Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NI HATUA NZURI TUNASHUKURU: Baada ya kutoa Tamko la Kupinga Mchakato na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliovurugwa, sisi CUF - Chama Cha Wananchi tulikuwa Chama Cha Kwanza kufanya " MAAMUZI MAGUMU"...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Akili iliyotumika kuwaingiza katika mitego ni kubwa sana na kwa mtu mwenye akili za kawaida asingeweza kujua nini kipo mbele yao. Lengo la mission hiyo ilikuwa ni kuwapoteza kabisa kwenye ramani...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
CHADEMA wameshapata mtazamo na muelekeo wa matakwa ya wanachama wao. Katika sayansi ya siasa, kitu kikubwa kinachoitajika katika kufanya maamuzi ni kuelewa vizuri mapokeo yake. Hivyo kama...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Najaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti. Utaratibu wa kuwapata wabunge...
14 Reactions
67 Replies
6K Views
Great Thinkers habari za asubuhi, Kwa kweli tangu CHADEMA ianzishwe kimekuwa ni chama cha matukio na kutengeneza movie zisizoisha. Kwa sasa tuna movie ya Wabunge Viti Maalum ambao nyepesi...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika agenda tisa zilizosababisha kuundwa kwa tume ya kusaka maoni ya maridhiano, mradi ukipewa jina la Mpango wa Kujenga Daraja, yaani Building Bridge Initiative (BBI) Kenya, nyingi zinaihusu na...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Nawashauri tu wale Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA kwamba badala ya kulialia kupitia media ni vema wakajifunza " subra" kwa mh Sophia Simba Mbunge wa Viti Maalum CCM. Subira ni jambo jema kuliko...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Kumekuwa na mawazo kwamba ofisi zenye mamlaka zinafanya fojari kwenye taarifa zake kwa faida za kisiasa. Japo hili halijathibitishwa. Mfano Mnyika wa CHADEMA amesema hajapeleka majina yoyote NEC...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Mh Rais samani I know una nguvu zote na Mamlaka ila hiki unakifanya kubeza njia za kisayansi na kupingana na watu wa afya wazi kweli unalitesa Taifa na kamwe hulijengi. Hivi kweli una apa...
23 Reactions
42 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar, Salum Bimani, amesema viongozi wa chama hicho wanafanya vikao na Wanachama wake katika majimbo ya Unguja na Pemba kufikia uamuzi...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
The Director of Public Prosecutions (DPP), Mr Biswalo Mganga, has ordered a criminal investigation into the reported shortage of cement and other construction materials in the country. Mr Mganga...
2 Reactions
94 Replies
8K Views
NIMERUDIA kuisikiliza Hotuba ya Mheshimiwa Freeman Mbowe, Mara kadhaa. Hii ni hotuba inaweza kudumu kwa muda mrefu sana kama rejea sahihi ya maamuzi sahihi yaliyowahi kufanywa na CHADEMA, tangu...
18 Reactions
26 Replies
3K Views
Mheshimiwa Kikwete alihoji upi ni Mpango Mkakati uliowekwa na Tarura kuondoa kero ya Barabara chakavu kwenye Jimbo la Chalinze Tuliahidi Tunatekeleza
2 Reactions
3 Replies
906 Views
Mabibi na mabwana haihitaji elimu ya kiwango cha PhD kutambua sakata la Wabunge wa Viti Maalum limegubikwa na jinai ya wazi. Haihitaji elimu kama hiyo kutambua kuwa ni nani aliye nyuma ya jinai...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Habarini Wanajanvi Kutokana na mkanganyiko wa mambo ya Kisisa Nchini na hata kusababisha Tafsiri tata kwa baadhi ya mambo tulioyodhani ni ya kawaida na ni mepesi kuyafahamu na kuyajua. Kabla...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kila mwaka serikali hupewa $900M (zaidi ya shilingi Trilioni 2) kwa masharti kuwa "oversee committees" za bunge ziongozwe na kambi ya upinzani na kutoa theluthi moja au zaidi ya wajumbe. Kamati...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Tulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
32 Reactions
469 Replies
87K Views
Wakuu amani iwe nanyi. Sakata la wabunge viti maalumu CHADEMA linazidi kutokota na huu ndiyo ushauri wangu kwa Chama. 1. Mdee na genge lake watimuliwe kwani wakiachwa watakuwa madouble agents na...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
  • Closed
Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la CHADEMA kuhusu Wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa. Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa. Msituchoshe jamani...
2 Reactions
64 Replies
5K Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, alipohojiwa na MwanaHALISI Online juu ya maoni yake kuhusu sakata la CHADEMA. Sakata hilo liliibuka...
12 Reactions
41 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…