Maalim Seif alikuwa mwanasiasa wa upinzani ambaye ameleta na kukuza upinzani huko visiwani Zanzibar na inasemakana ameshinda Mara kadhaa ingawa chama tawala hakikuwa tayari kumtangaza kuwa ndiye...
Serikali imesema idadi ya walimu wa shule za msingi na sekondari walioajiriwa ni 8,000 pekee tofauti na 13,000 inayolalamikiwa na wadau. Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma...
Kumekuwa na maoni mengi hasa baada ya ACT-Wazalendo na MAALIM kukubali yaishe kwa Serikali ya mapinduzi Zanzibar, kumekuwa na na majibu hasa kutoka kwa ACT-Wazalendo wakitetea walichokifanya...
Ndege maalumu ya Rais Tanzania pia hutumika kubeba viongozi wa Serikali
Wabunge wa CCM Zanzibar wameibua zengwe jipya dhidi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad kwamba anatumia...
Wanabodi,
Naomba kwanza kukiri kuwa mimi sio mchumi, ila ninasoma tuu hoja za wachumi katika economical direction of our nation, the opportunities we have and how do we grab them for our advantage...
Watazame na wasikilize wanaoongoza serikali hii yaani CCM, Magufuli na wenzake wanavyojitetea kwa kila aina ya mashambulizi ya mwili na maneno mabaya dhidi ya wanaowaona kama vikwazo kwao yaani...
Habari ya ACT Wazalendo kukubali kuwa sehemu ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zimekuwa za kuwashtua wafuatiliaji wengi wa masuala ya kisiasa.
Wengi Wanajiuliza je ACT Wazalendo imekubali dhuluma...
Tuliahidi
Tumetekeleza
Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu Huleta Matokeo Chanya Kwetu Sote
=======
Kassim Majaliwa: Interest yetu, tuanze kutoa huduma mara moja na kwakuwa kunakuja nyongeza ya...
Habari Wadau.
Niende moja kwa moja Kwenye Hoja Yangu ya Leo kuhusu Uwekaji Wa Jiwe la Msingi Katika Miradi Mbalimbali Inayotekelezwa Na Serikali Kwa Pesa Za Umma Au Misaada. Kwangu mimi Naona...
Salam wanajukwaa,
Kwanza nianze kuwapongeza ACT-Wazalendo kwa ukomavu mkubwa wa kisiasa waliouonesha hakika hii ni ishara ya kuwa ni chama ambacho kinaweka maslahi mapana ya Taifa mbele.
Katika...
Hii ni taarifa kutoka Zanzibar iliyotufikia hivi punde, kwamba Dkt. Hussein Mwinyi ameteua Ndugu Nassoro Mazrui ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo pamoja na Mwanasheria wa Chama hicho...
Serikali kwa kupitia Wizara ya Utalii na Maliasili iltoa orodha ya mahoteli yanayopswa kulipia vitanda siku nchi nzima na kumkabidhi Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Mhede kuifanyia kazi.
Orodha hiyo ya...
Yanapokuja masuala ya mitazamo au mitizamo (attitudes) kila mtu yuko sahihi kwa upande wake. Kwahiyo hakuna aliye sahihi zaidi kuliko mwingine, wala anayekosea maana ni mtazamo wake.
Wale...
Wakati tukiwa tunashangazwa na kuumizwa na usaliti unaofanywa na baadhi ya wanasiasa wetu, binafsi naanza kupata mashaka kuwa huenda kuna rushwa kubwa inatumika kuwarubuni wanasiasa hawa mpaka...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara ikamilishe utaratibu wa kuwa na bei kikomo ya saruji ili kuuwezesha kila mkoa kujua bidhaa hiyo inapaswa kuuzwa kwa bei gani...
Ameunguruma Simba, Nchi imetetemeka
Manyang'au yamevimba, Aibu imewashika
Yalijiona miamba, Ile isiyovunjika
Hongera sana Mbowe, Wewe ni mtu makini
Hawa watu waonevu, Ni watu waso na soni
Matendo...
Mengi yamesemwa kuhusu nia ya Profesa Makame Mbarawa kugombea Urais Zanzibar 2020. Wapo waloandika makala zenye uwiano bora, wapo walomponda na kusema hana nafasi lakini pia wapo walomsifia...
Wanabodi,
Kwa vile uchaguzi wa Zanzibar pia umesababisha vidonda na bado ni vibichi, damu bado haijakauka, hivyo naomba kuanza bandiko hili kwa a healing massage ya kuponya vidonda kwa kuungana...
Wanabodi,
Hii ni Barua yangu ya Wazi kwa Ndugu yangu mwana fani mwenzangu wa tasnia ya habari na mwanasheria Mwenzangu, Ally Saleh, ambaye kwenye mambo ya Zanzibar, tumetoka naye mbali, toka...
Sambamba, je, kusaidia kumaliza au kupunguza uhasama, mizozo na mpasuko, Zanzibar inahitajia haki ya kijinai (criminal justice) au inahitajia zaidi haki ya kisiasa (political justice)?
Na, Khalid...