Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji...
Wiki chache baada ya Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi kuingia madarakani, kulishuhudiwa sherehe kadhaa zisizo rasmi, watu wakipika na kula, wakifurahi na kucheza kwa dufu. Hawakuwa wanafurahia ushindi...
Naam, wana bodi !
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nayo inahusu watu dhaifu. Watu dhaifu ni watu hatari sana. Wakiwa wanasiasa wanakuwa hatari zaidi. Ni waoga wa mabadiliko. Waangalie wale wote...
Ndiyo,
Mkutano wa pili na wa mwanzo kabisa wa mwaka, hakuna hoja za muhimu kwa wananchi zilizojadiliwa na wabunge wa JMT.
Badala yake hoja kubwa ni kumuongezea muda wa urais Mh Rais Magufuli...
Ameandika hivi katika akaunti yake ya Twitter:
Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kulipa mishahara na posho kwa watu ambao dunia nzima inafahamu hawana sifa ya kuwa wabunge kwa...
Akimalizia mazungumzo yake kwenye mdahalo wa CCM unaorushwa mubashara TBC muda huu Mzee Butiku ameuliza "mbona Uingereza malkia yupo....., mbona Angela Merkel yupo miaka 16? Mradi tufate taratibu"...
Picha inajieleza vema kabisa
Ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Kinondoni umeshika kasi sana na upo mbioni kukamilika.
Matumizi sahihi ya rasilimali zetu huleta matokea chanya.
Hongera Rais Dkt...
Mtindo wa sasa wa mambo miradi inayofanyika inategemea maamuzi ya mkuu wa nchi ni hatari Sana na inatujengea utamaduni mbaya kama nchi.
Kuna maeneo ya nchi hii kama Rais Hana mzuka nayo inakuwa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Mwinyi amesisitiza mkakati wa kuanzisha Mahakama ya rushwa na uhujumu wa uchumi visiwani humo.
Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya...
Nimemsikiliza waziri Kabudi ambaye alimwakilisha Rais Magufuli kwenye kikao cha Umoja wa Afrika. Wakati Rais Ramaphosa wa Afrika ya Kusini akiwa ni mwenyekiti anayemaliza muda wake, akieleza jinsi...
Wazee wa CCM na vyombo vya ulinzi na usalama Muangazieni huyu RC wa DSM. Mimi namuona kuwa hazina ya U Rais baada ya Mh Magufuli. Nimnyenyekevu na ana hekima yakipekee sana huyu Mzee.
Kumekuwa na tabia mbaya ya baadhi ya wanasiasa kutoa taarifa za uingo ili kujipa kiki au kutaka kujenga hoja kwa maslahi binafsi. Madiwani wengi na wabunge wengi walizoea kufanya hivi.
Mifano...
Prof. Ndalichako amewataka Walimu Wakuu Shule za Msingi kufungua Ofisi maalum za kuwasikiliza Wanafunzi wenye matatizo ya kisaikolojia “Wanafunzi wote hawawezi kuwa kwenye hali sawa, fungueni...
Naiunga Mkono Serikali kwa ASILIMIA MIA isiruhusu wala kuagiza CHANJO ya Corona. Hii ni kutokana na taarifa zinazozunguka kuhusu uwezekano wa chanjo kutokuagizwa kuleta hapa nchini.
Hii ni...
CORONA BADO IPO DUNIANI
Kufuatia taharuki inayotokana na vifo kadhaa mwishoni na mwanzoni mwa mwaka hapa Karagwe, watu wengi wamekuwa wanapiga simu kwangu na kwa uongozi wa hospitali teule ya...
Kinachoendelea Dodoma sicho kinachopaswa kufanywa na wabunge watokanao na wananchi.
Wabunge wengi waliopewa nafasi yakusimama bungeni wamejikuta wanasifia, wamelalamika na kuomba.
Wengi wa...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja Jamhuri ya Afrika Kusini zimewasilisha ombi maalumu kwa Umoja wa Afrika kuzitambua rasmi njia zilizotumika na wapigania uhuru kutoka Dar es...
Kila unapopewa nafasi yakutumika waangalie unaowatumikia. Yapo madhara yakumtumikia mtu katika kazi inayohitaji uwatumikie watu. Ukimtumikia mtu utaacha maslahi mapana ya watu kwa maslahi mapana...
Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua.
Wengi hawaijui nguvu ya Ndugai ndani ya CCM lakini kiukweli huyu jamaa ni very...
Unatufundisha mtu kwao,
Kwa muziki huo Marais waliopita walishindwa kuendeleza makwao kiuchumi na hata kimiundo mbinu, Leo Chato imepaa, kuanzia Mwinyi hadi Kikwete kama wangekuwa kama huyu...