Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Walae wakatoliki 100 wa mchongo kutoka buza kwa lulenge , hatimae wameonekana wakiimba mapambio ya Yesu ndio mwamba huku nyuso zao zikionyesha wasiwasi mkuu. Lakini pia kulisikika sauti...
0 Reactions
Replies
Views
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa agizo kwa wizara za michezo na mashirikisho ya soka nchini (TFF na ZFA) kuangalia upya kanuni za mashindano ili kuwapa nafasi zaidi wachezaji...
0 Reactions
15 Replies
347 Views
Miaka ya 1980, Pablo Escobar, bepari mzito aliyefanya biashara ya madawa ya kulevya na mpenda anasa kutoka Medellín, Colombia akiamini mambo ya kawaida hayamtoshi, akaamua kunogesha makazi yake...
2 Reactions
1 Replies
456 Views
Tanzania ina madini, ardhi yenye rutuba, gesi asilia, na rasilimali nyingine nyingi, lakini bado inaagiza bidhaa nyingi kama mafuta ya kula, sukari, na nguo. Je, ni changamoto zipi zinazokwamisha...
7 Reactions
85 Replies
3K Views
Umoja wa Wanazuoni wa Kiislam wamemshukia Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kuhusisha ukimya wake na Hkatoliki wake. Wameenda mbali na kumtuhumu kuwa ametumwa na Padri Kitima na viongozi...
13 Reactions
188 Replies
7K Views
Repercussions zote na after effects zinarudi kwako. Kataa upuuzi kama huo! Inajulikana worldwide kuwa Wakatoliki halisi hawawezi kufanya ushetani kama huo! Kuwa macho na walioandaa ujinga huo...
11 Reactions
25 Replies
538 Views
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema kuwa Twitter (X) itafunguliwa pale ambapo tutakapokubaliana namna watakavyoendesha jukwaa lao nchini Tanzania.
0 Reactions
15 Replies
414 Views
Kuna wakati Mkapa alikuwa akiwaponda sana waandishi wa habari,kwamba hawako professional. Sasa unapochukua gazeti na ukasoma makala kama hizi utaona kwamba Mkapa alikuwa right kuhusu asilimia...
8 Reactions
9 Replies
336 Views
Maduro ni kama vile ana undugu na Samia, maana tunapita mulemule. Ni kama Mungu anatonyesha ya mbele na kututaka tuchukue hatua haraka ili tusije kuharibikiwa kama wao. Wananchi kuanza kumwomba...
2 Reactions
2 Replies
177 Views
Serikali Msichezee Moto na kuwasumbua Diaspora wenye Uraia wa Marekani. Raia yeyote wa Marekani akishikwa au kushitakiwa nchi nyingine kwa utamaduni wa marekani ni swala la kitaifa sio tena swala...
2 Reactions
1 Replies
179 Views
Watu wa Mama vichwa panzi! Bila HAKI mnapoteza muda pesa sio kila kitu!!! Huwezi kushinda mioyo ya Watanzania kwa kutoa pesa kwa wapinzani , vyombo vya habari au viongozi wa dini wachache...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
1. Makamu wa Rais Dr. Nchimbi yupo Unguja ana zuunguka kuwajulia hali wastaafu. 2. Mzee wa Msoga yupo Pemba anafungua jengo la zimamoto. 3. Nadhani Rais naye bado ofisi ndogo ya Ikulu Tungu...
7 Reactions
52 Replies
3K Views
Kwanza nianze kueleleza kidogo Malengo ya No Reforms No Election. Huu mpango Mtukufu wa Chadema una lengo la kuchochea haki na kuzuia dhuluma pamoja na vurugu ikiwemo na mauaji yatokanayo na...
37 Reactions
175 Replies
7K Views
Wakuu Habari zenu? Bora angeendelea kutawala malikia maana waliochukua nchi na kuona wanaweza kujiongoza mpaka sasa wako kwenye kuangaika na vyoo vya kujisaidia baada ya miaka 64 ya uhuru kwa...
7 Reactions
14 Replies
394 Views
Hata mtu kipofu anaona kabisa Tanzania imebadilika na inazidi kubadilika kuelekea kubaya zaidi siku hadi siku. Muungano unazidi kuporomoka kukiwa na viashiria vinavyokua vya u-Bara - na U-Zanzibar...
1 Reactions
0 Replies
155 Views
Wakuu, Nina maswali machache. Tushazoea utaratibu wa taifa hili waandamanaji wanapigwa risasi kwanini hawa imekuwa tofauti? Hao Wakatoliki walioandamana, kibali cha kuandamana walitoa wapi ...
5 Reactions
10 Replies
299 Views
Tuacheni maigizo suala ni lazima wauaji na watekaji wakamatwe iwe amani au haki lazima wawajibishwe mara moja hatuta waacha madaraka yanaisha
1 Reactions
0 Replies
157 Views
Sasa ni rasmi yupo mtu kati Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa Hakuna mtu ataweza kumteka tena Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi Hakuna kitu atakipanga kisivuje Kiufupi atakuwepo Kama...
142 Reactions
512 Replies
52K Views
Back
Top Bottom