Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei: Vunjo tumekwamishwa na watu wasio makini

TAMU YA LEO

Member
Mar 26, 2020
8
3
Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro limetajwa kushindwa kupiga hatua za kimaendeleo kwa miaka kumi kwa kukosa mwakilishi sahihi wakutatua changamoto zilizopo.

Kutokana na hali hiyo mgombea ubunge katika jimbo hilo kupitia chama cha mapinduzi(CCM)Dkt Charles Kimei amesema sasa ni muda muafaka wakuleta maendeleo ambayo kwa muda ni kama yamedumaa.

Dkt Kimei alisema changamoto ni nyingi ila kwa utashi alio nao ataweza kuzitatua na kupunguza makali ya maisha kwa wanavunjo kama ilivyo dira ya serikali ya awamu ya tano.

''Changamoto zilizopo zinaenda kupata ufumbuzi ninazijua na ndio maana naomba mnitume nikawe mwakilishi wenu haya si maisha ya wana Vunjo ni kuwa hatuna mtu sahihi''alisema

Dkt Kimei alisema miongoni mwa mambo yanayowakwamisha wanavunjo ni pamoja na miundombinu duni katika masoko,sanjari na uelewa duni wa fursa za mikopo yenye riba nafuu.

Alisema endapo atachaguliwa ni lazima ahakikishe kuweka nguvu katil kuboresha mambo hayo ili kuweza kuwavusha wananchi kutoka sehemu moja hadi nyingine kiuchumi na kimaendeleo.

Mgombea udiwani kata ya Mwika Kusini(CCM)Dan Pius alisema muda umefika sasa kwa wananchi kufanya maamuzi sahihi ambayo yana tija kwa siku zijazo.

Alisema serikali haijashindwa kuleta maendeleo ila tatizo lililokuwepo ni kukosa watu sahihi na makini wenye uchungu wa kimaendeleo ambapo wengi hawayafikirii hayo hutafuta maslahi binafsi.

Mwisho.
IMG-20200901-WA0008.jpg
 
2. Charles Kimei hajulikani jimbo la vunjo na Kitendo cha halmashauri Kuu ya Kamati kuu ya CCM kukata Jina la inock koola zadock mtoto wa Tajiri wa kimarangu Mzee Koola(Mmiliki wa makampuni ya Zadock A1outdoor Africa), ambaye alishinda kura Za maoni imeigawanyisha CCM jimboni vunjo pande mbili, wanao muunga mkono kimei na wale walichukizwa na kitendo cha koola kukatwa. Palikuwa hakuna shamrashara kimei alivyotangazwa kama mgombea wa ubunge CCM vunjo. Pili, kulazimishwa kustaafu CRDB, wananchi wa vunjo wanajua Magufuli alishauri astaafu kuliko kutumbuliwa kwa kashfa ya kulipwa mil 45 kwa mwezi. Hawa ndio wale waliomchukiza magufuli kwa kulipwa zaidi ya mil 40 kwa mwezi na alisema hadharani.
3. James Mbatia alivyoshinda ubunge 2015 alilikacha jimbo na hakufanya kitu na alikuwa anaonekana kwa nadra sana jimboni humo. Alichangisha kila kaya 20,000 Za kuchonga barabara Jambo ambalo halikulitekeleza na limewaudhi wananchi jimboni humo. Jambo jingine ni kwamba mbatia ushindi wake wa 2015 ulibebwa na ukawa na dhana kwamba lowassa angekuwa Rais na mbatia kuwa waziri lakini hicho kitu hakipo kwa sasa kila chama kinajigemea hata Chadema ilimsaidia ashinde 2015, mwaka huu wameweka mgombea grace kiwelo.

Mrema anashinda VUNJO
 
Atuambie akiwa CRDB ni namna gani alipunguza riba ya mikopo ili kuwezesha wananchi wengi kukopa au anataka kuanzisha benki yake itakayokuwa inatoa mikopo kwa riba nafuu??
Pili afafanue mikakati ya kutatua hizo changamoto alizotaja kama kweli zipo hivyo na siyo kuishia kutaja tu kuwa atafanya hili au lile.
Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro limetajwa kushindwa kupiga hatua za kimaendeleo kwa miaka kumi kwa kukosa mwakilishi sahihi wakutatua changamoto zilizopo.

Kutokana na hali hiyo mgombea ubunge katika jimbo hilo kupitia chama cha mapinduzi(CCM)Dkt Charles Kimei amesema sasa ni muda muafaka wakuleta maendeleo ambayo kwa muda ni kama yamedumaa.

Dkt Kimei alisema changamoto ni nyingi ila kwa utashi alio nao ataweza kuzitatua na kupunguza makali ya maisha kwa wanavunjo kama ilivyo dira ya serikali ya awamu ya tano.

''Changamoto zilizopo zinaenda kupata ufumbuzi ninazijua na ndio maana naomba mnitume nikawe mwakilishi wenu haya si maisha ya wana Vunjo ni kuwa hatuna mtu sahihi''alisema

Dkt Kimei alisema miongoni mwa mambo yanayowakwamisha wanavunjo ni pamoja na miundombinu duni katika masoko,sanjari na uelewa duni wa fursa za mikopo yenye riba nafuu.

Alisema endapo atachaguliwa ni lazima ahakikishe kuweka nguvu katil kuboresha mambo hayo ili kuweza kuwavusha wananchi kutoka sehemu moja hadi nyingine kiuchumi na kimaendeleo.

Mgombea udiwani kata ya Mwika Kusini(CCM)Dan Pius alisema muda umefika sasa kwa wananchi kufanya maamuzi sahihi ambayo yana tija kwa siku zijazo.

Alisema serikali haijashindwa kuleta maendeleo ila tatizo lililokuwepo ni kukosa watu sahihi na makini wenye uchungu wa kimaendeleo ambapo wengi hawayafikirii hayo hutafuta maslahi binafsi.

Mwisho.View attachment 1555752
 
Mrema hawezi kushinda
2. Charles Kimei hajulikani jimbo la vunjo na Kitendo cha halmashauri Kuu ya Kamati kuu ya CCM kukata Jina la inock koola zadock mtoto wa Tajiri wa kimarangu Mzee Koola(Mmiliki wa makampuni ya Zadock A1outdoor Africa), ambaye alishinda kura Za maoni imeigawanyisha CCM jimboni vunjo pande mbili, wanao muunga mkono kimei na wale walichukizwa na kitendo cha koola kukatwa. Palikuwa hakuna shamrashara kimei alivyotangazwa kama mgombea wa ubunge CCM vunjo. Pili, kulazimishwa kustaafu CRDB, wananchi wa vunjo wanajua Magufuli alishauri astaafu kuliko kutumbuliwa kwa kashfa ya kulipwa mil 45 kwa mwezi. Hawa ndio wale waliomchukiza magufuli kwa kulipwa zaidi ya mil 40 kwa mwezi na alisema hadharani.
3. James Mbatia alivyoshinda ubunge 2015 alilikacha jimbo na hakufanya kitu na alikuwa anaonekana kwa nadra sana jimboni humo. Alichangisha kila kaya 20,000 Za kuchonga barabara Jambo ambalo halikulitekeleza na limewaudhi wananchi jimboni humo. Jambo jingine ni kwamba mbatia ushindi wake wa 2015 ulibebwa na ukawa na dhana kwamba lowassa angekuwa Rais na mbatia kuwa waziri lakini hicho kitu hakipo kwa sasa kila chama kinajigemea hata Chadema ilimsaidia ashinde 2015, mwaka huu wameweka mgombea grace kiwelo.

Mrema anashinda VUNJO
 
Jimbo hili ni gumu sana jimbo lenye wasim wengi wanaofanyakazi na waliostaafu sio rahisi kukurupuka na kukudanganya nitakupiga chini tu. Mbatia alichangisha watu kwa ajili ya kukarabati njia za kijijini na shule walianza na barabara ila uongozi wa Mkoa ukawasimamisha kuwa wanaingilia kazi za halmadhauri za ccm mbazo hazifanywi wala hazijafanywa hadi leo.
 
Ccm ni janga
 
Kilimanjaro hawataki kusubiri serikali wawajengee barbara za kijijini tunaweza kuzifanya wenyewe kwani wamedhindwa kwa muda mrefu ila Serikali hawataki kuona wananchi wakiunda makundi vyao vya maendeleo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom