Swali Fikirishi: Hivi Ikulu ya Chamwino kuna nini hata Rais asikae?

G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,335
5,184
Kama ilivyo hapo juu, ni kwanini Rais wetu kila akikaa pale Ikulu ya Chamwino muda mchache tu utamsikia amerudi Dar?

Hivi Ikulu ya Dar kuna mafaili yaliyobaki ambayo ni lazima kila muda arudi huko?

Kuna Moto gani pale unaowaka na kumchoma hata asifanyie shughuli zake hapo?

Nawasilisha.
 
Watu wengi serikalini hasa mawizani hawakutaka kuhamia Dodoma, ndio maana Magufuli alilazimisha.. hivyo watu kama mama Samia amezoea raharaha na matanuzi ndo maana yeye na wasidizi wake wanaandaa agenda za uwongo na kweli ili wawe Dar au Zanzibar..Ndo mqana hata speed ya ujenzi Dodoma kwa uoende wa serikali imedorora
 
Kama ilivyo hapo juu, ni kwa nini Rais wetu kila akikaa pale Ikulu ya Chamwino muda mchache tu utamsikia amerudi Dar? Hivi Ikulu ya Dar kuna mafaili yaliyobaki ambayo ni lazima kila muda arudi huko? Kuna Moto gani pale unaowaka na kumchoma hata asifanyie shughuli zake hapo? Nawakilisha...

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Kukusaidia Bure tuu, ile ni mpango na uratibu wa Wana sgang, hivyo hakuna haja ya maswali mingi, kama ni mfuatiliaji wanayo sifa ya umimi, ukatili uliovuka viwango vya kawaida, na roho mbaya, sema lingine, upate ufafanuzi 🤔.Wadau wapo na Gt wapo Kwa ajili ya wote.
 
Kama ilivyo hapo juu, ni kwa nini Rais wetu kila akikaa pale Ikulu ya Chamwino muda mchache tu utamsikia amerudi Dar? Hivi Ikulu ya Dar kuna mafaili yaliyobaki ambayo ni lazima kila muda arudi huko? Kuna Moto gani pale unaowaka na kumchoma hata asifanyie shughuli zake hapo? Nawakilisha...

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Mkuu, kama Mh. Mwigulu aliapishwa kuwa waziri kule kijijini Chato, kuna ubaya gani Rais SSH kufanyia shughuli zake katika jiji kubwa kama Dar es Salaam?
 
Kama Rais hakai Dodoma na hawa watendaji wake wengine wanapata sababu ya kukaa Dsm, wameamua kupoteza pesa za yale majengo na sitashangaa kama bado mpaka sasa kuna majengo mengine ujenzi wake bado unaendelea.

Wao wanadai wanamuenzi mwendazake kwa kuendeleza ujenzi wakati kukaa huko hawataki, sijui kwanini hizo pesa wanazochezea huko wasizitafutie kazi nyingine ya kufanya.
 
Si sahihi kabisa raisi kukaa sehemu moja na hawa
20211127_072109.jpg
20211125_105328.jpg
 
Ila Mama Anakaa Dodoma Muda Mchache
Ila NNdiyo Utaratibu Madaraka Matamu Sana
 
Wabadilishe hayo majengo yawe Chuo warudi Dar es salaam wote.

Back
Top Bottom