Kwanini Wakenya wengi humsifia Rais Dkt. John Magufuli?

JOYOPAPASI

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
250
408
KWANINI WAKENYA HUMSIFIA RAIS MAGUFULI?

Na Thadei Ole Mushi

Tumekuwa tukiona Mara kwa Mara Prof Lumumba wa Kenya akimsifia Sana Rais Magufuli. Watu wengi hujiuliza kanunuliwa? Au ana interest gani na Rais Magufuli au na Tanzania? Leo nitawapitisha katika eneo Moja tu la kwa Nini huwa wanaona Mh Magufuli ni Rais Bora wa kipindi hiki wakilinganisha na wa kwao Uhuru Kenyata. Twende sawa.

David Ndii mwanauchumi wa Kenya aliwahi kusema Kuna haja ya kutafiti kama Ziara za Rais Kenyatta nje ya Nchi zina Manufaa. Duru za Kibajeti nchini Kenya zinaonyesha kuwa Rais Kenyata ametumia matrilioni ya Shilingi katika safari zake nje ya Nchi.

Kwa miaka sita tu Rais Kenyata kufikia 2019 alikuwa ameshakwea pipa Mara 92 kuhudhuria shughuli mbalimbali nje ya nchi shughuli nyingi zikiwa Ni kuaapishwa na kutafuta Mikopo kwenye mataifa ya Kibepari.

Mwaka 2015 pekee Rais Kenyata alisafiri safari 21 katika mwaka mmoja. Kwa miaka mitano ya Kwanza Kenyata alisafiri zaidi ya Mara 43 nje ya Nchi huku mtangulizi wake Mwai Kibaki kwa miaka 10 alisafiri Mara 33 tu. Wachambuzi wa Mambo nchini Kenya wanakosoa vikali Sana Kitendo Cha Rais Kenyata kusafiri Mara kwa Mara na kuligharimu Taifa Hilo mabilioni ya Shilingi.

Hali ipoje kwa Tanzania?

Kwa miaka Mitano Rais Magufuli katoka nje ya mipaka Mara 8.

Safari ya kwanza aliifanya Tarehe 6-8 Mwezi wa nne mwaka 2016 ambapo nchi ya kwanza kuitembelea ilikuwa Rwanda. Siku ya kwanza Rais Magufuli alikutana na Mwenyeji wake Rais Kagame mpakani Rusumo ambapo walizindua one stop border na kufungua Daraja la Rusumo. Siku ya Pili Rais Magufuli alihudhuria maadhimisho ya miaka 22 ya mauaji ya Kimbari Rwanda.

Safari ya Pili alikwenda Uganda ambapo alisafiri Tarehe 12 Mwezi wa tano 2016. Wakati Rais akipanga kwenda Uganda Mezani kulikuwa na mwaliko wa kuhudhuria mkutano wa Ant-Corruption uliokuwa ufanyike London Ila alikataa mwaliko huo akaelekea zake Uganda kwa Jirani yetu Museven. Lengo la Safari hii ilikuwa Ni mazungumzo ya Bomba la mafuta toka Uganda kuja Tanzania. Wakati Kenyata anarudi akakuta tayari Rais Magufuli na Museven washasinishiana mkataba.

Safari ya Tatu Rais Magufuli alitembelea Kenya kwa Jirani Mwingine hii ilikuwa safari ya Mwisho kwa mwaka 2016 ambapo alisafiri Tarehe 31-1 Mwezi wa kumi. Ziara ya siku Mbili. Safari hii ilikuwa na lengo la kuimarisha biashara ya Kenya na Tanzania.

Safari ya nne ilifanyika 2017 ambapo Rais Magufuli alielekea Ethiopia Tarehe 29-2 Mwezi wa pili. Mh Rais alihudhuria mkutano wa 28 wa nchi za Africa. Hii ilikuwa safari yake ya kwanza njee ya Africa Mashariki toka awe Rais.

Mwaka huo huo 2017 Tarehe 9-11 Mwezi November Rais Magufuli alifanya Ziara ya tano ambapo alisafiri kwenda Tena Uganda. Uganda ndio nchi pekee ambayo ilipata bahati ya kutembelewa na Rais Magufuli Mara mbili. Hakuna nchi nyingine kwa kipindi Cha miaka mitano umepata bahati hiyo. Rais Magufuli alikutana na Mwenyeji wake Mtukula ambapo walizindua one stop border na baadaye alielekea Ruzingwa kuweka jiwe la Msingi la bomba la mafuta. Mwaka 2017 alifanya Ziara mbili tu na hii ilikuwa Ni ya Mwisho kwa mwaka huo.

Mwaka 2018 Rais Magufuli hakutoka kabisa nchini.

Mwaka 2019 Rais Magufuli alifanya Ziara ya sita ambapo alihudhuria kuapishwa kwa Cyril Ramaphosa Africa Kusini Tarehe 25-26 Mwezi wa tano. Kwenye Ziara hii waliongozana na Rais Kikwete kwenye ndege Moja.

Ziara ya Saba aliifanya Namibia wakati akirudi toka Afrika Kusini ambapo alipitia Namibia. Hii ilikuwa Tarehe 27-29.

Ziara ya Mwisho kabisa aliifanya kipindi hicho hicho akirudi nyumbani tokea Afrika Kusini ambapo alipitia Zimbabwe Tarehe 29-30
Mwezi wa tano. Hii ni Ziara yake ya nane.

Safari za Rais hugharimu Nini?

Wakati wa JK alipokuwa akisafiri kila safari moja ya nje alikwenda na watu 50. Hawa walikuwa wanausalama, waandishi wa habari, na watendaji mbalimbali wa serikali kutegemeana na Safari.

Kila Mtu kwenye safari moja alilipwa kiasi cha chini dola 400 kwa Siku. Huyu ni ofisa wa ngazi za chini kabisa.

Gharama za Kila safari ilikuwa inategemea ni sehemu gani Rais anakwenda. Mfano nchi za Ulaya na America posho kwa siku hulipwa kwa Daraja A ambazo ni Dola 420 kwa Siku kwa mtu mmoja.

Nchi za Asia na Africa hulipwa daraja B ambapo hulipwa dola 380 kwa siku.

Kwa hiyo kama safari itachukua siku tano utazidisha dola hizo Mara tano.... Iwe ni kwa daraja A Au B.

Gharama hizi hazijumuishi kitu kinachoitwa pocket Money,Nauli, Fedha za Suti kwa kila Safari nk. Yaani kila safari ni lazima vitu hivyo viwepo.

Mfano Leo wakienda Kenya lazma upate Suti kesho wakienda Uganda unapata nyingine. Vivyo hivyo kwa mahitaji mengine.

Hili ni eneo ambalo tulikubaliana kwenye Ilani yetu ya chama Kuwa tutalidhibiti ili fedha hizi tuzitumie kuondoa umaskini wa watanzania.

Ole Mushi
0712702602

IMG_20200706_153411_852.jpg
 
Tunamsifia kwa sababu Kikewete alitupatia wakati mgumu maana uchumi wa Tanzania ulikuwa kwa Kasi, Ajira kwa Sana, mishahara ya wafanyakazi ilipanda kila mwaka. Lakini huyu mliyenaye kwa Sasa Ni maneno matupu na sifa tu hakuna anachokifanya. Hivyo Basi Kenya itaendelea kuwa juu kiuchumi kwa nchi za Africa mashariki. Magufuli juu.
 
Mkuu Kenya tayari tumeiacha katika ukuaji wa uchumi! mwaka jana Bongo uchumi ulikua kwa 6.8 na Kenya 5.7!! mkuu tafuta data another time!!
 
Wakenya hawajui wanasifia nini. Ni sawa na watanzania wamsifie Uhuru au Moi.
 
mkuu Kenya tayari tumeiacha katika ukuaji wa uchumi! mwaka jana Bongo uchumi ulikua kwa 6.8 na Kenya 5.7!! mkuu tafuta data another time!!
Kwa akili hiyo hiyo mmewazidi hata US kwa ukuaji wa uchumi, mwaka 2019 uchumi wa US ulikua kwa 2.3%.

Pia kwa akili hiyo hiyo mtoto wa miaka miwili anarefuka haraka kuliko mzee mwenye miaka 70.

Elimu ya Tanzania ni shida tupu.
 
Ujinga,

Mishahara ambayo ilikuwa ni lazima akope Kwa kina lostam Azizi ndio ulipwe wewe ndio unaoa ilikuwa serikali ya maana?

Sijui tu, Kama ingeendelea hiyo Hali miaka kumi mingine, ingelazimika viwanja Vyote vya ndege, Mbuga za wanyama zishikwe na kina Lostam na wakopeshaji wengine wa serikal ili kujilipa madeni Yao ambayo serikali ingeshindwa kuyalipa, maana hata ukusanyaji wa Kodi ulikuwa ni wa hovyo tu, wale waliotakiwa walipe Kodi ndio hao waliokuwa wakikopesha serikali ili ilipe mishahara!!? Unadhani Wangelipaje Kodi hao?

utaratibu wa kulipa madeni ilikuwa ni hovyo, ilikuwa ukope mahali Halafu ndio ikalipe deni lingine mahali, Halafu unasema ilikuwa ni Nzuri,?? Hovyo kabisa
Tunamsifia kwa sababu Kikewete alitupatia wakati mgumu maana uchumi wa Tanzania ulikuwa kwa Kasi, Ajira kwa Sana, mishahara ya wafanyakazi ilipanda kila mwaka. Lakini huyu mliyenaye kwa Sasa Ni maneno matupu na sifa tu hakuna anachokifanya. Hivyo Basi Kenya itaendelea kuwa juu kiuchumi kwa nchi za Africa mashariki. Magufuli juu.
 
KWANINI WAKENYA HUMSIFIA RAIS MAGUFULI?

Na Thadei Ole Mushi

Tumekuwa tukiona Mara kwa Mara Prof Lumumba wa Kenya akimsifia Sana Rais Magufuli. Watu wengi hujiuliza kanunuliwa? Au ana interest gani na Rais Magufuli au na Tanzania? Leo nitawapitisha katika eneo Moja tu la kwa Nini huwa wanaona Mh Magufuli ni Rais Bora wa kipindi hiki wakilinganisha na wa kwao Uhuru Kenyata. Twende sawa.

David Ndii mwanauchumi wa Kenya aliwahi kusema Kuna haja ya kutafiti kama Ziara za Rais Kenyatta nje ya Nchi zina Manufaa. Duru za Kibajeti nchini Kenya zinaonyesha kuwa Rais Kenyata ametumia matrilioni ya Shilingi katika safari zake nje ya Nchi.

Kwa miaka sita tu Rais Kenyata kufikia 2019 alikuwa ameshakwea pipa Mara 92 kuhudhuria shughuli mbalimbali nje ya nchi shughuli nyingi zikiwa Ni kuaapishwa na kutafuta Mikopo kwenye mataifa ya Kibepari.

Mwaka 2015 pekee Rais Kenyata alisafiri safari 21 katika mwaka mmoja. Kwa miaka mitano ya Kwanza Kenyata alisafiri zaidi ya Mara 43 nje ya Nchi huku mtangulizi wake Mwai Kibaki kwa miaka 10 alisafiri Mara 33 tu. Wachambuzi wa Mambo nchini Kenya wanakosoa vikali Sana Kitendo Cha Rais Kenyata kusafiri Mara kwa Mara na kuligharimu Taifa Hilo mabilioni ya Shilingi.

Hali ipoje kwa Tanzania?

Kwa miaka Mitano Rais Magufuli katoka nje ya mipaka Mara 8.

Safari ya kwanza aliifanya Tarehe 6-8 Mwezi wa nne mwaka 2016 ambapo nchi ya kwanza kuitembelea ilikuwa Rwanda. Siku ya kwanza Rais Magufuli alikutana na Mwenyeji wake Rais Kagame mpakani Rusumo ambapo walizindua one stop border na kufungua Daraja la Rusumo. Siku ya Pili Rais Magufuli alihudhuria maadhimisho ya miaka 22 ya mauaji ya Kimbari Rwanda.

Safari ya Pili alikwenda Uganda ambapo alisafiri Tarehe 12 Mwezi wa tano 2016. Wakati Rais akipanga kwenda Uganda Mezani kulikuwa na mwaliko wa kuhudhuria mkutano wa Ant-Corruption uliokuwa ufanyike London Ila alikataa mwaliko huo akaelekea zake Uganda kwa Jirani yetu Museven. Lengo la Safari hii ilikuwa Ni mazungumzo ya Bomba la mafuta toka Uganda kuja Tanzania. Wakati Kenyata anarudi akakuta tayari Rais Magufuli na Museven washasinishiana mkataba.

Safari ya Tatu Rais Magufuli alitembelea Kenya kwa Jirani Mwingine hii ilikuwa safari ya Mwisho kwa mwaka 2016 ambapo alisafiri Tarehe 31-1 Mwezi wa kumi. Ziara ya siku Mbili. Safari hii ilikuwa na lengo la kuimarisha biashara ya Kenya na Tanzania.

Safari ya nne ilifanyika 2017 ambapo Rais Magufuli alielekea Ethiopia Tarehe 29-2 Mwezi wa pili. Mh Rais alihudhuria mkutano wa 28 wa nchi za Africa. Hii ilikuwa safari yake ya kwanza njee ya Africa Mashariki toka awe Rais.

Mwaka huo huo 2017 Tarehe 9-11 Mwezi November Rais Magufuli alifanya Ziara ya tano ambapo alisafiri kwenda Tena Uganda. Uganda ndio nchi pekee ambayo ilipata bahati ya kutembelewa na Rais Magufuli Mara mbili. Hakuna nchi nyingine kwa kipindi Cha miaka mitano umepata bahati hiyo. Rais Magufuli alikutana na Mwenyeji wake Mtukula ambapo walizindua one stop border na baadaye alielekea Ruzingwa kuweka jiwe la Msingi la bomba la mafuta. Mwaka 2017 alifanya Ziara mbili tu na hii ilikuwa Ni ya Mwisho kwa mwaka huo.

Mwaka 2018 Rais Magufuli hakutoka kabisa nchini.

Mwaka 2019 Rais Magufuli alifanya Ziara ya sita ambapo alihudhuria kuapishwa kwa Cyril Ramaphosa Africa Kusini Tarehe 25-26 Mwezi wa tano. Kwenye Ziara hii waliongozana na Rais Kikwete kwenye ndege Moja.

Ziara ya Saba aliifanya Namibia wakati akirudi toka Afrika Kusini ambapo alipitia Namibia. Hii ilikuwa Tarehe 27-29.

Ziara ya Mwisho kabisa aliifanya kipindi hicho hicho akirudi nyumbani tokea Afrika Kusini ambapo alipitia Zimbabwe Tarehe 29-30
Mwezi wa tano. Hii ni Ziara yake ya nane.

Safari za Rais hugharimu Nini?

Wakati wa JK alipokuwa akisafiri kila safari moja ya nje alikwenda na watu 50. Hawa walikuwa wanausalama, waandishi wa habari, na watendaji mbalimbali wa serikali kutegemeana na Safari.

Kila Mtu kwenye safari moja alilipwa kiasi cha chini dola 400 kwa Siku. Huyu ni ofisa wa ngazi za chini kabisa.

Gharama za Kila safari ilikuwa inategemea ni sehemu gani Rais anakwenda. Mfano nchi za Ulaya na America posho kwa siku hulipwa kwa Daraja A ambazo ni Dola 420 kwa Siku kwa mtu mmoja.

Nchi za Asia na Africa hulipwa daraja B ambapo hulipwa dola 380 kwa siku.

Kwa hiyo kama safari itachukua siku tano utazidisha dola hizo Mara tano.... Iwe ni kwa daraja A Au B.

Gharama hizi hazijumuishi kitu kinachoitwa pocket Money,Nauli, Fedha za Suti kwa kila Safari nk. Yaani kila safari ni lazima vitu hivyo viwepo.

Mfano Leo wakienda Kenya lazma upate Suti kesho wakienda Uganda unapata nyingine. Vivyo hivyo kwa mahitaji mengine.

Hili ni eneo ambalo tulikubaliana kwenye Ilani yetu ya chama Kuwa tutalidhibiti ili fedha hizi tuzitumie kuondoa umaskini wa watanzania.

Ole Mushi
0712702602

Mleta mada kuna Kiongozi aliyekuwa anasifiwa na waafrika kama Mugabe???? Je nchini kwake ilikuwaje?? Mwisho wake ulikuwaje?

kuna kiongozi alikuwa anasifiwa na waafrika kama Gaddafi?? Je nchini kwake hali ilikuwaje hasa mtazamo wa wananchi wake juu yake??? Na mwisho wake ulikuwaje???

Mnapotoa pambio zenu za kusifu na kuabudu jiulizeni Pia kwa wengine ilikuwaje?
 
Tunamsifia kwa sababu Kikewete alitupatia wakati mgumu maana uchumi wa Tanzania ulikuwa kwa Kasi, Ajira kwa Sana, mishahara ya wafanyakazi ilipanda kila mwaka. Lakini huyu mliyenaye kwa Sasa Ni maneno matupu na sifa tu hakuna anachokifanya. Hivyo Basi Kenya itaendelea kuwa juu kiuchumi kwa nchi za Africa mashariki. Magufuli juu.
We umetimiza vigozo vya upumbafu na hivyo umeingia kwenye kundi Hilo! Na kwa kweli ni hasara hata kujadiriana na we!
 
We mpuuzi, kwani anakatazwa kuongea kiswahili na mkalimani akafanya yake Kama ingekuwa kweli English haipandi! Chemia aliifundisha kiswahili! Nyambafu mkubwa weye mfyuuu!

Sasa unabisha jamaa amefoji PhD .
 
KWANINI WAKENYA HUMSIFIA RAIS MAGUFULI?

Na Thadei Ole Mushi

Tumekuwa tukiona Mara kwa Mara Prof Lumumba wa Kenya akimsifia Sana Rais Magufuli. Watu wengi hujiuliza kanunuliwa? Au ana interest gani na Rais Magufuli au na Tanzania? Leo nitawapitisha katika eneo Moja tu la kwa Nini huwa wanaona Mh Magufuli ni Rais Bora wa kipindi hiki wakilinganisha na wa kwao Uhuru Kenyata. Twende sawa.

David Ndii mwanauchumi wa Kenya aliwahi kusema Kuna haja ya kutafiti kama Ziara za Rais Kenyatta nje ya Nchi zina Manufaa. Duru za Kibajeti nchini Kenya zinaonyesha kuwa Rais Kenyata ametumia matrilioni ya Shilingi katika safari zake nje ya Nchi.

Kwa miaka sita tu Rais Kenyata kufikia 2019 alikuwa ameshakwea pipa Mara 92 kuhudhuria shughuli mbalimbali nje ya nchi shughuli nyingi zikiwa Ni kuaapishwa na kutafuta Mikopo kwenye mataifa ya Kibepari.

Mwaka 2015 pekee Rais Kenyata alisafiri safari 21 katika mwaka mmoja. Kwa miaka mitano ya Kwanza Kenyata alisafiri zaidi ya Mara 43 nje ya Nchi huku mtangulizi wake Mwai Kibaki kwa miaka 10 alisafiri Mara 33 tu. Wachambuzi wa Mambo nchini Kenya wanakosoa vikali Sana Kitendo Cha Rais Kenyata kusafiri Mara kwa Mara na kuligharimu Taifa Hilo mabilioni ya Shilingi.

Hali ipoje kwa Tanzania?

Kwa miaka Mitano Rais Magufuli katoka nje ya mipaka Mara 8.

Safari ya kwanza aliifanya Tarehe 6-8 Mwezi wa nne mwaka 2016 ambapo nchi ya kwanza kuitembelea ilikuwa Rwanda. Siku ya kwanza Rais Magufuli alikutana na Mwenyeji wake Rais Kagame mpakani Rusumo ambapo walizindua one stop border na kufungua Daraja la Rusumo. Siku ya Pili Rais Magufuli alihudhuria maadhimisho ya miaka 22 ya mauaji ya Kimbari Rwanda.

Safari ya Pili alikwenda Uganda ambapo alisafiri Tarehe 12 Mwezi wa tano 2016. Wakati Rais akipanga kwenda Uganda Mezani kulikuwa na mwaliko wa kuhudhuria mkutano wa Ant-Corruption uliokuwa ufanyike London Ila alikataa mwaliko huo akaelekea zake Uganda kwa Jirani yetu Museven. Lengo la Safari hii ilikuwa Ni mazungumzo ya Bomba la mafuta toka Uganda kuja Tanzania. Wakati Kenyata anarudi akakuta tayari Rais Magufuli na Museven washasinishiana mkataba.

Safari ya Tatu Rais Magufuli alitembelea Kenya kwa Jirani Mwingine hii ilikuwa safari ya Mwisho kwa mwaka 2016 ambapo alisafiri Tarehe 31-1 Mwezi wa kumi. Ziara ya siku Mbili. Safari hii ilikuwa na lengo la kuimarisha biashara ya Kenya na Tanzania.

Safari ya nne ilifanyika 2017 ambapo Rais Magufuli alielekea Ethiopia Tarehe 29-2 Mwezi wa pili. Mh Rais alihudhuria mkutano wa 28 wa nchi za Africa. Hii ilikuwa safari yake ya kwanza njee ya Africa Mashariki toka awe Rais.

Mwaka huo huo 2017 Tarehe 9-11 Mwezi November Rais Magufuli alifanya Ziara ya tano ambapo alisafiri kwenda Tena Uganda. Uganda ndio nchi pekee ambayo ilipata bahati ya kutembelewa na Rais Magufuli Mara mbili. Hakuna nchi nyingine kwa kipindi Cha miaka mitano umepata bahati hiyo. Rais Magufuli alikutana na Mwenyeji wake Mtukula ambapo walizindua one stop border na baadaye alielekea Ruzingwa kuweka jiwe la Msingi la bomba la mafuta. Mwaka 2017 alifanya Ziara mbili tu na hii ilikuwa Ni ya Mwisho kwa mwaka huo.

Mwaka 2018 Rais Magufuli hakutoka kabisa nchini.

Mwaka 2019 Rais Magufuli alifanya Ziara ya sita ambapo alihudhuria kuapishwa kwa Cyril Ramaphosa Africa Kusini Tarehe 25-26 Mwezi wa tano. Kwenye Ziara hii waliongozana na Rais Kikwete kwenye ndege Moja.

Ziara ya Saba aliifanya Namibia wakati akirudi toka Afrika Kusini ambapo alipitia Namibia. Hii ilikuwa Tarehe 27-29.

Ziara ya Mwisho kabisa aliifanya kipindi hicho hicho akirudi nyumbani tokea Afrika Kusini ambapo alipitia Zimbabwe Tarehe 29-30
Mwezi wa tano. Hii ni Ziara yake ya nane.

Safari za Rais hugharimu Nini?

Wakati wa JK alipokuwa akisafiri kila safari moja ya nje alikwenda na watu 50. Hawa walikuwa wanausalama, waandishi wa habari, na watendaji mbalimbali wa serikali kutegemeana na Safari.

Kila Mtu kwenye safari moja alilipwa kiasi cha chini dola 400 kwa Siku. Huyu ni ofisa wa ngazi za chini kabisa.

Gharama za Kila safari ilikuwa inategemea ni sehemu gani Rais anakwenda. Mfano nchi za Ulaya na America posho kwa siku hulipwa kwa Daraja A ambazo ni Dola 420 kwa Siku kwa mtu mmoja.

Nchi za Asia na Africa hulipwa daraja B ambapo hulipwa dola 380 kwa siku.

Kwa hiyo kama safari itachukua siku tano utazidisha dola hizo Mara tano.... Iwe ni kwa daraja A Au B.

Gharama hizi hazijumuishi kitu kinachoitwa pocket Money,Nauli, Fedha za Suti kwa kila Safari nk. Yaani kila safari ni lazima vitu hivyo viwepo.

Mfano Leo wakienda Kenya lazma upate Suti kesho wakienda Uganda unapata nyingine. Vivyo hivyo kwa mahitaji mengine.

Hili ni eneo ambalo tulikubaliana kwenye Ilani yetu ya chama Kuwa tutalidhibiti ili fedha hizi tuzitumie kuondoa umaskini wa watanzania.

Ole Mushi
0712702602

Kwa kuwa hawana mtu kiongozi imara kama yeye period
 
Suti haitolewi tu kama njugu. Rejea standing order inasemaje kuhusu "outfit allowance"
 
Back
Top Bottom