Nini maoni yako juu ya uhusiano wa kashfa za Ridhiwani na uongozi mbovu wa JK+uchumi kuyumba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini maoni yako juu ya uhusiano wa kashfa za Ridhiwani na uongozi mbovu wa JK+uchumi kuyumba?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nteko Vano, Jun 15, 2012.

 1. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF,
  Kuna thread ilianzishwa na kila mtu akawa anatoa kile anachokifahamu juu ya Ridhiwani. Mimi nimekusanya yale yaliyotolewa na kuyaweka pamoja. Swali langu kuna uhusiano gani kati ya mambo haya (kama ni ya kweli) na uzaifu wa ungozi wa JK + kuyumba kwa uchumi wa nchi? Tufanye nini?

  Ridhiwani


  1. Kahodhi msitu wa sao hill
  2. Anahujumu usafiri wa treni ili magari yake yapate tenda za kusafiris ha mizigo. hivi sasa ni jino kwa jino kati yake na dr. mwakyembe.. dr. akitaka kufufua usafiri wa reli jamaa anawahi kwa mzazi kuomba kizuizi
  3. TSN Supermarket zote zake, HOME SHOPPING CENTRE (ushahidi upo)
  4. KOBIL Tanzania yake,
  5. Malori ya mafuta davids mosha yake, na malori ya mafuta na visima vya LAKE OIL (Kuna ukweli ndani yake hasa Lake Oil) na magari ya nani vile yanayo-supply mafuta katika migodi ya Geita?. Usie amini uliza wanaoendesha hizi compuni au magari watakuambia au traffic watakuambia kama haya magari yanasifa zipi
  6. Hotel pale morogoro karibu na stand kuu ya ma bus
  7. Mgodi wa dhahabu
  8. Jengo nyuma ya BIG BON sinza mori. (Jengo nyuma ya bigborn siyo la kwake ni stori za vijiweni hizo) (Joyceline)
  9. Mabas ya DAR LUX yote ya kwake.
  10. Kampuni ya usafirishaji ya simon group yenye lori zisizopungua 500 (Hili la Simon Group (a.k.a UDA) halina mjadala ana hisa huko)
  11. Anahusika na makampuni mengi ya serikali kaipa kampuni yake isambaze mafuta
  12. Kigogo mwsho karibu na ccm kuna eneo wananch wanasema kanunua
  13. Malaika Hotel na Gold Crest Hotel zote za Mwz.
  14. Sports lounge kati kati posta-juma pinto ni bosheni tu......,
  15. Gesi kule mtwara
  16. Swiss Tower pale karibu na Chuo kikuu MUHAS pia ni yake.
  17. Hisa kilombero sugar cane (JK)
  18. Kupendekeza viongozi wanonekana kuwa mabogas.
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Snow crest ngulelo arusha ni yake na magorofa sait 3 tofauti arusha anayajenga.
   
 3. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Chadema washike tu nchi ili tuwafanyie kitu hawa.
   
 4. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  maghorofa 3 ya nhc pembezoni mwa barabara maeneo ya posta iringa nayo kavuna.
   
 5. Tina

  Tina JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 571
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Umesahau PPF tower ni yake na PPF ni boya tu kama ilivyokua Haidery Plaza ilikua ya Siti Mwinyi.

  Alphar House na Alpha School zote za Kikwete na Riz, Alphatel na Vodacom ya JK na Riz, Rostam yeye hahusiki kabisa ni boya: Nyumba ya Sanaa anajenga JK pale na anashirikiana na ndugu zake wa kutoka Somalia: Hata ule mradi wa mabasi yaendayo kasi ni wa JK ndio maana unaenda kwa kasi: hata jumba la kifahari na magari ya Wema Sepetu ni ya Riz na baba yake:

  Nasikia hata mgodi wa Kiwira Mkapa kasingiziwa ni mradi wa familia ya JK toka akiwa Nishati na Madini; nakwambia mali zote unazoziona Oil Com, BP, Big Born! Camel Oil, NatOil yote hawa wana hisa hakuna mtu anayeweza kupata mali ila wao hata barabara zimejaa malori yake na mabasi lakini yana alama ya USIPIGE picha na mengine yanatembea chini ya ardhi hayaonekani!!! Hizi ndizo akili za Watanzania, sasa wameshasahau kila kitu, wamepofushwa na vijisenti ndio maana na Chenge sasa ni Mwenyekiti Kamati ya Fedha. This is Made in Tanzania Only... Porojo kwenda!
   
 6. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Jengo jipya la bunge lake
  Makusanyo yote ya VAT yake
   
 7. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hahahaaa!!! Nasikia na Uwanja mpya unaojengwa sasa wa Ndege Terminal Three ni wa Riz ndio maana wakazi wa Kipawa waliondolewa wote kama tulivyosikia kwamba ile operesheni kamata mabasi yanayokiuka sheria za Usalama, ilikua ni geresha kupisha abasi 200 yenye rangi isiyotoa picha ukipiga picha zinaungua zinatoka giza na na sasa mengine 600 yanakuja yatakua yanatembea juu kwenye waya za umeme za Tanesco.... Hahahaaaa!!! Tanzania, nakupenda Tanzania.... Mafisadi wameshajibu mapigo kwa nguvu sasa wanamwaga ugali baada ya JK kumwaga mboga lakini wao kumbe wanakula chips na kuku kule Bungeni ambako vyeo vina bei, vijisenti ndio vinaamua uwe kamati gani!! Ulinzi na Usalama ama Uchumi na Fedha!!! Mutakiona cha Mtemakuni mwaka huu na ajenda zenu za kuvua gamba sijui rada na Ruchmond zote mutaziweka kapuni!!

  Nape naye ataimba mwisho atachoka, mwishowe atajikuta anamwagwa na kutoswa!!
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huyo Ridhwan ana kichwa kuliko Rostam Aziz?
   
 9. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  huu riz, kila kitu chake, tanzania ukipata pesa utaitwa mwizi au freemasons.
   
 10. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Rostam alikua anatumwa na Riz!! Maana ameshasahauliwa!! Kagoda tena hakuna anayethubutu kuhoji!!! Watu wanakula kiulaini, kibao kimeshageuka!! Meremeta sasa ni hadithi!!! Tan Gold na Deep Green hakuna anayefungua mdomo, si magamba wala wapinzani!! Watanzania tumeshageuzwa mazezeta!!
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Katoto kadogo hako kamtume RA? amma kweli huna haya wala huji vibaya.

  Ridhwan angekuwa na kashfa leo hii ingeanikwa kama khanga mpya madukani. Hizo zote ni porojo tu za kutafuta pakutokea wale wenye siasa za maji taka.

  Hivi Mbowe pale palipo Bilicanas, zamani palijulikana kama Mbowe Hotel aliijenga baba'ke au aliinunuwa au aliirithi? Nakumbuka kabla haijawa Mbowe Hotels na Disko la Sudi na Seydou, tulikuwa tukienda kula chipsi na sekela na waliotuuzia walikuwa Wahindi.
   
 12. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Pole sana ndugu: Soma kwa makini maneno yangu: Riz kwanza wakati Rostam anaanza dogo alikua anasoma na hakuwa na hata dalili ya kusaka noti! Soma kwa makini utanielewa!

  Tusubiri, tulishangaa ya Jairo, tukashtuka ya Badwel kukamatwa kwa milioni moja ya rushwa, tukashangaa ya Chenge kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha, sasa tusubiri makubwa zaidi kabla ya 2015 na hata baada maana sasa ufisadi umehamia Bungeni na wanajiandaa kusimika uongozi ndani ya CCM mwaka huu na baadae 2015! Nakwambia hata Chadema wakishinda, Bunge litajaa wezi ambao sasa wameshageuza kibao na wao kuwa MALAIKA. Bungeni sasa nafasi ni vijisenti.
   
 13. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa Lowassa, Mkapa, Chenge, Karamagi, Rostam, Kagoda, na kadhalika ni MALAIKA wema. Watukufu hawa hatujaambiwa wametakaswa lini na je wamelipa? Mahakama gani zimewasafisha? Kashfa za Kiwira, Kabulo,Meremeta, Nyumba ya Sanaa na kadhalika zimeishia wapi?
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Chenge anatuhuma ipi? Badwel kisha hukumiwa au mtuhumiwa?

  Ridhwan, mtoto wa Jakaya Mrisho Kikwete, mmemshindwa baba'ke mmeamua mumrukie mwanae? amma kweli mmeishiwa.

  Nimeuliza kuhusu Mbowe huko juu, naona hauna jibu.
   
 15. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Uongo na Umbeya huyo, Peleka kwenye magazeti ya UDAKU
   
 16. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mimi najua disco huwezi kwenda na hiyo midevu labda kukariri juzuu
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Disco la Mbowe? Kukariri juzuu huo ni wajib, japo robo. Na ndio maana mpaka leo haijatiwa mkono wa mtu, kupunguza wala kuongeza na hakuna "versions".
   
 18. t

  thatha JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  weka ushahidi wa nyaraka za umiliki.hii ya kutaja tu majina ya makampuni halafu utake sisi tuamini ni kutufanya wajinga.ukituwekea ushahidi wa hizo nyaraka tutashirikiana na wewe kuchukua na kurudisha mali hizo kwa wananchi.
   
 19. t

  thatha JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  weka ushahidi wa nyaraka za umiliki.hii ya kutaja tu majina ya makampuni halafu utake sisi tuamini ni kutufanya wajinga.ukituwekea ushahidi wa hizo nyaraka tutashirikiana na wewe kuchukua na kurudisha mali hizo kwa wananchi.
   
 20. m

  mharakati JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mtoto wa Rais hana haja ya kutafuta hizi hela na dili unazosema, bali zinamfuata mwenyewe na kama ana akili timamu hawezi kukataa. hata wewe ungekua riz ungechukua, tena nafikiri Riz nafikiri ametulia kidogo wengine wangefanya makubwa zaidi.
   
Loading...