Wapinzani it is too late to take political advantage, wekezeni kwenye agenda za maana

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Kuna mambo mengi yanaweza kufanya wapinzani hapa nchini mpaka kujenga upya imani kwa wananchi. Hili la kushadidia mkuu wa dola anaumwa au haonekani halina mantiki

Nimeangalia kwa ukaribu matamko ya ACT Wazalendo na Chadema yote kimsingi ni porojo ambazo hazina mashiko. Maana kuanza kuhubiri kuwa nani anatakiwa ashike mikoba ya Rais wakati hamna uhakika kama anaumwa au haumwi ni kukosa fikra pevu za kisiasa. Maana kama kutoonekana ni tatizo tayari mmeshapata majibu toka kwa wasaidizi wake.

Ninyi kama mna busara za kisiasa mnatakiwa muipeleke mchakamchaka hii serikali ya CCM iweze kujibadili, ajira ziwepo, sekta binafsi zipate uhai na hujuma kwa wajasiriamali wadogo zisiwepo. Tena muwe na hoja mujarabu ambazo zitasababisha mujenge imani tena kwa wananchi.

Kudandia matukio kama haya ambayo yameshapoa ni kupoteza muda wa kisiasa.
 
Upendo ni muhimu, kumjulia hali jirani yako sio ubaya ccm is deadly body longtime I don't see any problem from opposition

The quiz is Well is Bakayoko?
 
Upendo ni muhimu , kumjulia hali jirani yako sio ubaya ccm is deadly body longtime I don't see any problem from opposition

The quiz is Well is Bakayoko ??
Tungesikia wamepiga hodi Chamwino alafu tukapata habari tungesema ni upendo kweli
 
Kuna mambo mengi yanaweza kufanya wapinzani hapa nchini mkapa kujenga upya imani kwa wananchi. Hili la kushadidia mkuu wa dola anaumwa au haonekani halina mantiki..
Mchaka mchaka unatokaka wapi wakati uwanja wa kufanya shughuli za siasa haipo! Au MKUU unaishi nje ya tz, Hata hivyo viongonzi wa vyama hivi ni majembe vinginevyo hata mchaka mchaka wa mwaka jana kwenye uchaguzi haukutegemewa kabisa
 
Mtoa hoja ni Delinquent na ameridhika kwa kuwa ni middle class,chama dola kama kinajiona kina mandate halali ya kutawala why wasi level playing field halafu wananchi waamue wenyewe?

Chama dola always wao wanaanzia ilula kushuka kitonga pass halafu wanajifanya eti wameumaliza ule mlima for30mins !ukiwaambia waanzie pale ilipokuwa comfort Hotel kwenda Ilula wanaleta hadithi za chakubanga.
 
So do you trust JP is doing well?? About it condition so I don't wonderful when people call Mataga.
Ukiambiwa kuwa kilikuja na meli usiwe unabisha ndugu, siyo kwamba tunakuchukia, Tumia tu Kiswahili achana na lugha zilizovuka maji
 
IMG-20210316-WA0016.jpg

Tunapambana sana opposition kutetea uhai wa wapendwa wetu ingawa ni karaka kwa watawala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom