beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Bunge la Tanzania limekanusha kujihusisha na Asasi ya utoaji mikopo ya Focus Mikopo, ikiionya kwa kitendo cha udanganyifu na uvunjifu wa Sheria za Nchi
Kauli ya Bunge inakuja kufuatia kusambaa kwa taarifa zinazohusisha Bunge, Wabunge na shughuli za Asasi hiyo katika Mitandao
Bunge limesema taarifa hizo hazina ukweli na zinalenga kulichafua na kuhalalisha vitendo vya utapeli