Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NAIBU waziri Kivuli wa Nishati na Madini na Mbunge wa Viti Maalumu, Jesca Kishoa (Chadema) amemtaka Spika wa Bunge, Job Ndigai kumuita mwanasheria mkuu wa serikali kutokana na mwanasheria huyo...
7 Reactions
41 Replies
10K Views
Habari za leo Watanzania wenzangu wote ambao mtatumia muda wenu mfupi sana kusoma maoni yangu haya ya kumsaidia MH Hamis Kigwangala Waziri wa Mali Asili na Utalii (mzee wa field). Mapema jana...
11 Reactions
22 Replies
4K Views
Hadi sasa dawa ya chanjo ya Astra Zeneca imezuiwa kutumia katika nchi mbalimbali duniani. Dawa hii ambayo yatengenezwa nchini Uingereza imedaiwa kusababisha mgando wa damu na hatimae muathirika...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
CAG kafanya jambo la kishujaa tusema ukweli kama ATCL inaendeshwa kwa hasara ya bilioni 60 kwa mwaka. Umefanya kijasiri kwa sababu tumekuwa tunafichwa sana na kudanganywa tunapata faida na gawio...
13 Reactions
27 Replies
3K Views
Nilicho elewa ndege zetu Gharama yake ni Trilion 1.28 tu Ukiigawanya hiyo pesa kwa Watanzania milioni 60 Trillion 1.28 ÷ milioni 60 1,280,000,000,000 ÷ 60,000,000 = 21333 Kila mtanzania...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Helo WanaJF, Jana tarehe 06/04/2021 alipokuwa akiwaapisha Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu na Wakuu wa Taasisi za Serikali, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alitoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAZIRI MKUU MAJALIWA, KUWA MAKINI ZAIDI NA WAZIRI MWAMBE. AMEJAA KIBURI, CHUKI, NA MPENDA RUSHWA Katika mabadiliko madogo aliyoyafanya Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan alimtoa Mwambe kwenye...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Mengi yanasemwa na yanaendelea kusemwa kuhusu hali ya uchumi kabla na wakati wa utawala wa awamu ya tano. Hasa kuhusu uvurugaji wa uchumi na mengine kedekede. Kabla sijatoa maoni kuhusu kampeni...
1 Reactions
0 Replies
978 Views
Shirika la Ndege la ATCL ni moja ya icon kubwa kwa nchi yetu! Ni wazi inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la KIZALENDO hususan ni baada ya taarifa ya CAG kuonesha hasara ya 60 bilioni haikutokana na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
When Tanzanian authorities announced the passing of President John Magufuli on Wednesday, Vice President Samia Suluhu Hassan (pictured) delivered the grim news. The 61-year-old was sworn in as her...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Alichokifanya Ole Sabaya Mkuu wa WIlaya ya Hai ni kumdhibiti OCD ndio maana Kwa sasa ukiona anayoyafanya OCD wa Hai, Mkuu wa WIlaya, Ole Sabaya yuko nyuma yake. Huyu OCD anahojiwa na Tume...
9 Reactions
52 Replies
7K Views
Rais John Magufuli leo Novemba 3 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Prof. Mussa Assad Prof. Assad aliteuliwa na Rais Mstaafu...
23 Reactions
676 Replies
98K Views
Ukifatilia kwa makini mjadala unaoendelea wa kauli ya Rais dhidi ya vyombo vyahabali utajiuliza nini hofu ya serikali dhidi ya vyombo habari, hii nikwasababu haihitaji mtu uwe na PHD kuelewa kuwa...
2 Reactions
2 Replies
847 Views
Makabwela ambao wametoa malalamiko lukuki ya malipo ya bando jipya wamemlazimisha Rais Samia Suluhu kufutilia mbali post yake ya Twitter aliyoitoa ambapo alitoa taarifa rasmi ya kuwasili Dar leo...
32 Reactions
131 Replies
18K Views
Great thinker tusaidiane kuchambua uteuzi uliofanyika Jana na Mh.Rais ili kutambua ingizo jipya ni akina na CV zao kwamba walikuwa wapi kabla ya uteuzi, na waliotenguliwa ni akina nano Nimeomba...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kamanda Mambosasa ameonyesha chumba alichokuwa amehifadhiwa MO alipotekwa! Ameeleza kuwa alikuwa akilazwa chini kwenye godoro akiwa amefungwa huku akiwa hawezi kuona lakini alikuwa akiachiwa...
4 Reactions
103 Replies
14K Views
Bado naomboleza kifo cha Jemedari Dkt. John Pombe Magufuli, Mzalendo wa KWELI asiye na UNAFIKI katika maslahi na ustawi wa watu wake na upendo kwa nchi yake, yaani Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
13 Reactions
37 Replies
4K Views
Frankly speeking, regardless my political view, nimekuwa nikijiuliza ili swali kwa muda mrefu kidogo. Wakati awamu ya 4 ya Mh Kikwete inaingia madarakani, kauli mbiu zake kama sijasahau zilikuwa...
7 Reactions
80 Replies
5K Views
Hi vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu Bashiru msomi wa chuo...
115 Reactions
304 Replies
35K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…