Je, Humphrey Polepole ni Spika wa Bunge mtarajiwa?

Je, Humphrey Polepole ni Spika wa Bunge mtarajiwa?

twende kazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,520
Reaction score
461
Wakuu habari,

Inaweza kuonekana kama naota hivi ila amini usiamini kwa utawala huu hili linaweza kwenda kutokea wote mkabaki mnashangaa.

Hivi mnafikiri Mr Polepole ni wa hadhi ya kuwa mbunge tu? Ili iweje? Ubunge wake lazima uwe kwa maslahi mapana kabisa ya taifa na hivyo basi anastahili zaidi ya huo ubunge na hilo linaenda kufanyika.

Haijulikani muda wala saa ila amini nyie watu nawaambia hili linaenda kutokea tena kwenye awamu hii hii

Samahani kwa nitakaowakwaza hii sio ramli chonganishi ila ni mpango kamili na maandalizi yameonekana machoni kwenu.

Yajayo yanafurahisha sana.
 
Kwahiyo mtu akienda india tena atarudishwa sandukuni sio?
 
Kwa hiyo Slowslow na succession plan ya Magu?
 
Wakuu habari,

Inaweza kuonekana kama naota hivi ila amini usiamini kwa utawala huu hili linaweza kwenda kutokea wote mkabaki mnashangaa...

Punguza vituko.

Sipika lamima atokane na wabunge wakuchaguliwa na Wananchi.
 
Watu wanajitahidi kupiga ramli. Na inaweza kuwa ramli chonganishi hii.
 
Kwani anamiaka mingapi? Unaweza kuta ndio jina la mfukoni litakalo penyezwa muda wa uchaguzi ukifika
 
kwa ma critical thinker tumeshalitambua hilo mapema kabla hata ya jiwe hajafikiria.
Iweje atoke kuwa mwenezi (nafasi nzuri tu ) then aje awe mbunge kama mbunge tu??
Kuna game hapa.......... 🤔
 
kwa ma critical thinker tumeshalitambua hilo mapema kabla hata ya jiwe hajafikiria.
Iweje atoke kuwa mwenezi (nafasi nzuri tu ) then aje awe mbunge kama mbunge tu??
Kuna game hapa.......... [emoji848]
Spika wa bunge lazma atokane na mbunge wa kuchaguliwa.
 
Spika wa bunge lazma atokane na mbunge wa kuchaguliwa.
mkuu sio lazima awe spika, unakumbuka kauli ya jiwe siku anamuapisha majaliwa?? Nini alimwambia??🤔
 
Wakuu habari,

Inaweza kuonekana kama naota hivi ila amini usiamini kwa utawala huu hili linaweza kwenda kutokea wote mkabaki mnashangaa......
Kabla tu Jua halijazama wahi kwa aliyekufundisha Kuvuta Bangi au hata aliyekuuzia leo hii na 'ukaivuta' hivi kuwa 'wamekuponza' na usiirudie tena.
 
mkuu sio lazima awe spika, unakumbuka kauli ya jiwe siku anamuapisha majaliwa?? Nini alimwambia??[emoji848]
Mkuu bado haupo sahihi hata Waziri Mkuu ni sharti awe mbunge wakuchaguliwa sio wakuteuliwa.
 
Kuvimbiwa kande halafu usingizi ukuchukue basi unaweza ukaota unaongea na MALAIKA MKUU....🤣🤣
 
Back
Top Bottom