Pamoja na sala wasomi wetu wanatakiwa kufanya utafiti wa madawa na teknologia

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,749
Inasikitisha hakuna jitihada za kufanya utafiti kwenye Afya hasa chanjo na mambo mengine ya technologia. Nchi nyingi za Kiafrica zinawaachia kila kitu nchi za hao tunaowaita mabeberu kuanzia utafiti wa chanjo za malaria mpaka Corona. Yaani imefikiwa wakati hakuna hata utamaduni wa utafiti sasa wasomi wetu na hizo PHD wanafanya nini ?

PHD zimekuwa za kujigamba tu lakini tukiuliza kuna uchunguzi gani mmefanya kutusaidia hakuna. Tunalalamika kila siku mabeberu lakini tunawategemea hata kwa vitu ambavyo tungeweza mfano hatufundishi watoto wetu kuweza kufanya coding na kujifunza techonologia za computer sasa je tutaweza vipi kuwa wabunifu kama watoto hawajui lugha ya computer?

Mifumo yote ya teknologia inatoka nje na cha kushangaza kuna Waafrica, wa Asia wengi wafanyakazi kwenye hizi nchi za Americas na Europe na sio kwenye nchi zao walizotoka kwasababu ya mazingira mabaya ya ubunifu.

India mfano kuna watu wapo India wanafanya kazi nchi nyingine kwa computer lakini sisi hata Rwanda wanaenda kutuzidi kwenye hili tungetakiwa tuwe na kituo kikubwa cha kufundisha watoto kuwa designers na engineers. Zaidi ya Madagascar kutoa dawa za kiasili hakuna nchi hata mmoja yenye kujaribu kutoa chanjo za magojwa kama Corona.

Inabidi tubadilike na wasomi wetu wasiiishie kuwa wanasiasa badala yake watuletee maendeleo kwenye sayansi na teknologia. Sala za miaka yote hazijaondoa Malaria na magojwa ambayo kwa wenzetu hayapo
 
Wote wana waza kuwa wanasiasa ona wale wale wakina kigwa wanashinda mitandao nadhan wale wameshasahau hata sindano inashwikwaje
 
Wenye passion ya uvumbuz ni wachache sana. Wengi wakishatoka vyuo wajafocus pesa kwanza. Ndio hawa unawakuta wameangukia kwenye siasa.
 
Inasikitisha hakuna jitihada za kufanya utafiti kwenye Afya hasa chanjo na mambo mengine ya technologia. Nchi nyingi za Kiafrica zinawaachia kila kitu nchi za hao tunaowaita mabeberu kuanzia utafiti wa chanjo za malaria mpaka Corona. Yaani imefikiwa wakati hakuna hata utamaduni wa utafiti sasa wasomi wetu na hizo PHD wanafanya nini ?

PHD zimekuwa za kujigamba tu lakini tukiuliza kuna uchunguzi gani mmefanya kutusaidia hakuna. Tunalalamika kila siku mabeberu lakini tunawategemea hata kwa vitu ambavyo tungeweza mfano hatufundishi watoto wetu kuweza kufanya coding na kujifunza techonologia za computer sasa je tutaweza vipi kuwa wabunifu kama watoto hawajui lugha ya computer?

Mifumo yote ya teknologia inatoka nje na cha kushangaza kuna Waafrica, wa Asia wengi wafanyakazi kwenye hizi nchi za Americas na Europe na sio kwenye nchi zao walizotoka kwasababu ya mazingira mabaya ya ubunifu.

India mfano kuna watu wapo India wanafanya kazi nchi nyingine kwa computer lakini sisi hata Rwanda wanaenda kutuzidi kwenye hili tungetakiwa tuwe na kituo kikubwa cha kufundisha watoto kuwa designers na engineers. Zaidi ya Madagascar kutoa dawa za kiasili hakuna nchi hata mmoja yenye kujaribu kutoa chanjo za magojwa kama Corona.

Inabidi tubadilike na wasomi wetu wasiiishie kuwa wanasiasa badala yake watuletee maendeleo kwenye sayansi na teknologia. Sala za miaka yote hazijaondoa Malaria na magojwa ambayo kwa wenzetu hayapo
Sisi inategemea na jiwe anataka nini na siyo taaluma zetu
 
JPM kasema kuwa Corona imesepa kwa sala. Sasa wewe unawataka ma-PhD holders wampinge rais kwa utafiti wao? Hiiiiiii!
 
Back
Top Bottom