ALERT
CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na...
Mheshimiwa Rais Magufuli leo acha niwashitaki hawa viumbe wawili Polepole na Bashiru kwako.
Hawa ndio watu wanaofanya leo uchaguzi unakuwa mgumu kwako kutokana na mbinu yao ya ushawishi...
Niseme wazi binafsi sikusitushwa sana na usaliti uliofanywa na akina mdee kwani ni kawaida na ni historia ya kale tukianzia kwa Adam na Eva.
Tumeona nguvu ya Mwanamke ilivyoyumbisha nguvu ya Dr...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhmi ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 16 Januari, 2017 amefanya uteuzi wa Wabunge wawili wa Bunge la Jamhuii ya Muungano...
Viti Maalum vya wabunge Wanawake vimewekwa ili kulipa fursa kundi hilo la jamii kwenye ulingo wa siasa.
Mantiki yake ni kuwa, katika vurugumechi za siasa, wanaume huwazidi wanawake kutokana na...
Wiki hii ulimwengu wa siasa nchini umetekwa na CHADEMA. Tukio la wanachama wake 19 wakiongozwa na aliyekuwa mwenyeketi wa BAWACHA Halima Mdee kukiasi chama na kwenda kuapa Bungeni kama wabunge wa...
Ole wenu CHADEMA!!
Mtihani huu uliopo CHADEMA ndio utakaoamua msitakabali wa Chama hicho, ama Chama kiendelee kuwepo kikiwa na nguvu ileile ama kuzikwa rasmi ikiwa hekima haitatumika kuamua...
Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Pius Msekwa amedai uamuzi uliofanywa na Spika wa Bunge Job Ndugai wa kumvua Ubunge aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu uko...
Kutokana na haya yanayotokea chama kina jumla ya Wabunge 20 hii inamaanisha kitapata ruzuku kutokana na idadi hiyo ya Wabunge.
Ikiwa bado wataendelea kuwa Wabunge hao 19 hiyo ruzuku chama...
Katibu Mkuu wa BAVICHA, Nusrat Hanje na mratibu wa uhamasishaji taifa, Twaha Mwaipaya wapo gerezani zaidi ya miezi miwili kwa kile kinachodaiwa kuharibu wimbo wa taifa kwa kusema "Mungu ibariki...
Huyu mkuu wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza amekua akikusanya Watumishi wa Umma katika kila tarafa kuzungumza na kuwatisha kwamba yeyote atakayeongelea upinzani au kuupigia kura upinzani. Wakati...
Twende kwenye hoja moja kwa moja.
Chadema iliwapa fursa wanawake takribani 60 kugombea kwenye majimbo mbalimbali. Miongoni mwao walikatwa kikatili na bila sababu na tume ya Taifa na kunyimwa...
Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Profesa Adelardus Kilangi amewaonya CHADEMA kutowabugudhi wabunge wa chama hicho wa viti maalum kutoka chama hicho.
Profesa Kilangi amesema, mchakato wa Wabunge wa...
Hakuna kitu kinanoga Kama kukaa kikao mkachambua hoja,mkatafuta facts za kikatiba na kisheria kisha mkatumia sheria na katiba kutoa maamuzi.
Hii nchi ina wasomi wengi na wapo CCM, nimefuatilia...
Kuna jinai kubwa imetendeka.
Kuna uvunjaji mkubwa wa Katiba na Sheria za nchi umetokea. Mhusika lazima abainishwe na achukuliwe hatua kali za kisheria. Mambo yako hivi: CHADEMA wamesema na...
Salaam wanabodi kwa hakika binadamu wengi wanaamini mtu aliyesoma sana kuwa ndo anajua kila kitu na wenye elimu ndogo kudharaulika lakini sivyo kuna watu kwa hakika unajiuliza Mtu aliesoma...
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si...