Irish Times - Tanzania Inahatarisha Dunia

Irish Times - Tanzania Inahatarisha Dunia

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,419
Reaction score
17,176
Tanzania ndiyo Taifa la ajabu pekee, lililogeuka kuwa kichekesho cha Ulimwengu wa Sayansi, linalokataa chanjo zilizofanyiwa utafiti wa Kisayansi lakini linaamini mvuke na juisi vinaua virusi vya Covid 19.

Gazeti la Irish Times linaelezea kuwa Waziri Gwajima amewaambia watanzania wanywe juice ya matunda iliyochanganywa na pilipili ili kupambana na corona.

Swali la Kujiuliza:
Umesema corona haipo, hupimi, unajuaje kuwa hiyo juice inasaidia wagonjwa wa corona? Ilikuwa unafanyia majaribio ya wagonjwa wa kutoka mataifa mengine?

Gazeti linaeleza kuwa Taifa lolote lisiloshirikiana na mataifa mengine kupambana na corona, linakuwa hatari kwa watu wake na mataifa mengine.

Habari zaidi soma gazeti la The Irish TimesTanz

-----

Tanzania looks to divine providence as government shuns Covid vaccines

Neighbouring countries alarmed as president deems vaccines dangerous and unnecessary

[data:image/svg+xml;charset=utf-8,%3Csvg xmlns='http://www][https://www-irishtimes-com]President John Magufuli: called on citizens for three days of prayer to defeat unnamed “respiratory diseases” amid warnings that the country is seeing a deadly resurgence in infections. Photograph: AP

David Pilling in London, Andres Schipani in Nairobi

Sun, Feb 21, 2021, 15:25

Dorothy Gwajima, Tanzania’s health minister, held a Covid-19 press briefing this month that looked more like a cooking show. Brandishing a blender as an aide added ginger, onions, lemon and pepper to the concoction, she explained that the vegetable smoothie would ward off coronavirus.

Offering no evidence for the claim as she downed a glass, Gwajima said the virus was “ravaging” neighbouring countries but not Tanzania. The east African country of nearly 60 million people had no need of vaccines and “no plans to receive them”, she said.

Her pronouncements echoed the views of John Magufuli, Tanzania’s president, who has declared Covid-19 vaccines dangerous and unnecessary. A devout Catholic, he has said God would protect his nation from the disease.

“If the white man was able to come up with vaccinations, he should have found a vaccination for Aids by now,” he said.

As rich nations rush to vaccinate their populations and poorer countries, including almost all those in Africa, press for supplies of the jabs, Tanzania stands out as a Covid-19 denier and vaccine refusenik.

Its stance not only endangers its citizens but people elsewhere, particularly if mutant strains are allowed to develop in the country unchecked, health experts warn.

Dr Ahmed Kalebi, a pathologist and lecturer at the University of Nairobi in neighbouring Kenya, said the spread of the coronavirus from China showed new pathogens would quickly ricochet around the world. The same could happen if a virus variant emerged.

Although not referring specifically to Tanzania, he warned: “Each country is a danger to other countries because mutant strains can go everywhere. If you have a public health catastrophe in one place, it will have a domino effect in other countries.”

Although Tanzania’s government closed schools and colleges for part of last year, Magufuli has encouraged people to go to work and attend places of worship. The government has refused to release Covid-19 data since May, when its official death toll stood at 21.

The president has even mocked virus testing, saying he was able to fool scientists at the national laboratory by sending diverse samples – including papaya juice and diesel oil – labelled as human blood.

“We have stayed for more than a year without coronavirus, even though none of us here has put on their face mask,” he asserted in a recent speech.

Protective clothing

However, Tanzanians, many of whom wear face masks, have said on social media that they know people who have died after showing coronavirus-like symptoms. Religious authorities and some government agencies have encouraged hand washing in an acknowledgment of the danger.

Magufuli has conceded that some Tanzanians favour vaccines, accusing people of travelling abroad for immunisation and bringing Covid-19 back.

Just this week, Seif Sharif Hamad, first vice-president of the country’s semi-autonomous Zanzibar region, died in hospital after testing positive for Covid. Several Tanzanian parliamentarians have died with Covid-like symptoms and footage online has shown funerals conducted at night with pallbearers in protective clothing.

Doctors in Mombasa, a Kenyan port city, report an influx of Tanzanian patients seeking Covid treatment, raising the fear that any variants circulating in Tanzania could be imported.

Charles Kitima, secretary-general of the Tanzania Episcopal Conference, a grouping of Catholic bishops, said priests had been holding daily funeral masses in recent weeks – a sharp increase on normal levels. Although he could not confirm the deaths were from Covid, he said: “We see people in hospitals suffering from breathing complications, and due to that, they end up dying.”

Magufuli’s pronouncements contrast with the stance of counterparts across Africa, where most governments have taken Covid-19 seriously. Some countries, including Rwanda, began immunisations this week, with others expected to start this month and next – although Burundi, Eritrea and Madagascar, where politicians have also been sceptical of Covid, have not yet ordered vaccines.

Some commentators in neighbouring countries have expressed alarm at Magufuli’s approach. Gado, a Tanzanian cartoonist working in Kenya, published a drawing in The Elephant, a pan-African news platform, depicting Tanzania’s leader taking a steam remedy – another official recommendation – while a green coronavirus character snickers to itself.

“It seems downright irresponsible, if not suicidal for Kenya, for the region and the continent – not to mention the globe – to ignore Magufuli and his like who do not take the pandemic seriously,” said Patrick Gathara, a Kenyan political analyst.

However, the African Union, the World Health Organisation and the Africa Centres for Disease Control and Prevention have been reluctant to criticise Tanzania in public, although they have stressed the importance of reporting data.

Matshidiso Moeti, WHO regional director for Africa, said Tanzania was not co-operating with continent-wide gene-sequencing needed to detect new variants. She said two Tanzanian travellers arriving recently in Britain had tested positive for the 501.V2 variant first detected in South Africa. The UK government has added Tanzania to its “red list” of countries from which entry is barred.

India’s government said this week that one case of the 501.V2 strain had been imported from Tanzania.

Tanzania could pay a high economic price for any long-lasting travel restrictions. With Zanzibar and the Serengeti Game Reserve attracting thousands of international visitors annually before the pandemic, the country depends heavily on tourism, which contributes at least 10 per cent to national output.

Meanwhile even senior figures in the Tanzanian church disagree with the president that their country is protected by divine providence. Masks were more effective, said Yuda Thadei Ruwaichi, the bishop of Dar es Salaam.
 
Sisi tulishaamua haturudi nyuma!!

Katika kuamua kwetu kunawale ambao ni Watanzania Kwa nje, Ila Kwa ndani ni mabeberu, tutawalazimisha kuelekea mwelekeo wa Watanzania halisi yaani nje ndani ni Watanzania

Na tutakuwa wa Kwanza kuishinda hiyo biashara Yao ya mauwaji dhidi ya watu

Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu na hatutarudi nyuma ng'o!! Anayegeuka kuwa mawe na ageuke Ila tutamsaidia kumvusha
 
Marekani ina vifo 500,000 na bado idadi inaendelea wao hawahatarishi dunia ila tz.

Hawa watu akili zao na za hawa washabiki wao wa hapa kwetu ukijumlisha na yule mbelgiji akili zao zipo kwenye visigino
 
Huyo mwandishi ni Mkenya ambaye nia kubwa na kuishambulia Tanzania tu; kwani wao kenya wanaovaa barakoa za namna hii wako salama?

1614114044002.png


Mbona wakati Trump anahubiri chloroquine hawakulalamika na hadi leo hii zaidi ya nusu milioni ya wamarekani wameshafariki. Kwani Kenya wao wanajua nini zaidi ya kufuata maagizo ya master?
 
Kirusi hakijawahi kua na dawa tangu kuumbwa kwa dunia.

Ila hua kuna vipunguza makali. Hiyo kachumbali unayoibeza ukiikuta kwenye chupa ya mzungu hutaitilia shaka.

Pamoja na hayo, siungi mkono kuikataa chanjo, ila nilidhani hao wanao iona tanzania kama threat kwa dunia basi waache kuifanya chanjo kama intellectual property , watuhusishe kwenye utengenezaji na utoaji ili twende sawa.

Kama hawataki basi Raisi wetu atazidi kuwa shupavu hasa kwa mataifa maskini na ya kiafrica.

Dunia ya leo ni hatari kununua mbuzi kwenye gunia.

Hata hivo, Raisi wetu ndie kiongozi wetu na anajua mengi.

Ushauri kwa Raisi, kaa na viongozi wa dini, waeleze ukweli unaoujua kwani wengi wao ni wana art, sayansi zero. Baada ya hapo tuombe ushiriki kwenye utengenezaji wa chanjo na michakato yote la sivo acha tufe tu,

Hata hivo wazee kwetu ni wachache na kwani kina wauma nini hao ma beberu?! Si wakichanjwa wao wanakua salama!

Wajiamini na chanjo yao watuache sisi.
Matatizo tulishazoea, subsaharan

Vita kwetu, magonjwa hatujaanza leo, njaa kama kawa, ukimwi na ebola safi tu.

Leo mbona wanakomalia Covid 19

Tuwe nabusara. Raisi wetu anakitu anajua. Tukiendelea kumpigia milunzi mingi tutampoteza.

Maoni binafsi.
 
Back
Top Bottom