2015 hakuna aliyekuwa tayari kumpokea Mzee Lowassa, hakuna andalizi lolote lililotegemewa na Mwana Chadema wa damu. Dalili zote sasa zinaonyesha muda wowote ule kunaweza kukawa na tangazo la...
Mazishi ya Rais Magufuli yanaweza kuweka historia ya kuhudhuriwa na watu wengi kuanzia kuaga hadi kesho atakapozikwa.
Kwa haraka haraka naona halaiki iliyomuaga na itakayomzika pamoja na matatizo...
Tanzania ilizizima kwa taharuki,simanzi na kila aina ya mtikisiko kwa mapokeo ya hisia juu ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania JPM au John Pombe Magufuli,mara baada ya tanzia iliyotolewa na...
Tahadhima kwenu kizazi Cha Covido-19!
Leo akihutubia kijijini kwake Chato katika uzinduzi wa shamba la miti (Silayo Forest) Rais Magufuli alitumia jukwaa hilo kutoa msimamo wa Serikali kuhusu...
Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amesema atamkumbuka Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Magufuli kwa mambo makubwa matatu.
Mchungaji Msigwa ambaye leo Ijumaa...
Kwa unafiki unaoendelea kipindi hiki cha msiba...unaweza fikri mambo yataenda sawa sawia baada ya kuzikwa JPM.
Ila niwahakikishieni kuwa hakuna shujaa yeyote aliyewahi kulala akabaki anazungumzwa...
Mwaka 2010 Kama sikosei Wapinzani hasa CHADEMA walidhulumiwa majimbo mengi Sana ya ubunge na pengine udiwani.
Lakini sehemu zote ambazo nguvu ya Umma ilitumika majimbo yaliokolewa
Nitayataja...
Wataalam nisaidieni.
Nimeona katika Ibada ya kumuaga JPM , Mzee JK na mzee Mwinyi wameiingia kwanza halafu akaingia Makamu wa pili Rais wa Zanzibar mstaafu Balozi Seif Ally Idd.
Hii imekaaje?
Mwaka 2015 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi , ambaye leo ni Rais wa Tanzania ndugu Magufuli, alitoa waraka wa mafanikio ya ya serikali ya awamu ya Nne ya ndugu Jakaya Kikwete, katika mafanikio hayo...
Nchi yetu haiishiwi mambo na mengi ni yakutengeneza, jaribu kukonnect dots kwa mambo yafuatayo;
1. Ni Wiki ya pili sasa lakini hakuna chombo cha habari chochote kinachotaka tumjue vizur Rais...
Hii kauli kama Kichwa cha Habari kinavyosema eti hakuna kuchagua mbunge wa upinzani hata kama anafaa.
Maneno kama haya kuzungumzwa na kiongozi mwenye dola ambaye anawania muhula mwingine wa...
Wanabodi,
Angalizo la kuzuia kukereka.
Kuna members humu wanakereka na kukasirika pale serikali ya Tanzania, au rais Magufuli na serikali yake anapofanya vizuri kustahili pongezi,
Hivyo...
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimatifa wakati wa Serikali ya Tanzania, Bernard Membe ambaye mwezi Februari mwaka huu chama chake cha CCM kilipendekeza kumvua uanachama...
Mh.Dk kigwangala leo amemkabidhi mh rais sanamu maalumu la baba wa taifa ili kutambua mchango wake wa uhifadhi.
Kwa macho yangu naona halipo sawa licha ya nia njema ya waziri
Hivi kigwangala...
Habari za asubuhi wakuu,
Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya Demokrasia.
Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na...
Kumekuwepo na vijembe na lugha za kejeli zinazotolewa na baadhi ya viongozi kutuhumu awamu zilizopita hasa awamu ya tano kana kwamba wao waliiba na hakuna maendeleo waliyoyafanya.
Orodha ni ndefu...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi huwaletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo pia huchapishwa kwenye magazeti mbalimbali ya ndani nchini Tanzania.
Makala ya leo, ni...
Rais Magufuli alikuwa muumini mkubwa wa maombi na kuombewa. Nna imani kabisa kama tungejulishwa kuhusu kuumwa kwake huenda wengi sana watanzania tungemuombea.
Badala yake serikali kwa sababu...