Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiangalia Watanzania wa hali ya chini tangia zamani walizoea kuonewa sana na walizoea kabisa hayo maisha, lakini amekuja John Pombe amewafungua macho hawa watu duni na kuwaambia kuwa mlikuwa...
9 Reactions
65 Replies
7K Views
Kimsingi Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania haitokani na Serikali yenyewe bali inatokana na wananchi. Watanzania ndiyo wenye Serikali na siyo Serikali ndiyo inawamiliki watanzania. Serikali...
36 Reactions
66 Replies
6K Views
Mh rais wewe ni mkuu wa taifa letu, na taifa letu linaendesha kwa misingi ya kuilinda na kuiheshimu katiba ya JMT. Ibara ya 13 (6)(b) ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa hakuna mtu atakutwa na...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,naomba kwa anayeelewa huyu katibu wetu wa chama anatokea mkoa gani au na yeye anatokea kanda maaalum ? Maana matamko yake yanafanana na watu...
7 Reactions
105 Replies
31K Views
Yaani wakati wa kinana kidogo ulikuwa unaona kabisa kuna sera za kukampeni na wabunge na wagombea wengine walikuwa wanashindana na kishinda na kushidwa. Sasa huyu Profesa ambaye hajui, hapendi...
12 Reactions
48 Replies
6K Views
KUZUIA TAHARUKI KUNALETA TAHARUKI Kuwazuia watu kuogopa kitu kinachoogopesha ni kuwakosea haki watu hao. Binadamu kamili huogopa. Kutoogopa kinachoogopesha ni kasoro ya kimaumbile hata kama si...
17 Reactions
25 Replies
3K Views
Tumekusikia mara kwa mara ukilalamika juu ya wasimamizi wa sheria za nchi kunyanyasa raia wa kawaida. Leo hii tar 25 Feb 2021 unalalama juu ya watumishi wa TRA kubambikia wanachi kodi na kuleta...
9 Reactions
55 Replies
3K Views
MTAZAMO WA MHASHAMU BABA ASKOFU SEVERINE NIWEMIGIZI WA KANISA KATOLIKI JIMBO LA RULENGE-NGARA Nawaza kivyangu kwa sauti. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 katika ibara ya 19...
26 Reactions
97 Replies
10K Views
Wandugu. Inawezekana mm ndiyo sijaelewa. Raisi wa JMT leo alikuwa chuo cha mapolisi kurasini. Hapo alizindua majengo mengi. Kama kawaida. Awali kabla ya kuanza kuhutubia alitangulia means CCM...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Matumizi sahihi ya Rasilimali zetu huleta matokeo chanya siku zote. Ni fedha zinazotokana na makusanyo ya kodi zetu. Tshs Bilioni 24.4 zimetolewa na Serikali kupeleka maji kwenye mji wa Tinde...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wilaya ya Kaliua inakumbwa na majanga mengi kwa watumishi wake changamoto inayoikabili wilaya ni Rushwa ya ngono kwa watendaji wake hasa wakuu wa vitengo kuwakata watumishi wa kada za chini...
6 Reactions
66 Replies
12K Views
Wakuu nina hasira, nina hasira na huu utawala. Nilihitimu chuo miaka kadhaa iliyopita, ajira Kama mnavyojua JPM haipi kipaumbele, basi nikahangaika hadi kupata kazi kwenye NGO moja ya kimarekani...
65 Reactions
181 Replies
13K Views
Naelewa kwamba wametangaza social distance kwenye ya mita 1 kwenye stendi za daladala kama pale Makumbusho na Mbagala. Sidhani kama hiyo inasaidia lolote kama ndani ya basi watu wanakanyagana...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali itajenga flyover huko Buza ili kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri. Amesema hiyo itakuwa ni flyover ya tatu wilayani humo...
6 Reactions
40 Replies
7K Views
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema Mawaziri hawafanyi mawasiliano, suala linalowapa changamoto watu wa chini. Ametoa kauli hiyo leo katika uzinduzi wa majengo ya Chuo cha Polisi...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
MAJIBIZANO KATI YA ASKOFU MWAMAKULA NA PROFESA LWAITAMA! Baada ya Askofu Mwamakula kuposti katika ukurasa wake taarifa za mwanaharakati nguli wa Haki za Binadamu, Mama Helen Kijo-Bisimba kuunga...
18 Reactions
30 Replies
6K Views
Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza. Mtakumbuka Rais magufuli alitoa kibali cha kuajiri walimu 13,000 ili kukabiliana na tatizo la upungufu wa walimu nchini. Katika kibali hicho, serikali...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Leo Serikali imetoa waraka mrefu unaoelezea namna Watanzania wanavyotakiwa kupambana na tatizo la Covid 19. Kiufupi mwongozo huo wa Wizara ya Afya, unaoelezea zaidi mambo yanayotakiwa kufanywa ili...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Mkazi wa Kijiji la Luganga, Wilaya ya Mufindi, Iringa, alikozaliwa Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Daudi Ballali analazimika kutumia saa 32 kufika katika kaburi la kiongozi huyo...
3 Reactions
211 Replies
39K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…