CHADEMA na usaliti wa Mwanamke

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
27,126
39,344
Niseme wazi binafsi sikusitushwa sana na usaliti uliofanywa na akina mdee kwani ni kawaida na ni historia ya kale tukianzia kwa Adam na Eva.

Tumeona nguvu ya Mwanamke ilivyoyumbisha nguvu ya Dr. Slaa kiasi cha kutupa kitaulo dakika za mwisho.

Jana tena Mzee Mdee na msimamo wake wote alishindwa kufurukuta mbele ya Mwanamke

Anyway, Mbowe hongera sana umeamsha matumaini ya wengi.

Tuwekeeni utaratibu wa kuchangia chama kama ruzuku.
 
Mbona wanaume waliojiuzulu na kuhamia ccm na kutumia mabilion hamkuwalaumu na kumhusisha shetani, tena hivi viti maalumu viko kikatiba kabisa. Acheni kulaumu wanawake siasa za nchi hii zimejaa Sana uyuda
 
Mkuu mi nimetolea tu mfano viongozi wazito waliosaliti mapambano

Dr Slaa aliponzwa na mwanamke
Mzee Mdee kaponzwa na mwanamke
 
Mkuu mi nimetolea tu mfano viongozi wazito waliosaliti mapambano

Dr Slaa aliponzwa na mwanamke
Mzee Mdee kaponzwa na mwanamke
Hahaaaa Ila bulaya ndio kamharibu Mdee, ujue usingizi wako ni nadra Sana kuubishia ukikushawishi
 
Hahaaaa Ila bulaya ndio kamharibu Mdee, ujue usingizi wako ni nadra Sana kuubishia ukikushawishi

Ndo hapo sasa halafu wajinga wengine humu walikua wanashawishi eti CHADEMA isiwafukuze shit!!
 
;
Ndo hapo sasa halafu wajinga wengine humu walikua wanashawishi eti CHADEMA isiwafukuze shit!!

Kwani wamefukuzwa?
Mbona Mbowe kasema wamevuliwa Tu vyeo na wanatakiwa kuomba msamaha?

Hii habari kuwa wamefukuzwa iko wapi??
 
;

Kwani wamefukuzwa?
Mbona Mbowe kasema wamevuliwa Tu vyeo na wanatakiwa kuomba msamaha?

Hii habari kuwa wamefukuzwa iko wapi??

Labda hukusikia hotuba yote. Watu washaanua matanga mkuu. Wamefukuzwa!!
 
;

Kwani wamefukuzwa?
Mbona Mbowe kasema wamevuliwa Tu vyeo na wanatakiwa kuomba msamaha?

Hii habari kuwa wamefukuzwa iko wapi??
Instagram media - CIG22sMprOv ( 466 X 640 ).jpg
 
Back
Top Bottom