Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu Mimi chombo changu kikuu na pekee cha habari ni mitandao ya kijamii. Sio gazeti, radio wala TV. Kwa sababu huku napata habari isiyoghoshiwa (Censored) kwa kiasi fulani. Sasa nimepotea...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Posted Date::11/5/2007 Mawaziri, wabunge wabwagwa uchaguzi NEC-CCM * Wapo manaibu watano wa bara * Pia wamo mawaziri watatu wa SMZ * Waandishi wa habari nao hoi Na Waandishi Wetu Dar ...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kukosekana kwa serikali ya umoja ambayo itathibiti political instability, usaliti ,uzalendo kwa bara letu kunatufanya tuwe maskini.Nchi za magharibi zimekuwa zikitugawa ili waendelee kuiba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
CCM wanauwana .... Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ahamua kumaliza ruswa katika nafasi ya umakamu wa mwenyekiti wa CCM kwa kumteuwa mgombea pekee wa nafasi hiyo, baada ya kugundua waliyo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu, Nimeshangazwa na kitendo cha Shule kupewa jina la Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi. Shule hiyo ipo Bunju Dar es Salaam. Kinachonishangaza si tu Kwamba Mkuu wa Wilaya...
27 Reactions
145 Replies
20K Views
Siasa isiyo salama inayo fanyiwa blah blah kwa mustakabali wa maisha ya Watanzania itapoteza nguvu kazi ya Taifa. Tumeona zoezi la utekelezaji ilani ya uchaguzi kwa upande wa afya ikiendelea...
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Gazeti la The Nation la Kenya liliripoti kuwa kundi la kigaidi la al-Shabaab hivi karibuni limetekeleza mfululizo wa mashambulizi katika kaunti ya Mandera, nchini humo na kusababisha vifo vya watu...
1 Reactions
1 Replies
864 Views
Serikali imetolea ufafanuzi wa suala la mpango wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wa kukagua bidhaa na magari yanayoingia nchini badala ya magari na bidhaa hizo kukaguliwa kwenye nchi ambazo...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Wadau amani kwenu... Kuna jambo linanitatiza na kunisumbua sana kichwa. Nimedokezwa humu JF kuna watu al-maarufu kama "vipenyo" yaani watu kutoka Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ambao wana...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana JF, hii kasumba ya wanasiasa wa upinzani kuwa wanasubiri majanga au kadhia flani itokee alafu wao wanufaike kisiasa ni kukosa busara za kisiasa. Sasa hivi kila mwanasiasa wa upinzani...
7 Reactions
82 Replies
4K Views
Kwanza ningependa kujua vigezo vinavyotumika Duniani kuupandisha hadhi mji au Halmashauri kuwa Jiji. Issue ya eneo fulani kuwa jiji ni jambo la ndani ya nchi au kuna standard za kimataifa? Kwa...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY (ACT WAZALENDO) OFISI YA KATIBU MKUU (Party’s Secretary General Office)* TAARIFA KWA UMMA Kufuatia kifo cha Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa...
5 Reactions
20 Replies
4K Views
Kuna hoja ameiwasilisha Polepole kwenye television (chanel 10) kipindi cha papo kwa papo nakuungwa mkono na Mhe Waziri kwamba mabasi badala ya kwenda kwenye hoteli zenye hadhi na chakula salama...
12 Reactions
114 Replies
11K Views
Na Kinachoniuma kama siyo Kunisikitisha hata hao Masikini wenyewe (ama kwa Kujua au Kutokujua) wakiwa wanatajwa katika Mikutano ya Hadhara ya Viongozi wa Kiafrika (Afrika) kuwa ni Masikini na...
3 Reactions
8 Replies
751 Views
Mabibi na mabwana nimemsikiliza Dr. Mpango na ushuhuda wake. Mtu nzima, mtu mzito, kigogo na waziri wa serikali hii machozi yamemdondoka. Pamekuwa na ngonjera nyingi kuhusu gonjwa hili: 1. Mara...
1 Reactions
8 Replies
988 Views
Tanzania ndiyo Taifa la ajabu pekee, lililogeuka kuwa kichekesho cha Ulimwengu wa Sayansi, linalokataa chanjo zilizofanyiwa utafiti wa Kisayansi lakini linaamini mvuke na juisi vinaua virusi vya...
11 Reactions
127 Replies
10K Views
Mheshimiwa Rais! Mimi ni mwananchi wa kawaida sana hapa Tanzania. Mimi ni mwanachama mwaminifu wa CCM tokea enzi za siku za mwisho za TANU. Mheshimiwa Rais, sitopoteza muda wangu kutaja mambo...
4 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakatia akichangia hoja Bungeni, leo tarehe 10 Februari, 2021, Mbunge huyo wa Jimbo la Kawe amesema: "Kuna ugonjwa wa Covid-19 ambao umetikisa dunia na nchi yetu imechukua msimamo tofauti na nchi...
28 Reactions
104 Replies
13K Views
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Simon Sirro amehamishiwa makao Makuu ya jeshi hilo kushika nafasi ya aliyekuwa kamanda wa kikosi cha Oparesheni Maalum Venance Tossi ambaye amestaafu. Katika...
3 Reactions
31 Replies
8K Views
Naona mzee katupia magwanda huenda anaenda hapo Monduli kwa shughuli za kijeshi. Any way, spika amekataliwa live mbele ya Rais Magufuli.
16 Reactions
145 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…