Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hv bado hatuja nyooka tu. Ndoto za katiba mpya zpo kwel.?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika mchakato wa kupata Rais wa JMT, katiba inaelekeza kuwa ni lazima kuwe na mgombea mwenza ambaye Rais akishinda uchaguzi then mgombea mwenza huyo anakuwa Makamu wa Rais. Nikiri kuwa sikuwahi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Toka awamu ya Kikwete nimekuwa nasikia watu wakisema kuwa kiongozi fulani anakwamishwa na washauri wake, mara washauri wanampotosha rais. Hivi hii ni sababu ya msingi kuisema kwa watu Rais...
0 Reactions
3 Replies
553 Views
MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, iwape nafasi ya watu kujitetea, mashirikia na taasisi zinazokabiliana na tuhuma mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Tukienda moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi, Baada ya Magufuli kufanya anachofanya kumekua na dhana imeibuliwa na wanaukawa wengi tena wachambuzi maarufu kabisa humu jamvini wakisema Mr rais...
6 Reactions
60 Replies
5K Views
Asilimia 80% ya hotuba za Rais John Pombe Magufuli huzungumzia jinsi tulivyo katika vita ya kiuchumi. Lakini mpaka anamaliza awamu yake ya kwanza, hajawai kutueleza hii vita tunapigana na Taifa...
11 Reactions
115 Replies
8K Views
Hello Media na Timu ya Mazishi ya Taifa, Ni kweli tumekuwa na sku 21 za maombolezo lakini ukisikiliza media nyingi hazina mpangilio na mtiririko ambao unatoa elimu au hamasa ya nini alifanya na...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Awali ya yote tupeane pole kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na Mh Rais John Pombe Magufuli,hakika hayakuwa haya maisha ya dunian ila ni kitu chenye kupita tu. Hapa karibuni kulikuwa na hoja ya...
24 Reactions
132 Replies
10K Views
Wazanzibari msijidanganye kuwa eti mtachagua Rais. Bara tunafahamu kuna baadhi ya Wanzanzibar wanaogombea nafasi hiyo wanataka waje kutumika na Maarabu. Hatutaruhusu hilo. Hussein Mwinyi ndiye...
5 Reactions
53 Replies
9K Views
Mbali ya salam za pole alizotoa kwa hisia na hekima kubwa, kashauri wale wote waliokamatwa kwa sheria makosa mtandao taarifa ugonjwa waachiwe kwa kujenga umoja wa taifa kwani walikuwa na haki...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Polisi wamepiga marufuku shughuli za kumuaga aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo katika viwanja vya Furahisha ama Ofisi za kanda CHADEMA kwa madai ya Kuwapo Kipindupindu...
1 Reactions
187 Replies
24K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema wanampongeza Rais Magufuli, kwa harakati zake za kutekeleza ilani ya Chadema na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya Wananchi UKAWA. Amesema madudu...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwa siasa za sasa ni dhahiri tunahitaji Katibu Mkuu anayekijua Chama from the scratch. Aliyekulia ndani ya Chama na aliyepikwa ndani ya Chama. Tumeona madhara ya kuchukua watu juu kwa juu. Ndio...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
RAIS MAGUFULI, SERIKALI YAKO IMECHAFUKA,CHUTAMA UWEZE KUJISITIRI! NDUGU RAIS naona Trillion 1.5 imekutoa mafichoni, CAG ameivua nguo SERIKALI yako! CHUTAMA uweze kujisitiri !! USITISHE WATU...
169 Reactions
400 Replies
44K Views
Mchungaji wa Kanisa la KKKT Kimara, Dr Mastai amesema yeye alimuunga mkono hayati Magufuli kuanzia siku ya kwanza aliyoingia madarakani hadi Jumapili iliyopita alipomfanyia maombezi maalumu...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Tangia alipo ukwaa ukuu wa Nchi, mtukufu huyu amefanya siasa za nchi hii kuwa "the living hell". Democrasia iko mashakani na upinzani nchini Tanzania uko kwenye hali ngumu kuliko nyakati zozote...
23 Reactions
70 Replies
7K Views
Ndugu wanajukwaa salam, Uongozi wa awamu ya sita Chini ya Mama Samia umeanza kwa kishindo. Hotuba ya kwanza kutolewa na Rais baada ya kula kiapo imebainisha mambo kadhaa. Mosi, kudumishi umoja...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwanza, Chanjo itakapoingia nchini lazima ikatiwe utepe au izinduliwe. Kazi ya uzinduzi siku zote ufanywa na mwanasiasa si mtu mwingine, na utepe wa chanjo nikuchanjwa. Pili, Wanasiasa wapo wengi...
2 Reactions
6 Replies
698 Views
Haya ndio maneno ya Rais mpya wa Tanzania aliyoyatoa wakati akipokea Ripoti ya CAG . Hii ni nuru mpya kwa sisi wafichua maovu. Rais Samia Suluhu amesema haya. ''Kuna umuhimu wa kuangalia upya...
28 Reactions
72 Replies
10K Views
Kuna mambo mengi sana, yanayo endelea ila inabidi ifike kipindi mtu lazima uongee kwa niaba ya watu wengine. Tabia hizi zenye wasiwasi zinaweza kuonekana kama sehemu ya mabadiliko makubwa nchini...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…