GE2025 Ahadi za Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan kwa siku 100 za kwanza za uongozi wake miaka mitano ijayo (2026 -2030)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

kalacha mateo

Senior Member
Joined
Sep 27, 2021
Posts
122
Reaction score
241
AHADI ZA SAMIA NDANI YA SIKU 100 BAADA YA KUCHAGULIWA (ATAKAYOFANYA)

1. Utazinduliwa rasmi mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio. Wakianza Wazee, Watoto, Wajawazito, na Wenye Ulemavu. Gharama za matibabu kwa makundi haya zitabebwa na mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.

2. Serikali itaanza kugharimia kwa asilimia 100 matibabu na vipimo vya Kibingwa kwa Wananchi wasio na uwezo kwa magonjwa yasiyoambukiza, ikiwemo Saratani, Figo, Moyo, Sukari, Mifupa na Mishipa ya Fahamu. Haya ndio magonjwa ya gharama kubwa kwa watu wasio na Uwezo

3. Serikali itaajiri Wahudumu wa Afya Wapya 5,000 ndani ya hizo siku 100, wakiwemo Wauguzi na Wakunga kusaidia zaidi afya ya Mama na Mtoto.

4. Serikali itapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya Marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu aliyopatiwa marehemu yazijalipwa. Serikali itakuja na mfumo mwingine wa kuhakikisha jamaa wa marehemu wanalipa gharama hizo.

5. Serikali itaandaa mkakati madhubuti wa Kisayansi kuhakikisha kila mtoto wa darasa la 3 anaweza kusoma, husebu na kuandika bila shida. Katika kutimizia hilo, Serikali itaajiri Walimu 7000 wa masomo ya Sayansi na Hisabati.

6. Uzinduzi wa mpango wa pamoja kati ya Waajiri, Vyuo vya Ufundi stadi (VETA) na vingine na Vyuo Vikuu ili kulinganisha mafunzo na mahitaji ya sekta za kipaumbele kama Nishati, TEHAMA, Viwanda vya kuongeza thamani na maeneo kama hayo na kufanya Wanafunzi wa VETA kuchukuliwa viwandani kufanya kazi za mazoezi

7. Serikali itatenga Bilioni 200 ili kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa Wafanyabishara ndogondogo na za kati na kuwezesha uendeshaji wa Kampuni changa (Start-Ups)

8. Tutarasimisha sekta zisizo rasmi yaani Mama Lishe , Maafisa Usafirishaji (Bodaboda), na bajaji na Wajasiriamali wadogo watarasimishwa ili waingie mfumo rasmi wa Serikali waweze kupata huduma zao na kuweza kushirikiana na Serikali

9. Uanzishwaji wa Programu maalimu za Mitaa ya Viwanda Wilayani yenye kulenga kuzalisha ajira kwa Watanzania kuongeza thamani ya bidhaa za Kilimo, Mifugo, Uvuvi, Madini, Misitu na uzalishaji wa vifaa vya ujenzi

10. Ujenzi wa gridi ya Taifa ya maji utaanza kwa lengo za kuwa na vyanzo vya uhakika vya maji. Vyanzo ni kutoka Ziwa Victoria, Tanganyika na Ziwa Nyasa pamoja na mito mikubwa

11. Jitihadi za matumizi ya Nishati safi zitaendelezwa ili kupunguza utegemezi wa kuni na mkaa ili kutunza mazingira

12. Uanzishwaji wa mifumo rafiki ya Uwajibikaji ambapo Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Watendaji wengine wa Serikali watatoa taarifa na kujibu maswali kutoka kwa Wananchi kwa njia ya Kidigitali na SMS za bure. Hiki ndicho kitakuwa kipimo cha Mawaziri - Ameulizwa ngapi, amejibu ngapi na kuchukulia hatua ngapi

13. Tutaendeleza mashauriano na Wadau wa Siasa, Taasisi za Kiraia na Sekta Binafsi, kwa kuunda Tume ya Kuanzisha Mazungumzo ya Maridhiano na Upatanishi na kuandaa mazingira ya kuanza kwa Mchakato wa Katiba Mpya.

Samia amesema "Kwa ujumla kwa miaka 5 ijayo serikali ya CCM imejipanga kuongeza nguvu kwenye ubora wa huduma zinazotolewa kusimamia haki, amani na utulivu wa kisiasa ili tuweze kukuza uchumi na kuleta maendeleo na ustawi wa Taifa."

Upekee wa Kampeni za Uchaguzi wa CCM 2025 ni;.png
 
Kulinda
1. Uzinduzi rasmi wa mfumo wa bima ya afya kwa wote kwaajili ya majaribio tukianza na wazee, watoto, wajazito na watu wenye ulemavu

2. Serikali kugharamia kwa asilimia 100 matibabu na vipimo vya kibingwa kwa wananchi wasio na uwezo kwa magonjwa yasiyoambukiza kwa wagonjwa wa moyo, figo, saratani, mifupa na mishipa ya fahamu.

3. Kuajiri wahudumu wa afya 5,000 ndani ya siku 100 wakiwemo wauguzi na wakunga ili kuboresha huduma za Mama na mtoto

4. Kupiga marufuku kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu hazijalipwa na ndugu wa marehemu.

5. Kuhakikisha kila mtoto wa darasa la 3 anaweza kusoma na kuhesabu bila shida.

6. Kuajiri walimu 7,000 wa Sayansi na Hisabati

7. Kuzindua mkakati wa pamoja kati ya waajiri, vyuo vya ufundi stadi na vyuo vikuu kwa lengo la kulinganisha mafunzo na mahitaji ya sekta ya kipaumbele.

8. Tutatenga Shilingi bilioni 200 ili kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa biashara ndogo ndogo na za kati na kuwezesha uendeshaji wa kampuni changa.

9. Kurasimisha sekta zisizo rasmi yaan mama lishe, maafisa usafirishaji (bodaboda) na bajaji.

10. Kuanzisha programu maalum ya ujenzi wa mitaa ya viwanda wilayani yenye kulenga kuzalisha ajira mitaani kupitia mazao ya kilimo, mifugo na misitu.

11. Utekelezaji wa gridi ya Taifa ya maji ili kuwa na vyanzo vya uhakika vya maji kwaajili ya matumizi ya majumbani, kilimo, mifugo na biashara.

12. Kuendeleza jitihada za matumizi ya nishati safi ya kupikia.

13. Kuanzisha mifumo ya uwajibikaji kwa Mawaziri, Wakuu wa mikoa na watendaji wa serikali watatoa taarifa na kujibu maswali kwa njia ya kidigitali.

14. Tukiongozwa na falsafa ya 4R tutaendeleza mashauriano na wadau wa siasa, taasisi za kiraia na sekta binafsi kwa kuunda Tume ya kuanzisha mazungumzo ya maridhiano na upatanishi na kuanza kwa mchakato wa Katiba mpya.

Kwa ujumla kwa miaka 5 ijayo serikali ya CCM imejipanga kuongeza nguvu kwenye ubora wa huduma zinazotolewa kusimamia haki, amani na utulivu wa kisiasa ili tuweze kukuza uchumi na kuleta maendeleo na ustawi wa Taifa.

View attachment 3456486
Kuheshimu uhai wa raia imeongelewa ?
 
AHADI ZA SAMIA NDANI YA SIKU 100 BAADA YA KUCHAGULIWA (ATAKAYOFANYA)

1. Utazinduliwa rasmi mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio. Wakianza Wazee, Watoto, Wajawazito, na Wenye Ulemavu. Gharama za matibabu kwa makundi haya zitabebwa na mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.

2. Serikali itaanza kugharimia kwa asilimia 100 matibabu na vipimo vya Kibingwa kwa Wananchi wasio na uwezo kwa magonjwa yasiyoambukiza, ikiwemo Saratani, Figo, Moyo, Sukari, Mifupa na Mishipa ya Fahamu. Haya ndio magonjwa ya gharama kubwa kwa watu wasio na Uwezo

3. Serikali itaajiri Wahudumu wa Afya Wapya 5,000 ndani ya hizo siku 100, wakiwemo Wauguzi na Wakunga kusaidia zaidi afya ya Mama na Mtoto.

4. Serikali itapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya Marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu aliyopatiwa marehemu yazijalipwa. Serikali itakuja na mfumo mwingine wa kuhakikisha jamaa wa marehemu wanalipa gharama hizo.

5. Serikali itaandaa mkakati madhubuti wa Kisayansi kuhakikisha kila mtoto wa darasa la 3 anaweza kusoma, husebu na kuandika bila shida. Katika kutimizia hilo, Serikali itaajiri Walimu 7000 wa masomo ya Sayansi na Hisabati.

6. Uzinduzi wa mpango wa pamoja kati ya Waajiri, Vyuo vya Ufundi stadi (VETA) na vingine na Vyuo Vikuu ili kulinganisha mafunzo na mahitaji ya sekta za kipaumbele kama Nishati, TEHAMA, Viwanda vya kuongeza thamani na maeneo kama hayo na kufanya Wanafunzi wa VETA kuchukuliwa viwandani kufanya kazi za mazoezi

7. Serikali itatenga Bilioni 200 ili kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa Wafanyabishara ndogondogo na za kati na kuwezesha uendeshaji wa Kampuni changa (Start-Ups)

8. Tutarasimisha sekta zisizo rasmi yaani Mama Lishe , Maafisa Usafirishaji (Bodaboda), na bajaji na Wajasiriamali wadogo watarasimishwa ili waingie mfumo rasmi wa Serikali waweze kupata huduma zao na kuweza kushirikiana na Serikali

9. Uanzishwaji wa Programu maalimu za Mitaa ya Viwanda Wilayani yenye kulenga kuzalisha ajira kwa Watanzania kuongeza thamani ya bidhaa za Kilimo, Mifugo, Uvuvi, Madini, Misitu na uzalishaji wa vifaa vya ujenzi

10. Ujenzi wa gridi ya Taifa ya maji utaanza kwa lengo za kuwa na vyanzo vya uhakika vya maji. Vyanzo ni kutoka Ziwa Victoria, Tanganyika na Ziwa Nyasa pamoja na mito mikubwa

11. Jitihadi za matumizi ya Nishati safi zitaendelezwa ili kupunguza utegemezi wa kuni na mkaa ili kutunza mazingira

12. Uanzishwaji wa mifumo rafiki ya Uwajibikaji ambapo Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Watendaji wengine wa Serikali watatoa taarifa na kujibu maswali kutoka kwa Wananchi kwa njia ya Kidigitali na SMS za bure. Hiki ndicho kitakuwa kipimo cha Mawaziri - Ameulizwa ngapi, amejibu ngapi na kuchukulia hatua ngapi

13. Tutaendeleza mashauriano na Wadau wa Siasa, Taasisi za Kiraia na Sekta Binafsi, kwa kuunda Tume ya Kuanzisha Mazungumzo ya Maridhiano na Upatanishi na kuandaa mazingira ya kuanza kwa Mchakato wa Katiba Mpya.

Samia amesema "Kwa ujumla kwa miaka 5 ijayo serikali ya CCM imejipanga kuongeza nguvu kwenye ubora wa huduma zinazotolewa kusimamia haki, amani na utulivu wa kisiasa ili tuweze kukuza uchumi na kuleta maendeleo na ustawi wa Taifa."

Hopeless
 
Ahadi za wanasiasa wanapoomba madaraka huwa ni nzuri na za kutia matumaini. Tusubiri baada ya kuapishwa je zitatimia? Kila lenye kheri kwake.
 
Back
Top Bottom