Ole wenu CHADEMA mkajidanganya

paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
3,192
2,000
Ole wenu CHADEMA!!

Mtihani huu uliopo CHADEMA ndio utakaoamua msitakabali wa Chama hicho, ama Chama kiendelee kuwepo kikiwa na nguvu ileile ama kuzikwa rasmi ikiwa hekima haitatumika kuamua mgogoro huo

Wengi wenu mnamuona Mdee,Bulaya, Matiku na wenzao walioapa bungeni juzi, Lakini aminini kwamba, kuna kundi na nguvu kubwa iliyo nyuma Yao na ndani Yao ni viongozi wandamizi chamani

Maamuzi yenye Hekima pekee ndiyo yatakayoifanya CHADEMA iendelee kuwepo!!

Swali ni Je!

Ni nani atakuwa mwamuzi katika Hilo ikiwa baadhi ya viongozi ngazi za juu kabisa nao wamo kwenye skendo hii??

Jua na mvua Bora nini??
 

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
37,414
2,000
Ni hivi yoyote aliyekubali kupata fahari za shetani hatakiwi, piga chini maana nguvu ya CDM ni sisi wapiga kura wao,na tuko tayari kwa mamuzi ya kuwapiga chini wahuni wote walioungana na shetani. Kwakuwa shetani ana nguvu ya muda mfupi, awarudishe kwa kiburi cha madaraka.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom