TISS, chezeni karata kuizuia Corona

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,932
13,283
Kwenye janga kama hili ndio weledi wenu wa kazi unapotakiwa kuonekana, na siyo kudili na upinzani tu ambao hauna madhara yoyote kwa Taifa zaidi ya faida.

Mwambieni Rais kuwa, asiidharau Corona na kuichukulia poa, akija kustuka atajikuta nchi haikaliki kila sehemu moto umewaka.

Hii ni vita kubwa kuliko ile ya kupigana kijeshi. Covid -19 ni adui asiyeonekana mwenye nguvu kubwa za kutisha, kwa sababu Rais alisema pesa tunazo nyingi tu kiasi cha kununua ndege cash, mwambieni Rais anunue haraka vipimo vya Covid -19 kisha vipelekwe maeneo ambayo yapo kwenye risk kubwa ya kupata Corona ili kila mtu apimwe.

Mwambieni Rais, lockdown haiepukiki asisubiri hadi hali iwe mbaya zaidi, lockdown siyo watu wakae majumbani kwao wamejifungia, hapana siyo hivyo, ni miji kama Dar es Salaam ambako kuna case kubwa ya Corona kwa Tanzania ndo ifungwe.

Dar es Salaam, Rais aiweke lockdown haraka iwezekanavyo, yaani kusiwe na mwingiliano na mikoa mingine isipokuwa yaingie magari ya chakula tu na mahitaji mengine ya kibinadamu.

Mwambieni Rais, afunge mipaka kuzuia mwingiliano wa watu hovyo hovyo, isipokuwa shughuli za kiuchumi kama malori ya chakula na mafuta yaendelee kufanya kazi kama kawaida.

Mwambieni Rais azuie kwa muda biashara ya mitumba, yaani Biashara ifanyike kwa mitumba iliyopo ndani ya nchi tayari, mizigo ya mitumba mipya isiingie Tanzania hadi janga hili litakapokwisha.

Bill Gates ni agent wa siri wa CIA, hivi karibuni mke wake karopoka kuwa Africa itamalizwa na Corona na maiti zitazagaa barabarani, na watu zaidi ya mil 10 watakufa.

Huyu mama hajakurupuka kuropoka, anajua kilichopo nyuma ya pazia. Kwanza wazungu roho zinawauma sana kuona Corona inawaua wao kwa fujo kuliko Africa,wamezoea majanga mengi ya Dunia kuwakumba waafrica.

Nimeishi na wazungu kwa miaka mingi sasa, ni kweli ni Binadamu wenye roho nzuri sana, utu na Huruma pia, tatizo lao nature ya ubaguzi na kujiona wao ni bora kuliko mtu mweusi ndo inawatesa hadi leo.

Mwambieni Rais, "everyone fights for himself for his own survival ", aunde task force haraka sana ya kupambana na Corona Kama alivyoshauri mh Mbowe Bungeni.

Mwambieni Rais, asiamini msaada wa vifaa vyovyote vya kupambana na Corona kutoka nje. Ni bora apokee pesa kisha nchi ikanunua yenyewe kuliko vifaa. Ni rahisi sana mitumba kutumika kusambazia Corona na vitu vingine.

"Ni kwa nini sisi weupe tunakwisha halafu Waafrica bado wapo salama? "

Kwa masikio yangu nnimewasikia wazungu wakihoji hili mtaa mmoja katika jiji la Melbourne.

Kazi kwenu TISS kuiokoa Tanzania.
 
.
IMG-20200413-WA0108.jpeg


Jr
 
Gonjwa hili lipo na halina dawa, tujikinge usisambae:

HOW COVID-19 KILLS--I'm a Surgeon--And Why We Can't Save You



SARS2-Covid-19 virus can cause severe problems. This happens when it moves down the respiratory tract and infects the lungs, which are even richer in cells with Ace-2 receptors. Many of these cells are destroyed, and lungs become congested with bits of broken cell. In these cases, patients will require treatment in intensive care.

Even worse, in some cases, a person’s immune system goes into overdrive, attracting cells to the lungs in order to attack the virus, resulting in inflammation. This process can run out of control, more immune cells pour in, and the inflammation gets worse. This is known as a cytokine storm. (In Greek, “cyto” means cell and “kino” means movement.) In some cases, this can kill the patient.

Just why cytokine storms occur in some patients but not in the vast majority is unclear. One possibility is that some people have versions of Ace-2 receptors that are slightly more vulnerable to attacks from the coronavirus than are those of most people.

Source : Duc C. Vuong
 
Mkuu umeshauri Rais asipokee misaada ya vifaa, na wakati huo huo unamshauri anunue vifaa. Kama msaada na vifaa zinatoka sehemu moja, unakwepa vipi hilo janga.

Nilidhani labda ungeshauri apokee pesa na kuviwezesha viwanda vya ndani kutengeneza baadhi ya mahitaji muhimu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom