Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni mbunge wa Makambako mh Deo Sanga aka Jah People. ----------- Aliyasema hayo jana wakati akichangia mjadala wa Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2019/2020 unaondelea bungeni...
6 Reactions
114 Replies
20K Views
Baada ya kusoma taarifa alizozitoa Lissu katika vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa kuhusu afya ya Rais na hatimae kueneza taarifa kuwa Rais karejea kwa muumba, ilinisababishia mshituko...
22 Reactions
271 Replies
22K Views
Marehemu, KMK kaka yangu Kijazi sasa ndio nimeamini kuwa haupo nasi kimwili, umeenda kwa muumba wetu. Nilikuwa kwenye denial si kwamba nakosoa maamuzi ya Muumba ila sikutaka uende sasa. Umewahi...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Askofu JUDE THADEUS: Asante mlovaa barakoa/nawalaum msiyo Vaa/Hali n Tete. Ameyasema katika mazishi na kaongea mengi sijui kama hii Serikali hii itamuachaa Pitia video Britannica
42 Reactions
156 Replies
21K Views
Hii dhana ya vita vya kiuchumi inachanganya sana. Maana ikiangaliwa kwa upande mmoja watu wengi hudhania kuwa vita hivi huwa vinapiganwa baina ya taifa maskini lenye rasilimali zake dhidi ya...
4 Reactions
119 Replies
8K Views
Wakati mwingine ukitafakari Sana unaweza kujisemea kwa kunong'ona kuwa hii nchi ina vichaa wengi Sana! Rais wetu mpendwa alikwisha sema vita ya kichumi haiwezi kutuacha salama, kwa kuwa tupo...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Serikali wilayani Chato kujenga mabweni shule zote ili kupunguza adha ya usafiri kwa wanafunzi ambapo shule zote zilizokuwa za kutwa sasa kubadilishwa na kuwa za Bweni huku shule zote mpya...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Kwenye janga kama hili ndio weledi wenu wa kazi unapotakiwa kuonekana, na siyo kudili na upinzani tu ambao hauna madhara yoyote kwa Taifa zaidi ya faida. Mwambieni Rais kuwa, asiidharau Corona na...
35 Reactions
80 Replies
11K Views
Wizara mbalimbali zimekuwa zikikabiliwa na matatizo kama ubadhilifu wa fedha, wizi wa kimtandao na wa kughushi na hata matishio ya kusambazwa kwa taharuki kutoka kwenye mitandao ya kijamii...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
MUDA WENU SI MUDA WANGU, MAWAZO YENU SI MAWAZO YANGU Leo 14:30hrs 17/03/2021 Basi watu wakamwambia nenda kajionyeshe kwa Walimwengu, nae akawajibu. Yohana 7:6 Basi Yesu akawaambia,wakati wangu...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Jana Mh Mama Samia alisema Mgao ndo basi na kuanzia leo ni fullu umeme ila cha ajabu Mgao bado upo. Sasa ni nani ana mdanganya nani? Niko Arusha mida hii ni giza TANESCO walishafanya yao...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna mambo mengi yanaweza kufanya wapinzani hapa nchini mpaka kujenga upya imani kwa wananchi. Hili la kushadidia mkuu wa dola anaumwa au haonekani halina mantiki Nimeangalia kwa ukaribu matamko...
21 Reactions
90 Replies
6K Views
Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua. Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo...
40 Reactions
111 Replies
11K Views
Kuna mawaziri hawajui majukumu yao hadi sasa. Enzi za kina Mahiga waziri wa mambo ya nje na waziri wa katiba na sheria huwezi kuta anaongea takataka mahali popote. Napenda nimpongeze waziri wa...
20 Reactions
112 Replies
12K Views
Mimi ni Kati ya watu wanaomkosoa Sana mh JPM humu wakati mwingine nakuwa mkali mno kwa mh rais kwa hili anisamehe maana ndio hulka yangu nikiwa na Jambo silielewi. Lakini nakiri wazi Kuna Mambo...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Bunge la Tanzania limekanusha kujihusisha na Asasi ya utoaji mikopo ya Focus Mikopo, ikiionya kwa kitendo cha udanganyifu na uvunjifu wa Sheria za Nchi Kauli ya Bunge inakuja kufuatia kusambaa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Lipo tatizo likuporomoka kwa kasi kwa hadhi ya wakuu wa Mikoa na Wilaya. Nikifuatilia siasa za nchi hii nakufanya tathimini ya ubora wa nafasi za juu katika utumishi wa Umma naweza kusema kwa...
10 Reactions
45 Replies
6K Views
Wakuu wakati Taifa letu likiwa tulivu kabisa baada ya wananchi kuombwa wawe na mshikamano , basi kule BAWACHA nako mambo yanazidi kusogea kimya kimya . Mh Suzan Kiwanga mbunge wa zamani wa Mlimba...
9 Reactions
64 Replies
7K Views
Akiongea na wananchi wa Mbalizi mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Albert Chalamila amesema mkoani kwake wanatwanga bia kitambo hawasubiri party ya Jumapili kama Dar. Amedai kuna wakati alifungia bar kwa...
28 Reactions
93 Replies
14K Views
Sio tu masheikh wa uamsho ambao walikamatwa na SMZ na kuletwa Tanganyika kuendelea na mashitaka yao ya ugaidi lakini Serikali ya awamu ya tano ilivyoingia madarakani kesi zote zikasimamishwa na...
10 Reactions
67 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…