"Kuna kitu kimetengenezwa katika nchi hii na watawala ile sera yao susi inaitwa wagawanye watawale ndiyo ambao wanatumia hao watawala ambao wanauroho wa madaraka ninaomba watanzania hiyo sera tuipige vita tutengeneze umoja, ushirikiano tuwe wa moja ili tuiondoe mbegu hiyo mbaya ambayo inapandwa katika nchi yetu ya udini" - Amesema Suleman Bungara 'Bwege'.
