Bahati nzuri nina kipaji cha ualimu ingawa mimi ni Askari kwa fani.
Vita ya kiuchumi maana yake ni mgongano wa kiuchumi unaotokea baina ya mataifa mawili. Wakati mwingine msuguano huu unaweza...
Structural adjustment programs attempt to correct economic imbalances and improve efficiency of developing and transitional economies, thereby setting the state for further development. David Reed...
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, ndugu Aron Titus Kagurumjuli
Mkurugenzi mpya atateuliwa baadaye.
Maendeleo hayana vyama!
Walisema Lowassa ni mgojwa muda wowote atakuwa RIP na wengine kudiriki kusema hatuwezi kupeleka maiti Ikulu.
Cha ajabu zaidi ya nusu ya waliokuwa mstari wa mbele kutamka meno ya mgonjwa nao...
Tanzania ni nchi huru yenye mihimili 3. Bunge, Mahakama, na Utawala. Hivi karibuni tumeona mihili hii isivyo na nguvu na mhimili mmoja kuendesha mihimili mingine. Mf. Bunge kuendeshwa na Serikali...
Mabibi na mabwana itakuwa ni kujifariji kuwa pamoja na changamoto nyingi zikiwamo za kupumua kuwa baada ya 27th Feb hapana mageni ambayo siku za nyuma hayakuwapo.
Kumbukeni hata mafuta ya magari...
Ndugu zangu Watanzani, leo nimekuwa na tafakuri ndefu sana kuhusu nchi yangu, wakati nafsi ikielekea kulalamika juu ya hali halisi ya maisha yaliyopo mtaani, nikiwa kwenye chumba changu mwenyewe...
Nimpongeze Mhe. Rais kwa kuamua kukaa chini na kufanya kazi za ofisi ikiwemo kuhakikisha mambo nyeti yaliyokuwa yanasimamiwa na Marehemu Balozi Kijazi yanakabidhiwa kiutaratibu kwa mrithi wake...
Mambo yanaenda hayaendi.
Wapo watu kasi imewashinda, tathimini imekamilika na kinachofuata ni kauli ya tupishe wenye kasi zaidi wakalie viti.
Tunategemea panguapangua siku si nyingi kutoka juu...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Kamarada Humphrey Polepole leo Jumamosi Oktoba 17, 2020 atazungumza na Vyombo Vya Habari.
---
Mgombea urais kupitia CCM, John Magufuli Oktoba 19, 2020 ataendelea...
Nchi hii sasa karibu iwe jehanamu, hakuna raha! Viongozi wetu kutwa kucha wanahubiri vitisho hawataki tufurahi, tupashane habari, tuelimishane! Viongozi wetu wanataka tuwe mabubu, tujikunyate...
Kwa mtazamo wangu, Raia wa Zanzibar wako more informed kuliko wa Tanganyika.
Uthibitisho ni wakati Zanzibar ni nchi ya Pili afrika kuwa na Television miaka ya sabini sisi tumeanza mambo hayo tena...
Aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii Dkt. Kigwangalla amesema amefuta rasmi urafiki wake na mfanyabiashara maarufu Mo Dewji kwa sababu yeye (Kigwangalla) ni mtu wa principles.
Akizungumza na...
Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani (TABOA), mkoani Mwanza, wamemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati na kuvunja utaratibu wa kuweka wakala wa kukusanya mapato kwenye ukataji wa tiketi maarufu kama...
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amewataka wanawake wa Tanzania kujiamini kwani wanawake ni jeshi kubwa.
Mama Samia amesema mataifa mengi huko duniani hujifunza kupitia Tanzania ndio maana hata...
Magazeti ya Fahari Yetu, Tanzanite na Jamvi la Habari kila siku yanaandika habari za uzushi na uongo na mhariri wake Habibu Mchange anajulikana lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa na...
Kumekuwa na mihemuko ya baadhi ya wanajamii hasa wanasiasa za upinzani, wakitaka kupewa takwimu za ugonjwa wa covid 19. WHO nao wamekuwa wanadai takwimu. Ukweli ni kuwa takwimu wanazozitaka hawa...
Taifa linalokuwa na tasnia ya habari iliyojaa uoga ni taifa mfu. Maana ni taifa ambalo haliwezi kupata taswira au picha kamili ya jinsi hilo taifa lilivyo.
Nini kinawapa wanahabari kupata...
Msanii maarufu wa katuni hapa nchini ndugu Kipanya leo amekuja na hatima ya viboko hapa nchini.
Je, nikweli kuna siku hata wanao wapiga viboko wenzao leo hii kuna siku na wao watatandikwa?
Huyo...
Nimeona nitoe ya moyoni kuelekea 2025 maana kwa Neema za Mungu tukikuwepo basi ningeomba swala la kutuchagulia vijana lisiwe agenda ila agenda iwe ni kumpata kiongozi mwenye busara na anaye...