walau iwe kwa kila mtu kucheza rafu kivyake katika eneo lake kuliko hii inaonekana hata mbele ya kipofu kuwa ni organised crime iliyofanywa na system tena kwa nchi nzima.

Ninahakika kuna wakati hata wao wenyewe watakuwa wanaona aibu kuangaliana usoni pale macho yao yanapogongana wakiamini hawakustahili kuwa hapo walipo bali wako kwasababu haki za wengine zimeminywa na itawachukua muda kuzoe hali hii na pengine wasiizoee kabisa.

Wanaoteseka na kuumia sio hawa wa Mjengoni tu, bali bila shaka ni pamoja na wapenzi, wanachama na mashabiki wa chama hiki nchi nzima. Ni wazi wako wanaomlaumu mwenyekiti wao kwa kusimamia hujuma hii inayofanya chama chao kidharaulike na kukiondolea kabisa credibility mbele ya umma na hata kimataifa.
Onyesha uanaume kwa kukubaliana na ukweli na maisha yaendelee. Acha kulia lia nakufungua nyuzi kila mahali unalia. Tumeanza kukushangaa kama kweli una ukomavu au ni mtoto wa watu laini laini wa ķulia lia. Watanzania wamekwishachagua Rais na wabunge wao. Wewe ni nani uwasemee.Boss wako anakula raha Ulaya wewe unalia lia hapa kila siku, ohh mara nchi imeaharibika, ohh mara tunawekewa vikwazo, mara nini. Tumechoka na mashairi yako ya kila siku ndugu yangu. Kubali maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom