Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sina shida na Wewe katika 'Utendaji' wako na unajitahidi japo 'Kibinadamu' bado kuna maeneo mengine hujaweza 'Kukamilisha' na pengine Watanzania tunaokuamini na hata wale waliokuwa hawakuamini nao...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
Wasalaam wanajukwaa! Siku wakati Rais mpya Mama Samia Suluhu anaapishwa kua Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alisisitiza turudi kuungana kua taifa moja na tuzidi kupenda tusahau...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama mwana ccm mkereketwa naomba uongozi wa juu hasa kamati kuu ya ccm, ambayo itahusika na uchujaji wa majina ya wagombea watakao peperusha bendera ya ccm kwenye uchaguzi mkuu October mwaka huu...
8 Reactions
66 Replies
6K Views
Kwa mara ya Kwanza kabisa nitoe pongezi zangu za dhati kabisa kwa Cameraman wa TBC1 hasa aliyekuwepo zamu leo huko Chato Geita kwa Kitendo chake cha Kuonyesha Uweledi wake na kutofanya Kazi yake...
13 Reactions
328 Replies
40K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 20/03/2021 Chama cha Waandishi wa Wahabari Wanawake Tanzania, Zanzibar, (TAMWA ZNZ) kinampongeza Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa awamu ya sita wa Serikali ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Askofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake. Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na...
6 Reactions
112 Replies
9K Views
Sijui ni nini kinachonifanya nisilale. Moyo wangu umevunjika sana. Hakika Magufuli alikuwa chaguo la Mungu. Nitamkumbuka kwa elimu bila malipo. Angalia namna watoto wa masikini walivyorundikana...
32 Reactions
134 Replies
10K Views
Poleni saana watanzania Ninafuatilia hotuba mbalimbali hapa nimeona kwamba hotuba ya Philip Mangula haijaeleweka ameitwa kutoa pole yeye ana sema msiwe na hofu Makamu ataongoza vizuri tu, Kwa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wanajamvi kwanza poleni na msiba mzito wa taifa wa kumpoteza mpendwa wetu Rais Magufuli, kumekuwa na mijadala mirefu inayoendelea juu ya Rais aliyeapishwa Mama Samia kwamba je, ataweza...
3 Reactions
5 Replies
907 Views
Najaribu kuvaa viatu vya Pascal Mayalla nakutana na mambo mengi. Viatu ni vya ngozi imekauka sana halafu nimevaa viatu bila soksi.vinaumiza sana. Pascal kuna kipindi alikuwa neutral katika siasa...
22 Reactions
33 Replies
4K Views
  • Closed
Miezi michache iliyopita rais Magufuli alisema anatamani malaika ashuke [sijui ashuke toka wapi] aje kuizima mitandao ya kijamii ambayo tumekuwa tukiitumia kupashana habari na kubadilishana maoni...
241 Reactions
1K Replies
109K Views
Wanabodi Baada ya kusambaa picha mbalimbali zikiwaonesha baadhi ya wanaccm waliokuwa kwenye kamati kuu leo kama ilivyoelezwa kwenye vyombo vya habari, Je Kikwete na Karume ni wajumbe halali...
18 Reactions
377 Replies
81K Views
Kama tujuavyo ni kuwa hapo awali kamati ya mazishi ya marehemu Magufuli, hawakuwaweka katika orodha ya awali Zanzibar, miongoni ya miji ambayo wakazi wake watapata fursa ya kuaga mwili. Kama...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wana wa JF. Mwaka 2015 wakati Rais Magufuli akitafuta wadhamini ndani ya CCM alipotangaza nia ya kugombea urais, alikutana na kijana mmoja ambaye miaka ya nyuma akiwa mbunge aliwahi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Katika hali ya kushangaza na kutia shaka ni pale msemaji wa familia ya marehemu alipo kuwa akisoma historia ya familia na kusema kuwa marehemu ameacha mke mmoja na wajane wawili ambapo kauli hiyo...
23 Reactions
583 Replies
81K Views
WAZIRI WA MAMBO YA NJE TANZANIA PROFESA PALAMAGAMBA KABUDI AWAJIBU MABEBERU, HATUJAWAHI KUPIGISHWA MAGOTI, UCHAGUZI ULIKUWA HURU NA HAKI Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Palamagamba Kabudi aijibu EU...
28 Reactions
326 Replies
31K Views
Mengi yalisemwa kuhusu YEYE pale aliposhambuliwa kwa jaribio la kioga ili kuweza kupoteza maisha yake. Zilijengwa hoja hafifu ili kuhalalisha udhalimu ule, kumbe wabaya wake hawakutambua ili mbegu...
34 Reactions
86 Replies
9K Views
Rais Yoweri Museveni (Uganda) " Niliondokewa na Baba yangu Mzee Mwalimu Nyerere nikalia sana na sasa nimeondokewa na Kaka yangu Mkapa nalia mno. Maelekezo mengi ambayo Mwalimu Nyerere alikuwa...
16 Reactions
52 Replies
5K Views
KAZI ZINAENDELEA NA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN, FURAHA YA WAPIGA DILI NI YA MUDA TU Na Joseph Yona Kuna vilaza, Wapiga Dili wanafikiri Wameokota Dodo kwa kuwa Mama Samia ndiye Rais wa Sita...
18 Reactions
94 Replies
7K Views
Baada ya Dr. Magufuli kufanya mkutano jimbo la Bukoba Mjini, leo atakuwa na mkutano Mjini Kayanga Jimbo la Karagwe mkoani Kagera. Updates na picha nitaweka kadri ya uwezo wangu... Akifanya...
9 Reactions
255 Replies
27K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…