Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

5 Reactions
163 Replies
13K Views
Kwa karne hii ya 21 yenye vizazi vya wasomi waliobobea katika nyanja mbalimbali hapa Tanzania hatuna mahakama ya kuhoji matokeo ya Urais ni aibu sana Vinchi vidogo vidogo vyenye population ndogo...
14 Reactions
45 Replies
3K Views
Wakati wa kampeni alipokuwa Ikungi district, nyumbani kwao na aliyekuwa mgombea wa CHADEMA Rais Magufuli alitamka maneno ya msingi sana ambayo yalionyesha nia yake ya kutaka maridhiano na...
25 Reactions
73 Replies
7K Views
Mgombea wa Urais CHADEMA Tundu Lissu leo ataendelea na Kampeni zake katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini. Arusha na Kilimanjaro ngome Kuu za CHADEMA tangu mfumo wa vyama vingi uanze wanatarajiwa...
57 Reactions
169 Replies
22K Views
UHUSIANO WA CHADEMA, TUNDU LISSU NA UBELGIJI: KWA NINI TUNDU LISSU ALIKIMBILIA UBALOZI WA UJERUMANI? Leo 20:30hrs 14/11/2020 Ilani ya CHADEMA ikinadiwa na mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu...
12 Reactions
51 Replies
7K Views
Vitendo hivi vinazidi kushamiri nchini, watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji wamechoma moto magari na nyumba ya Msimamizi wa uchaguzi vile vile wamechoma moto magari na...
35 Reactions
220 Replies
22K Views
Ninajua wasifu wa Prof. Joseph Mbwiliza kwa kina. Ni Muha wa Kasulu huko Kigoma na ni mmoja wa maprofesa wa mwanzo kabisa wa kutoka maeneo ya ziwa Tanganyika. Mtoto wa mkulima aliyepata elimu...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Inavyoonekana neno uzalendo linatumika kuwakilisha matakwa binafsi zaidi na si kama lilivyokusudiwa katika matumizi yake. Mf. Mtu kaibiwa analalamika hasikilizwi, anataka aandamane kuonyesha...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari Jf, Napenda kuuliza kwa watu wenye taarifa zaidi juu ya waliokuwa Wabunge na sasa waligombea mfumo ukawakataa kwa sasa wanajishughulisha na majukumu gani ya kuwaingizia kipato kuweza...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Nimemsikia mgombea wa urais CCM anasema anataka Tanzania iwe kama Ulaya. 1. Mwambieni hakuna ulaya ambayo imezuia vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadahara na wananchi wake kuandamana. 2...
13 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwako GWAJIMA Kwanza tulianza kusikitishwa na video zako za ngono na wengine tukiamini wewe ni mtumishi wa mungu Leo umeita wananchi (MBWA) hadharani kumsherehesha aliye kupa ubunge wa...
22 Reactions
86 Replies
10K Views
Wana JF Tuseme ukweli tu ingawa ukweli mchungu, Wananchi wazalendo wa nchi hii wanakwenda kuiadhibu CHADEMA na mgombea wake Lissu tarehe 28 Oktoba. Si kwa sababu hawampendi Lissu la hasha. Ni kwa...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imongeza siku zoezi la kuwaapisha mawakala kutoka Oktoba 21 hadi 23 mwaka huu kutokana na changamoto ya idadi ya mawakala kuwa kubwa tofauti hali iliyo Akitoa...
13 Reactions
152 Replies
14K Views
Kupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara. NB Kwanini Serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa...
16 Reactions
104 Replies
13K Views
Eng. Zezudu, S.L.P. ......., Mbyct, 11/11/2020. Rais wa JMT, Dr. John P Magufuli, S.l.p.. ..... Ikulu, Chamwino, Dodoma. Mpendwa Mheshiwa rais, YAH. MAOMBI YA KAZI NDOGO AMBAYO ULIMUAHIDI TUNDU...
19 Reactions
84 Replies
8K Views
Walatini wana msemo wao mmoja nami nataka niuweke kwenye kiswahili kisicho rasmi, .Mahakama ya haki hufuatwa na wenye mikono safi. Hili halihitaji ufafanuzi, linajieleza na linaeleweka. Ila tu kwa...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuna tabia imezuka ya baadhi ya vijana waliozaliwa juzi hasa miaka ya 90 hasa waliokaribu na watawala na chama tawala CCM na baadhi walioaminiwa kushika madaraka kujiona kuwa wao ndio Tanzania...
35 Reactions
43 Replies
6K Views
Baada ya Bunge zima sasa kuwa ni Bunge la wana-CCM,wenzetu hawa wanaonekana bado kutoridhika na hata kuonekana kuumizwa na uwezekano wa wapinzani kuwaachia hata vile vite 4 au 5 vyote viwe vyao...
44 Reactions
99 Replies
7K Views
Mwamba ana mzigo mzito kipindi hiki. Anatakiwa afanye maamuzi magumu ambayo yatakuwa kufa au kupona kwa Chadema. Wakubali, wakatae, huu uchaguzi umekwisha na hakuna vikwazo wala matamko ya...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
ASKOFU GWAJIMA NA MATUMIZI YA TASWIRA ZA MBWA KUBWEKA NA JABALI. Naandika Magoda Jr. 📌 Kwa wale ambao hawakuwa wanadharau kipindi cha somo la kiswahili hasa katika mada ya fasihi basi neno...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…