Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

RAIS SAMIA AAWAAPISHA MAWAZIRI, MANAIBU WAZIRI NA KATIBU MKUU KIONGOZI Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu amewaapisha mawaziri nane, na manaibu waziri 8 na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu...
3 Reactions
69 Replies
11K Views
Hawa wanaoitwa wanyonge hawana impact kwenye nchi. Hawa hawawezi kuisadia nchi make kila siku wanawaza unyonge. Nashangaa nguvu kubwa sana za kuwakumbatia hawa watu ambao hawana impact kwenye...
0 Reactions
2 Replies
794 Views
Na Deogratias Mutungi Nianze kwa kusema nia na dhumuni ya makala haya ni pana kimantiki na inalenga kuonyesha mitizamo ya mbali kisiasa aidha inajikita katika uchambuzi unaoegemea fungu la upande...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi leo April 2, 2021 wametoa ufafanuzi juu ya kauli waliyoitoa kuhusu shamra shamra za kusheherekea sikukuu za Pasaka. ‘Taarifa ya Jeshi la Polisi niliyoitoa jana (pamoja na mambo...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Leo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha; ~Mbolea ~Mbegu ~Utengenezaji matrekta. Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi...
11 Reactions
53 Replies
7K Views
Uchafu wote uliotendwa wakati wa uchaguzi mkuu , ukiwemo utekaji na uporaji wa fomu za wagombea wa vyama vya upinzani waliokuwa wamekabidhiwa fomu halali kutoka tume , ulisimamiwa na Jeshi la...
10 Reactions
46 Replies
4K Views
Ni muda wakusikia madini kutoka kwa Mhe. Tundu Lissu akiwa live VOA akichambua hoja na kujibu maswali mbalimbali kutoka katika chombo hiki cha kimataifa. Karibu tumsikilize , nilitamana sana...
25 Reactions
234 Replies
25K Views
Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama...
16 Reactions
68 Replies
6K Views
Does Prof. Patrick Loch Otieno Lumumba, PLO, remember his own countrymen...Paul Mboya and Robert Ouko? I keep wondering what would have been the response from these two if the roles were...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana kuna upotoshwaji wa wazi wa kilichotokea straight talk Africa jana. Labda kwa sababu ya siku 21 za maombolezo ya msiba mkubwa tuliomo, Star TV hawakuyaonyesha kabisa mazungumzo...
30 Reactions
129 Replies
11K Views
Serikali ya Tanzania imesema ipo katika mchakato wa kufungua kesi ya kudai fidia ya pesa iliyotumika kuendeshea kesi ya Ndege ya ATCL, iliyokuwa ikishikiliwa nchini Afrika Kusini. Akizungumza na...
3 Reactions
38 Replies
6K Views
Hayo madini tulionayo , Tafuteni kodi huko Punguzeni mishahara ya Wabunge Sisi "Wanyonge tumewakosea nn mpaka mtufanyie hivi .?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la waandishi, wanasiasa na raia wengine ambao inaonekana wamekunwa haswa na hatua au mwelekeo mpya chini ya Kiongozi mkuu mpya. Mjadala mkubwa umetokana na...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Jana nilimuelewa sana Katibu mkuu Kiongozi balozi Katanga. Hakuna mafanikio ya serikali kama kila wizara itatenda kivyake na kutafuta sifa binafsi. Ni lazima pawepo coordination baina ya wizara...
9 Reactions
50 Replies
4K Views
Binafsi nampongeza aliyekuwa mbunge wangu wa Iringa mjini mchungaji Msigwa kwa kutoyumba wala kuyumbishwa na siasa za kutamani madaraka. Pamoja na kufuatwa jela na Mwenezi Polepole na kulipiwa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hayati alimteua na kumpa ubalozi lakini baada ya utawala mpya ametenguliwa kutoka katibu mkuu kiongozi Je amevuliwa na ubalozi au bado ni. Balozi? Wenye uelewa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Askafu Malasusa ameliongelea ilo leo katika misa ya ijumaa kuu huku akitolea mfano wa Hayati Magufuli kuwa hakuwa mwanasiasa bali alikuwa kiongozi na kama Taifa tuna chakujifunza, ameeleezea zaidi...
0 Reactions
4 Replies
759 Views
Jana ulisema akili itumike kukusanya mapato na si nguvu. Hili suala la ongezeko la gharama za vifurushi vya simu nadhani ni nguvu imetumika si akili. Kuna sababu nyingi za kuthibitisha kuwa ni...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
ACT Wazalendo kusema watashiriki uchaguzi Kigoma kumpima Rais ni kuuadaa Umma wa Watanzania. Juzi wameshiriki uchaguzi Zanzibar, je walikuwa wanampima Rais? Je, Rais ni msimamizi wa uchaguzi? Ni...
2 Reactions
2 Replies
963 Views
Huenda uchaguzi mkuu wa mwaka jana umeleta funzo kwa vyama vya upinzani. Maana sasa wanaonekana kupata funzo. Jambo ambalo wanatakiwa kutambua ni kuwa tume huru ya uchaguzi ambayo itaendesha...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…