Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,199
- 2,869
Maajabu yaliyowahi kuwakumba wasabato kuwashangaa wasabato waliotaka kusafiri bila paspoti kwenda ulaya na Marekani yawakumba Wakatoliki kuwashangaa Wakatoliki waliokaa kimya wakati viongozi wao wakishambuliwa na kuibuka wakati viongozi wao wakiwaonya malofa na wapumbuvu
Kiongozi wa dini lazima akemee uovu kwenye jamii kwa ukali. Hata Yesu alikasirika wafanyabiashara walipogeuza hekula la Mungu kuwa pango la biashara. Alitumia lugha ya ukali.
Hawa wanataka kanisa liendelee kutumiwa na malofa? Wapumbavu? Na watu wenye njaa njaa walioko tayari kuuza utu wao kwa kuhongwa pesa? Ndio kanisa wanalolitaka? Wamezuiliwa kufungua kanisa la namna hiyo?
Hawa wahuni wameshindwa nini kujiengua kwenye kanisa?
Hatukuwaona wakati viongozi wao wanatekwa, wanateswa na wengine kunusurika kuuwawa.
Hatukuwaona wakati viongozi wao wanazushiwa tuhuma za kuwa na "michepuko", kukopa madeni wasiyoweza kuyalipa eti hadi kupatwa na msongo wa mawazo??
Hatukuwaona wakati viongozi wao wanapotea na kuonekana misituni wakati huo huo waliowaokota wameambatana na vyombo vya habari
Hatukuwaona wakati viongozi wao wanashambuliwa ndani ya makazi yao rasmi na kunusurika kuuwawa na kuambiwa walikuwa wanalewa
Je, hawa si waumini wa ajabu? Ni halali kanisa kuwang'ang'ania waumini kama hawa?
Je, imani imekuwa ya lazima kiasi hiki? Hivi wanashindwa nini kususia huduma za ibada za jumiya, misa za jumapili na matukio mengine ya kikanisa?
Huu ni mshangao kwa waumini wa kanisa takatifu katoliki la mitume. Haya ni majaribu kwa viongozi wa kanisa takatifu katoliki la mitume. Haya ni majaribu kwa waumini wa kanisa hilo
NB: Matako yao hao wahuni