Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunataka Jeshi la Polisi liheshimu (with consistency) haki ya raia ya kujieleza (freedom of expression). Leo polisi wamefanya kazi yao kwa kuzingatia sheria. Kama sote tulivyoona, hawakuvuruga...
14 Reactions
34 Replies
754 Views
Wasanii shilole na wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu. Bora kugombana na mtu mmoja au wawili sio na...
3 Reactions
13 Replies
621 Views
Hili ni somo au mfano mkubwa sana kwa nchi zetu zinazoendelea na zinakabiliwa na vitisho kutoka kwa vibaraka wa mabeberu au wasaliti wa kiuchumi. Kumbe hata Tanzania inaweza kuandaa tukio la...
0 Reactions
7 Replies
166 Views
Kulikoni huko visiwani? Wakurugenzi Watendaji (DED’s) wa halmashauri zote za hapa Tanzania Bara wapo Zanzibar kwa kikao kazi. Kwanini Dodoma haitumiki tena? Gharama hizo nani anagharamia?
5 Reactions
17 Replies
670 Views
BBC, DW, CNN wapuuzia taarifa za maandamano ya watu 100 waliojitambulisha kama Wakatoriki huku vyombo vya habari vya ndani vikiripoti. Aidha waandanaji hao baada ya kuulizwa kuhusiana na...
4 Reactions
9 Replies
391 Views
Muuaji anakuja mbele ya runinga za watanzania Milioni 65 anawaambia nimeshaunda Tume ya Maridhiano, kama hili ndilo alilomuitia Mzee wetu Warioba Ikulu naomba wamshauri tu Mzee Warioba akae mbali...
2 Reactions
5 Replies
258 Views
Kama ilivyo hapo juu, ni kwanini Rais wetu kila akikaa pale Ikulu ya Chamwino muda mchache tu utamsikia amerudi Dar? Hivi Ikulu ya Dar kuna mafaili yaliyobaki ambayo ni lazima kila muda arudi...
12 Reactions
112 Replies
11K Views
Marais wa awamu ya Pili hadi ya Tano wamehudhuria hapa mama maria nyerere yupo hapa pia kama mke wa mwasisi wa Taifa hili Mh Rais amewazawadia marais wastafu zawadi ya ndege tausi 25 kila mmoja...
23 Reactions
304 Replies
39K Views
Binafsi sielewi labda kama wenzangi mnieleweshe. Kwa nini mda wote mh.Rais Yuko Dar badala ya Dodoma?
21 Reactions
182 Replies
12K Views
AHADI ZA SAMIA NDANI YA SIKU 100 BAADA YA KUCHAGULIWA (ATAKAYOFANYA) 1. Utazinduliwa rasmi mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio. Wakianza Wazee, Watoto, Wajawazito, na Wenye...
-2 Reactions
135 Replies
8K Views
Oktober imesimama! Oktoba ya Mama! Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za...
8 Reactions
212 Replies
10K Views
Wana wa Mungu wana wataifa teule la Tanzania na wana wataifa la babu zenu Tanganyika haya ndio yata tukia ktk siku zijazo na kama mkiyaona basi inuweni vichwa juu na kumtukuza Mungu. 1. Patakuwa...
63 Reactions
108 Replies
7K Views
Marekani haitambui kiongozi yeyote anayechezea chaguzi kuu katika nchi yake, so inawatambua kuwa ni waharifu tu kama wengine na wakiona anamakosa hata ya kuonea raia aliowadhurumu haki zao...
3 Reactions
11 Replies
316 Views
Katika uhalisia wa maisha, hata kwa ngazi ya mtu binafsi, inapofikia suala la kupambania uhai wako, huwa upo tayari kutoa chochote ulicho nacho, na hata kukopa, ili tu kuokoa uhai wako, kama...
0 Reactions
2 Replies
132 Views
Kuna wakati Gerson Msigwa alikuwa mstari wa mbele kuwasema waandishi wa habari kujikita katika kuleta habari zenye uhakika na zenye kuzingatia balance na uhakiki, na zisizo zua taharuki kwa jamii...
4 Reactions
12 Replies
265 Views
Mwaka huu 2026 lazima tuhakikishe Samia na Wasaidizi wake wote waliohusika katika kuuwa maelfu ya Watanganyika wanapata wanachostahili iwe kutoka ICC au katika Mahakama yeyote ulimwenguni. Pia...
21 Reactions
167 Replies
3K Views
Maajabu yaliyowahi kuwakumba wasabato kuwashangaa wasabato waliotaka kusafiri bila paspoti kwenda ulaya na Marekani yawakumba Wakatoliki kuwashangaa Wakatoliki waliokaa kimya wakati viongozi wao...
7 Reactions
7 Replies
257 Views
Inaelezwa kuwa, moja ya sifa kubwa na Papa mpya, Leo wa Kumi na Nne ni namna ambavyo anasimamia ukweli kupinga udhalimu na uonevu wa binadamu bila kujali mazingira yapoje. Katika historia yake...
1 Reactions
12 Replies
664 Views
Tuko pabaya, kama kweli serikali itawanyamazia hawa wahuni, kuna vita ya dini inapikwa! Simbachawene , IGP na Mulilo, wajibikeni kukemea hili
6 Reactions
10 Replies
305 Views
𝗠𝗔𝗠𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗜𝗔 𝗡𝗬𝗘𝗥𝗘𝗥𝗘 𝗔𝗣𝗢𝗞𝗘𝗔 𝗡𝗜𝗦𝗛𝗔𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗕𝗔𝗕𝗔 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 Mjane wa Baba wa Taifa na Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mama Maria Nyerere amepokea nishani ya heshima kutoka Jamhuri...
0 Reactions
1 Replies
200 Views
Back
Top Bottom