Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanatumia x ili kupasha habari watu kimakosa.
3 Reactions
7 Replies
223 Views
Balozi Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuandikia ujumbe huu nikikuomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa uvunje ukimya ulisaidie taifa. Nchi yetu...
6 Reactions
29 Replies
819 Views
Msanii Izzo Bizness, ameachia wimbo wake mpya 'Tusijisahau' akiwataka wasanii hususani walioshiriki katika kampeni za kuinadi Serikali KATILI ya CCM, wasijisahau. Wasanii walioamua kusimama na...
9 Reactions
3 Replies
232 Views
GAZETI la JAMHURI lililokuwa na mwendelezo wa Mahojiano maalum na Mzee wa Warioba yaliyofanywa na Mhariri Manyerere Jackton bahati mbaya leo nimelitafuta kwenye meza za magazeti sijafanikiwa...
6 Reactions
5 Replies
391 Views
Katika historia ya Tanzania, uongozi umejengwa juu ya misingi ya amani, umoja wa kitaifa, na heshima ya mamlaka ya dola. Hata hivyo, kama ilivyo kwa mataifa mengine, kauli ya “Mene, Mene, Tekeli...
2 Reactions
0 Replies
194 Views
Habib Mchange katika siku za karibuni ametajwa sana kuratibu na kugharamia mikutano ya waandishi wa habari inayolenga kuwashambulia kwa kashfa viongozi wa Dini ya Kikristo nchini Tanzania...
4 Reactions
13 Replies
361 Views
Katika kipindi cha One Against One kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na mwanahabari mwandamizi Habibu Mchange, Mchange amesema kuwa mwenyekiti wa Chadema na makamu wake John Heche ndio...
2 Reactions
33 Replies
946 Views
  • Redirect
Wale waliojiita ni wakatoriki kweli ni marofa na njaa wakiitwa hivi wasikasirike wamekuwa vichekesho hawatorudia tena baada ya walicho kipata
0 Reactions
Replies
Views
Utabiri CCM itandoka kabla ya TEC kwasababu mmoja ni ya wezi nyingine ni ya jamii na ukweli. Wovu haujawahi kushinda HAKI. Iko siku tutakuwa na TEC lakini Chama Cha Mapinduzi kitakuwa na jina...
4 Reactions
6 Replies
259 Views
GT Habari ndiyo hiyo huko chamani kwa sasa ni mwendo wa kuwindana tu. Hamuwezi kuelewa kwa sasa ila kadri siku zinavyosonga mtaelewa. Ndo mtajua kwa nini Mpango aliachia umakamu wa Rais pia Samia...
6 Reactions
22 Replies
855 Views
Kama tuna ushahidi kuwa miundombinu yetu na ya watu binafsi iliharibiwa kwenye vurugu za Oktoba 29 lazima walioiharibu na waliopanga uharibifu wakamatwe na kuadhibiwa mara moja ili iwe fundisho...
-2 Reactions
105 Replies
1K Views
Naanza kukubali nyuma ya mafanikio ya mwanaume Kuna mkono wa mwanamke sio Kwa busara na hekima za Maria Nyerere Mwingine baada ya kupata cheo kaamua kuachana na Mumeo Ili huru kufanya mambo yake...
1 Reactions
1 Replies
128 Views
Wakili Hekima Mwasipu, mmoja wa Mawakili wanaowawakilisha Rosemary Mwakitwange, Wakili Deogratius Mahinyila na Wakili Edward Heche ambao ni waleta maombi kwenye kesi ya kuhoji uhalali wa Tume ya...
0 Reactions
9 Replies
322 Views
Kwa ujinga wanaofanya CCM wanajikuta wanazalisha kundi kubwa linaloipinga CCM pamoja na Serikali yake au kwa akili ndogo za Viongozi waliopo. Magufuri hakutumia nguvu kubwa kuirudisha CCM...
7 Reactions
3 Replies
147 Views
Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege maalum aina ya Boeing 787-8 Dreamliner kwenda Morocco kuwachukua wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya kuondolewa na wenyeji Morocco...
0 Reactions
23 Replies
608 Views
  • Redirect
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, mara baada ya mazungumzo na...
1 Reactions
Replies
Views
Wana wa Mungu jf , heri ya mwaka mpya Nipo na ujumbe muhimu sana kutoka kwa yuleyule atupae pumzi, na yule yule ajuae lini tutatoweka katika ulimwengu wa anasa n.k Nataka kutana na uongonzi wa...
3 Reactions
25 Replies
426 Views
Mayii! Najuzwa hapa walahi naogopa. Kumbe mercenary wajuacho ni mapene. Woyi. Na bado. Tuimbe siye mwamba mwamba mwamba mwamba yesu ndiye Mwamba. Hehehee wakolontho 13 mpaka 10 yasemaje nye. Bado...
2 Reactions
4 Replies
251 Views
https://youtu.be/vyZooTgyRao?si=UfxyEouEVGPktzNi
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Ndugu wa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba 'aliyetekwa' takribani miezi mitatu iliyopita leo, Jumanne Januari 06.20226 wamefanya maombi kwenye nyumba aliyokuwa...
0 Reactions
1 Replies
218 Views
Back
Top Bottom