Tumeaminishwa na kuimbiwa nyimbo na mapambio miaka yote kuwa gesi ya Mtwara ndiyo suluhisho. Nakumbuka kuna watu walipoteza maisha na jeshi letu liliweka kambi kule.
Kwa anayejua ni kitu gani...
Teodoro Nguema Obiang Mangue ni makamu wa pili wa rais wa Guinea ya Ikweta - na wakati huo huo ni mtoto wa rais. Baba yake, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, ametawala nchi hiyo tangu mwaka 1979...
Tuna kundi kubwa sana kwenye jamii yetu ya watu kupenda kubishana bila kuwa na data zozote wala ushahidi. Kubishana ni hobby ya watu wengi hivyo tusishangae wakati mwingine hata kwa viongozi kuna...
Nipo kwenye Group moja linaitwa Group la Afya likiwa limeanzishwa na Bwana Mmoja anaitwa Mwanyika. Kwa maelezo yake ni Daktari.
Anaweza kuwa na nia nzuri ya kusaidia watu kwa ushauri na wakati...
Watanzania hatujawa na desturi ya kuwa na sauti moja katika kudai haki zetu, kila mtu hudai kivyake, wasanii hudai haki zao kivyao, madaktari hudai haki zao kivyao nk. huku kada zingine zikisema...
Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya katiba kiheshimiwe. Ndio maana misingi ya utawala na hata utungaji wa sheria za nchi zetu lazima zirandane na katiba ya JMT. Kile...
Ukweli ni mchungu, Ndugu zangu wa Mbeya hasa wanyakyusa nyinyi ni wachafu Sana kuanzia mazingira na majumbani
Waliofika Mbeya au Rungwe ni mashahidi wa haya yafuatayo:
Tukuyu uchawi umetamalaki...
Raisi Magufuli aliagiza Halimashari za vijijini kuhama kutoka makao makuu ya Wilayana kwenda nje ya miji. Na leo nimeona Majaliwa akisisitiza hilo.
Kwa mtazamo wangu naona jambo hili...
Mabibi na mabwana habari za kusikitisha kutokea pande za Igusule, Nzega mkoani Tabora, ni kuwa Diwani wa pande za huko tokea chama pendwa CCM ametutoka ghafla.
Marehemu alipata matatizo ya...
Taasisi za Sekta ya Afya na Vyuo vya afya nchini vimetakiwa kushirikiana kwa pamoja ili kuboresha tiba asili ambayo imekuwa na mchango mkubwa katika kupambana na magonja ya kuambukiza na...
TAKUKURU MKOANI SONGWE YAMFIKISHA MAHAKAMANI MKURUGENZI,NA ALIEKUWA FUNDI MSANIFU WILAYA MBOZI KWA MAKOSA YA KUISABABISHIA SERIKALI HASARA ZAIDI YA MILIONI 24 NA KUMDANGANYA MUAJIRI WAO
Takukuru...
Askofu Mwamakula atazindua kampeni kubwa ya "Matembezi ya Hiyari" katika Jiji la Dar es Salaam katika Mwezi Februari 2021 katika siku na tarehe itakayotangazwa. Kampeni hiyo inalenga kuuhamsisha...
Katika hili, BOT ni kama wamelala, tena usingizi wa pono, kwani bado ziko taasisi za kifedha zinazokaa na kadi za Benki za wateja wanaoenda kuomba mikopo kama moja la shariti la kupewa mikopo...
Mbunge wa viti maalumu, Felister Njau amepewa siku saba kuthibitisha kauli yake aliyoitoa bungeni kuhusu kukamatwa kwa mabegi matano ya kura wakati wa uchaguzi mkuu 2020.
Felister ametakiwa...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Siku baada siku tumekuwa watu wa kupokea taarifa za tanzia za watu wazito wazito. Jana huyu, yule nk na leo hivyo hivyo.
Si kuwa wale kina wenzangu na miye...
Habarini za Mchana ndugu zangu. Kama haitowakwaza tuungane pamoja kuchambua " siasa ya vyama na maendeleo ya vijana .''
Ungana nami; Joel J Kituu.
DHANA YA CHAMA.
Awali tuanze kuchambua nini...
Katika utawala wa kirumi ilikuwa ni kawaida sana kufanya GWARIDE katika mitaa mbalimbali siku ya kuwapa MEDANI MAJENERALI wa KIJESHI wanaokuwa wamefanya mambo MAKUBWA na ya KISHUJAA katika nchi...
abriel Gavu
MAPINDUZI YA KIFIKRA KWA SASA YANAHITAJIKA
NA ; - GABRIEL GAVU (BSW)
2020
Nianze na kukubali kuwa dunia ni kijiji kwa utandawazi uliopo sasa. Tunahitaji nguvu ya pamoja kuitazama...
Sijawahi kuona Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli akitoa Hotuba huku akiwa mpole, makini, hana maneno mengi kama tulivyomzoea halafu akiwa si mchangamfu kama kawaida yake na ukienda mbali zaidi...
Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya...